Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profileg
Freeman Mbowe

@freemanmbowetz

Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUA

ID:3544646356

linkhttp://www.mbowe.org calendar_today04-09-2015 12:20:30

1,0K Tweets

629,2K Followers

498 Following

Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Live : Mkutano wa Hadhara na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe! Uwanja wa Mashujaa - Bukoba' twitter.com/i/broadcasts/1…

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

LIVE : MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AKIOGOZA MAANDAMANO YA AMANI 'BUKOBA' twitter.com/i/broadcasts/1…

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Ni msiba mkubwa kumpoteza mtangazaji kama Gadner G Habash. Salamu za rambirambi na pole kwa familia, marafiki, mashabiki na wafanyakazi wote wa tasnia ya habari walioguswa na kifo chake.
Mwenyezi Mungu  awape nguvu na faraja katika wakati huu mgumu. Amina!

Bwana ametoa na Bwana

Ni msiba mkubwa kumpoteza mtangazaji kama Gadner G Habash. Salamu za rambirambi na pole kwa familia, marafiki, mashabiki na wafanyakazi wote wa tasnia ya habari walioguswa na kifo chake. Mwenyezi Mungu  awape nguvu na faraja katika wakati huu mgumu. Amina! Bwana ametoa na Bwana
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kufika salama Kagera ni baraka kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Tuko tayari kuanza upya safari ya kutetea haki za Watanzania na rasilimali zetu. Tunajikita katika kujenga kesho ambayo sisi na vizazi vijavyo tutajivunia. Nitakuwa Bukoba kesho kwa Maandamano ya Amani, tukisimama

Eid Mubarak!

Katika sherehe hii njema ya Eid ul-Fitr, natoa salamu zangu za dhati na kuwatakia yote yaliyo mema kwa Waislamu wote duniani. Nawaombea siku hii iwe imejaa amani, furaha, na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu.

Tunaposherehekea mwisho wa Ramadhani, tukumbuke masomo

Eid Mubarak! Katika sherehe hii njema ya Eid ul-Fitr, natoa salamu zangu za dhati na kuwatakia yote yaliyo mema kwa Waislamu wote duniani. Nawaombea siku hii iwe imejaa amani, furaha, na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu. Tunaposherehekea mwisho wa Ramadhani, tukumbuke masomo
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia wakristo wote heri ya Pasaka.
Ni wakati wa kusherehekea Nguvu ya Upendo, Msamaha na Tumaini Jipya kupitia ufufuo wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Tusheherekee sikukuu hii kwa furaha na amani pamoja na familia na marafiki. Kama tunavyojua, Pasaka na ufufuo wa Yesu Kristo ni

Nawatakia wakristo wote heri ya Pasaka. Ni wakati wa kusherehekea Nguvu ya Upendo, Msamaha na Tumaini Jipya kupitia ufufuo wa Bwana wetu Yesu Kristo. Tusheherekee sikukuu hii kwa furaha na amani pamoja na familia na marafiki. Kama tunavyojua, Pasaka na ufufuo wa Yesu Kristo ni
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Leo ni zamu ya Yanga kutupa kete yake! Nawatakia Wananchi ushindi mnono dhidi ya Mamelodi Sundown kwenye mechi ya leo. Tuvunje mwiko na tulete ushindi nyumbani!

Leo ni siku ya ushindi! Nawatakia Simba Sports Club mafanikio makubwa katika mechi yao ya leo dhidi ya Al Ahly. Tuvunje mwiko na tulete ushindi nyumbani!

Kwa masikitiko na majonzi makubwa leo tunalia na familia, ndugu, jamaa, marafiki,  wafanyabiashara na wapenda Haki, kwa msiba wa mpendwa wetu Mustafa Jaffer Sabodo. Mchumi mwenye maono, mfanyabiashara mashuhuri na mtu aliyetoa misaada mingi kwa jamii ambaye kazi yake imeenea

International Democracy Union(@idualliance) 's Twitter Profile Photo

The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Tanzania Party Leader will join us at the Asia-Pacific in . Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world! 🇹🇿🌏

The IDU is pleased that @freemanmbowetz, @ChademaTz Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific in #NewZealand. Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world! 🇹🇿🌏
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Hongera @spaceX chini ya uongozi wa @ElonMusk kwa jaribio la tatu la starship, ambayo yamekuwa ya mafanikio zaidi kuliko yaliyotangulia. Hakika ndoto ya kupeleka binadamu sayari ya Mars imezidi kukaribia. Je ni ndoto gani kubwa, zitakazobadilisha dunia, walizonazo vijana Tanzania

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kwa moyo wa upendo na umoja, nawatakia Waislam na Watanzania wote, Ramadhan Kareem! Iwe ni kipindi cha baraka tele na mafanikio katika sala na matendo mema. 🌙🕌🙏

Kwa moyo wa upendo na umoja, nawatakia Waislam na Watanzania wote, Ramadhan Kareem! Iwe ni kipindi cha baraka tele na mafanikio katika sala na matendo mema. #RamadanKareem #Tanzania 🌙🕌🙏
account_circle