Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profileg
Samia Suluhu

@SuluhuSamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania

ID:2652554565

calendar_today29-06-2014 07:42:17

1,2K Tweets

1,5M Followers

27 Following

Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa Clouds Media Group kwa kuondokewa na ndugu yetu, Gardner Gabriel Habash. Mchango wa Gardner kwenye ustawi wa sekta ya habari nchini ni mkubwa, na amekuwa mnasihi wa vijana wengi. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara. #KariakooDerby
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimekuwa na mazungumzo mazuri na kaka yangu, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan. Ziara hii ni mwendelezo wa mageuzi kwenye utekelezaji wa sera yetu ya Mambo ya Nje kupitia Diplomasia ya Uchumi. Thamani ya biashara baina ya nchi zetu imekua;

Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kenya, Jenerali Francis Omondi Ogolla na wanajeshi wengine tisa katika ajali ya helikopta iliyotokea leo katika Kaunti ya Elgeyo-Marakwet.

Natuma salamu za pole kwa Rais na Amiri Jeshi

Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kenya, Jenerali Francis Omondi Ogolla na wanajeshi wengine tisa katika ajali ya helikopta iliyotokea leo katika Kaunti ya Elgeyo-Marakwet. Natuma salamu za pole kwa Rais na Amiri Jeshi
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Naishukuru Seneti ya Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki kwa kunitunuku Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa) katika Uchumi. Nimeipokea heshima hii kwa unyenyekevu na shukrani kwa niaba ya wachapa kazi waume kwa wake nyumbani nchini Tanzania. Mimi ni kiongozi wao,

Nimewasili nchini Uturuki kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Rais Recep Tayyip Erdoğan. Mwaka huu nchi zetu mbili zinatimiza miaka 45 tangu kuanza kwa uhusiano wetu wa kidiplomasia. Uturuki ni mshirika wetu mkubwa kiuchumi na ni soko la kimataifa kwa bidhaa zetu linalokua kwa

Nimewasili nchini Uturuki kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Rais @RTErdogan. Mwaka huu nchi zetu mbili zinatimiza miaka 45 tangu kuanza kwa uhusiano wetu wa kidiplomasia. Uturuki ni mshirika wetu mkubwa kiuchumi na ni soko la kimataifa kwa bidhaa zetu linalokua kwa
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Jana nilipata wasaa wa kupita Mtaa wa Mombasa, Unguja kuwaona majirani zangu wa zamani Bi. Asha Salum na mumewe, Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Rashid Zam Ali. Kushoto ni bintiye Bi. Asha pamoja na mjukuu wao. Bi. Asha nilisoma naye darasa moja shule ya msingi na shule ya

Mapema leo nimeshiriki Misa Maalum ya Kumbukizi ya Miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine, iliyofanyika kwenye makazi ya familia yake Monduli, mkoani Arusha. Hayati Sokoine alikuwa kielelezo cha kiongozi

Nawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr, tukimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka ya kuhitimisha funga na ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Mwenyezi Mungu atuonaye tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Mwenye kusikia na kupokea

Nawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr, tukimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka ya kuhitimisha funga na ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu atuonaye tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Mwenye kusikia na kupokea
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Natawakia nyote kheri katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mmoja ya waasisi wa Taifa letu.

Tafakuri ya maisha yake na historia ya utumishi wake iendelee kutupa mafunzo ya uongozi wenye

Natawakia nyote kheri katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mmoja ya waasisi wa Taifa letu. Tafakuri ya maisha yake na historia ya utumishi wake iendelee kutupa mafunzo ya uongozi wenye
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mchezo mzuri Simba. Usiku haukuwa wa ushindi lakini tumeziona juhudi na zinatupa faraja na matarajio kuwa, msimu ujao wa mashindano ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika mambo yatakuwa mazuri zaidi. Ahadi yetu ni kuendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.

Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.

Nimefarijika na ujumbe wa video toka kwa Maria, Salama, Ezekiel, Iddi na Cecilia wakazi wa Babati mkoani Manyara, wakielezea namna ambavyo kukamilika kwa miradi miwili ya maji ya Darakuta-Magugu na Dareda-Singu-Sigino-Bagara kumebadili maisha yao. Wao ni sehemu ya wananchi zaidi

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Heartfelt congratulations and best wishes to His Excellency, President Abdel Fattah al-Sisi on starting a new term in office, serving the people of the Arab Republic of Egypt. I am looking forward to continuing working together in fostering the relations between our two

Kheri ya Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote. Katika siku hii ambayo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukumbu ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo, tuendelee kujifunza katika upendo wake mkuu wa kujitoa kwa ajili ya wengine. 

Upendo kwa muumba wetu, utusukume kuishi katika njia

Kheri ya Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote. Katika siku hii ambayo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukumbu ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo, tuendelee kujifunza katika upendo wake mkuu wa kujitoa kwa ajili ya wengine.  Upendo kwa muumba wetu, utusukume kuishi katika njia
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

I am conveying my sincere congratulations to His Excellency Bassirou Diomaye Faye, President-elect of the Republic of Senegal, on your victory in the 2024 Senegalese presidential election; and the Senegalese people for a peaceful election. You have my best wishes.

I am looking

I am conveying my sincere congratulations to His Excellency Bassirou Diomaye Faye, President-elect of the Republic of Senegal, on your victory in the 2024 Senegalese presidential election; and the Senegalese people for a peaceful election. You have my best wishes. I am looking
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mazungumzo na dua ya pamoja na wanawake wa Kisiwa cha Pemba katika Uwanja wa Tibirinzi, Chake Chake mapema leo.

Umekuwa wakati mzuri kuendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu tunaposhuhudia matunda ya kazi kubwa zinazoendelea kufanywa na Serikali katika maisha ya watu kwenye kila kona

Mazungumzo na dua ya pamoja na wanawake wa Kisiwa cha Pemba katika Uwanja wa Tibirinzi, Chake Chake mapema leo. Umekuwa wakati mzuri kuendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu tunaposhuhudia matunda ya kazi kubwa zinazoendelea kufanywa na Serikali katika maisha ya watu kwenye kila kona
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Faraja kubwa kuona hatua njema ambazo nchi yetu inaendelea kupiga katika sekta mbalimbali, na ushuhuda wa wananchi kuhusu matunda ya hatua hizi kwenye maisha yao ya kila siku.

Maboresho haya kwenye Hospitali ya Babati Mji mkoani Manyara ni sehemu ya mwendelezo wa kazi kubwa

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

To His Excellency Prabowo Subianto, President-Elect of the Republic of Indonesia; on behalf of the Government and the People of the United Republic of Tanzania, I convey our warm congratulations on your victory in the 2024 Indonesian presidential election. This momentous outcome

On behalf of the Government and the People of the United Republic of Tanzania, I extend my heartfelt congratulations to His Excellency, President Vladimir Putin on being re-elected as the President of the Russian Federation. We are looking forward to continue working together to