Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profileg
Godbless E.J. Lema

@godbless_lema

Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee
Former MP Arusha Urban (2010 -2020),
Shadow Minister Home Affairs,
Husband and Father

ID:845272399381778432

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/Godbless_Lema calendar_today24-03-2017 13:53:39

8,2K Tweets

1,0M Followers

981 Following

Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi | JamiiForums jamiiforums.com/threads/kamati…

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kwa kweli tulikuwa na wazazi mahiri sana , tulikula milo mitatu,tulifunzwa nidhamu na tabia njema na bado hawakuwa CHAWA.Leo kuna vijana hawamudu hata mlo mmoja bila kuwa wapambe na CHAWA.Mpigie Baba na Mama yako makofi.

account_circle
Shekh Ponda Issa Ponda(@SheikhPonda) 's Twitter Profile Photo

Toka 2013-2024, watu wanatekwa na kupotezwa. 2023, Shura ya Maimamu ilitoa ripoti ya uchunguzi. Katika ripoti hiyo jumla raia 236, wametekwa na kupotezwa. Kauli ya CCM “HAWA TUKIWAPOTEZA MSIWATAFUTE” inawafanya watuhumiwa Na.1. Kama taifa linajali uhai wa raia Dola ichukue hatua.

Toka 2013-2024, watu wanatekwa na kupotezwa. 2023, Shura ya Maimamu ilitoa ripoti ya uchunguzi. Katika ripoti hiyo jumla raia 236, wametekwa na kupotezwa. Kauli ya CCM “HAWA TUKIWAPOTEZA MSIWATAFUTE” inawafanya watuhumiwa Na.1. Kama taifa linajali uhai wa raia Dola ichukue hatua.
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Serikali inapaswa kutunga Sheria kali dhidi ya wanaume wanao zaa na kuwatelekeza watoto.Wanaume wengi sana wame watelekeza partners(Wazazi wenzao) wao walio pata nao watoto na kuwaachia machungu mazito sana ktk malezi ya watoto.Hii inasababishwa na sheria kuwa butu juu ya ulinzi

Dom Lucre | Breaker of Narratives(@dom_lucre) 's Twitter Profile Photo

🔥🚨BREAKING GRAPHIC: This woman wheeled a dead man into the bank and tried to get him to 'sign off' a loan in her name while holding his head up.

Footage showed the woman telling the dead man to grip hold of his pen hard as she placed it between his fingers and encouraged him

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kauli nzuri na bora kabisa kwa vijana wenye mawazo ya kijinga yaliyojaa chuki na mtazamo mbaya kabisa ambao unaweza kuchafua Nchi.Lakini kukemea peke yake inatosha ??

Huyu mpumbavu mkubwa hajui kuwa Rais anatukanwa na Mawaziri ? Huyu mpumbavu kaongea kauli mbaya na hatari sana lakini Polisi watakaa kimya kwa sababu wanafikiri viongozi wa CCM wako juu ya sheria. Hii kauli ni vita.Kuna siku watakuja kujua kuwa wao ni wapumbavu sana na hawana

account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Ukikosea Mbunge tunakupoteza na hakuna polisi atakutafuta

Tumepata wabunge kwa gharama kubwa sana na UVCCM sasa tutapoteza wote endeleeni muone

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Rafiki yangu juzi kaniambia anapaswa kuwa na Laki Tatu (300,000) kila wiki kwa ajili ya kusafisha figo za mke wake ambazo zimepata shida.Halafu na imagine anasikia Serikali inanua magari ya kifahari ya TSH BILIONI 190.57 kwa ajili ya Wakuu wa Wilaya.

Thamani ya magari hayo

Rafiki yangu juzi kaniambia anapaswa kuwa na Laki Tatu (300,000) kila wiki kwa ajili ya kusafisha figo za mke wake ambazo zimepata shida.Halafu na imagine anasikia Serikali inanua magari ya kifahari ya TSH BILIONI 190.57 kwa ajili ya Wakuu wa Wilaya. Thamani ya magari hayo
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hizi pesa zingetumika kununua mashine za kusafisha figo zenye wastani wa kati mashine takribani 1900 mpaka 3800.Tunateseka kwa sababu viongozi wa ccm hawana vipaumbele vinavyo zingatia ubinadamu na utu.Ujinga na roho mbaya sana hii,kuwa na viongozi wanao spend kwenye matumizi ya

Hizi pesa zingetumika kununua mashine za kusafisha figo zenye wastani wa kati mashine takribani 1900 mpaka 3800.Tunateseka kwa sababu viongozi wa ccm hawana vipaumbele vinavyo zingatia ubinadamu na utu.Ujinga na roho mbaya sana hii,kuwa na viongozi wanao spend kwenye matumizi ya
account_circle
Shekh Ponda Issa Ponda(@SheikhPonda) 's Twitter Profile Photo

Wagonjwa wa figo wanatozwa Sh. 400,000/600,000, kila juma katika hospitali za Serikali. Tungenunua magari ya kawaida, mapesa yatakayobaki yangenunua mashine za kutosha wagonjwa wakasafishwa figo bure kama Komoro. Si sawa kununua magari ya kifahari wakati hospitali hazina uwezo.

Wagonjwa wa figo wanatozwa Sh. 400,000/600,000, kila juma katika hospitali za Serikali. Tungenunua magari ya kawaida, mapesa yatakayobaki yangenunua mashine za kutosha wagonjwa wakasafishwa figo bure kama Komoro. Si sawa kununua magari ya kifahari wakati hospitali hazina uwezo.
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Baba Askofu nakusalimu.Waumini wa KKKT DMZV wamepanga kufanya maandamano ya amani kesho ktk mkutano wa Halmashauri Kuu ambao nafahamu kuwa wewe utakuwa mgeni maalumu. Kanisa halikupaswa kufika ktk hatua hii hapa,kwamba dhambi sasa inaweza kuwa na nguvu kuliko uadilifu.Mambo yako

Mama mjamzito anakwenda hospital halafu anajifungulia mtoto chini ya sakafu bila kuwepo na kitanda na CCM imetawala kwa zaidi ya miaka 60 halafu kuna wajinga wanasema CCM imefanya kazi.

Kumbukumbu la Torati 28:7
BWANA atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.

Kumbukumbu la Torati 28:7 BWANA atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.
account_circle