John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profileg
John Heche

@HecheJohn

Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.

ID:558686364

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/John_Heche calendar_today20-04-2012 12:45:14

77,7K Tweets

731,2K Followers

1,4K Following

John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Mahakama Tanzania majaji wa Tanzania mnajisikiaje mkiona haya?

Kulinda Nchi yetu sio jukumu la Chadema tu kama mnavyofikiri, kuna siku watoto wenu hawatakua majaji, wajukuu zenu watajutia maamuzi yaliyofanywa na babu zao.

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

KENYA: MAHAKAMA KUU YAZUIA UBINAFSISHAJI WA BANDARI ZA MOMBASA NA LAMU

Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa Serikali kubinafsisha Bandari hizo kutokana na ombi la Wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa Usimamizi na mali za Mamlaka ya Bandari…

KENYA: MAHAKAMA KUU YAZUIA UBINAFSISHAJI WA BANDARI ZA MOMBASA NA LAMU Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa Serikali kubinafsisha Bandari hizo kutokana na ombi la Wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa Usimamizi na mali za Mamlaka ya Bandari…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

: Shule ya Msingi ipo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya

Shule hiyo ya Serikali ambayo ina Wanafunzi zaidi ya 100 ina Miundombinu chakavu na mingine haijarekebishwa tangu ilipopata changamoto ya kuharibiwa na mafuriko Mwaka 2011…

#KILIMANJARO: Shule ya Msingi #Kugulunde ipo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya #Same Shule hiyo ya Serikali ambayo ina Wanafunzi zaidi ya 100 ina Miundombinu chakavu na mingine haijarekebishwa tangu ilipopata changamoto ya kuharibiwa na mafuriko Mwaka 2011…
account_circle
gasantogel(@gasantogel) 's Twitter Profile Photo

John Heche Hivi majajinwa Kenya si wanaomba kazi? Wanalipwa Moja Kwa moja na hazina? Hazina ya Kenya ipo chini ya Rais? Katiba mpya itakayo punguza majukumu ya Rais ni muhimu! Tunahitaji Rais atakaye kuwa na uchungu wa kweli kwa kufanya kweli!

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Mafanikio yatajengwa na Wanasimba wote hilo ndio muhimu zaidi. Kwa wachezaji sitaangalia majina bali anayefanya vizuri, kiwango cha mchezaji ndio kitafanya nimtumie.'- Kocha mkuu Abdelhak Benchikha.

'Mafanikio yatajengwa na Wanasimba wote hilo ndio muhimu zaidi. Kwa wachezaji sitaangalia majina bali anayefanya vizuri, kiwango cha mchezaji ndio kitafanya nimtumie.'- Kocha mkuu Abdelhak Benchikha. #WenyeNchi #NguvuMoja
account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Majaji wa Kenya wametupilia mbali kodi ya Nyumba ambayo ilipitishwa na serikali bungeni,

Mahakama ya Kenya mara nyingi imekua kimbilio la wananchi, imekua ikizima majaribio ya serikali kuumiza wananchi.

Imekua ikitoa haki nyingi kwa wananchi ambazo serikali ilitaka kuzipora,…

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

PROF. TIBAIJUKA: NILIKATAA KITUO CHA MABASI KUJENGWA JANGWANI, SIKUWA NA MADARAKA YA KUZUIA

Prof. Anna Tibaijuka amesema akiwa Waziri wa Ardhi hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi

Tibaijuka…

PROF. TIBAIJUKA: NILIKATAA KITUO CHA MABASI KUJENGWA JANGWANI, SIKUWA NA MADARAKA YA KUZUIA Prof. Anna Tibaijuka amesema akiwa Waziri wa Ardhi hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka…
account_circle
Bruce Cuthbert Nyamwangi(@Mnyakwibat) 's Twitter Profile Photo

Na uchumi huu wa Mama!!!Itabidi wananchi tushone uniform za mashuleni tupandie madaladala kwenda mihangaikoni na kurejea nyumbani huku ni kuumizana kwa lazima.

Na uchumi huu wa Mama!!!Itabidi wananchi tushone uniform za mashuleni tupandie madaladala kwenda mihangaikoni na kurejea nyumbani huku ni kuumizana kwa lazima.
account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Africa tukiambiwa tuna matatizo tunasema wazungu wanatutukana!!!!! Huyu anakuaje kiongozi wa watu kulinda maslahi makubwa ya Nchi?

Kwanini asipumzike kuliko kujidhalilisha hivi!!!!

account_circle
Mchokozi !!(@OleMtetezi) 's Twitter Profile Photo

Alichokifanya Pauline Gekul Kinaweza Kuwashangaza Wengi, Lakini Kwa Ambao Tunaijua CCM Vizuri Haitushangazi, Kuna Mambo Ya Kutisha Zaidi Ya Aliyoyafanya Gekul Yanafanya Na WanaCCM Kila Kukicha Na Hakuna Hatua Zinazochukuliwa, Gekul Alikua Kwenye Utekelezaji Wa Ilani Yao

account_circle
Kumbusho Dawson Kagine(@KumbushoDawson) 's Twitter Profile Photo

1. CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia kimemteua Paul Christian Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na uenezi CCM. PM Alishawahi kuvamia CLOUDS Kwa MITUTU YA BUNDUKI.

2. Rais Samia ametengua uteuzi wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Pauline Gekul.

Tafuta thamani ya X

account_circle