jeff kisuma (@swaijosephat) 's Twitter Profile
jeff kisuma

@swaijosephat

activist
human rights
democracy
freedom
liberty
politics
law

ID: 1180008278090289152

calendar_today04-10-2019 06:34:55

34 Tweet

30 Followers

870 Following

jeff kisuma (@swaijosephat) 's Twitter Profile Photo

hydro electric dams inafua umeme mkubwa kuliko upepo sababu tu inatumia maji kama chanzo cha nishati na pia unaweza uka tegeneza mazingira kwa kutumia mfumo wa maji kutoka katika chanzo hiko hiko so ni mradi wa nishati rafiki wa mazingiara Maria Sarungi Tsehai fatma karume aka Shangazi

jeff kisuma (@swaijosephat) 's Twitter Profile Photo

ni wakati wanafunzi wa kitanzania kujitokeza ili kukomesha hii hali ya kutumika kingono au kufanywa chombo cha starehe katika nyanja ya elimu ya juu na kudhibiti rushwa ya ngono @umwalimu fatma karume aka Shangazi Jebra Kambole LHRC Maria Sarungi Tsehai PCCB @TzPccb

jeff kisuma (@swaijosephat) 's Twitter Profile Photo

je tanzania kuna sheria ya abortion? kama haipo je kuna umuhimu wa kuwepo? Na je ikiwepo itakuwa na madhara kiasi gani kwa jamii yetu? na kama ikiwepo itakuwa na faida kiasi gani kwa jamii yetu? fatma karume aka Shangazi Maria Sarungi Tsehai Flaviana Matata @umwalimu Clouds Media

jeff kisuma (@swaijosephat) 's Twitter Profile Photo

I think its cool to respect humanity and take gods fear when it comes to war because its an economical destruction and loss of lives of innocent people Lindsey Graham Donald J. Trump Nancy Pelosi Vice President JD Vance Barack Obama Hillary Clinton appreciate diplomacy but not war and bloodshed

jeff kisuma (@swaijosephat) 's Twitter Profile Photo

Ni kauli ya uvunjaji wa amani ni Kama Zitto MwamiRuyagwa Kabwe alipotumia neno takbir ikumbukwe wapinzani hushinda chaguzi kwa fujo na uvunjifu wa amani mfano mwanza wapinzani walichukua Jimbo la ilemele na nyamaga mwaka 2010 kwa uvunjifu wa amani Bernard K. Membe Abdul Nondo 🇹🇿 Ado Shaibu Halima James Mdee

jeff kisuma (@swaijosephat) 's Twitter Profile Photo

Kustaafu siasa kwa heshima ni Jambo jema kuliko kuingia kwenye hila na uchu wa madaraka Bernard K. Membe Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Seif Sharif Hamad Ndugu membe hagombei kwa Nia ya kuongoza watanzania anagombea ili aikomoe CCM Bernard K. Membe acha siasa za chuki umeenda upinzani kwa chuki ya kukatwa juna