Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profileg
Salim Kikeke

@Salym

Award-winning Radio & TV Presenter | Freelance Journalist | Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzania

ID:21997871

linkhttps://www.youtube.com/channel/UCPUyfcCAY-Y-lnDpVe9yUcw?view_as=subscriber calendar_today26-02-2009 10:54:50

22,8K Tweets

1,0M Followers

524 Following

Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Wasamaria wema nchini Marekani wamesaidia mtu aliyepata ajali baada ya kugongwa, na gari lake kupinduka upande.

Picha za video za usalama barabarani zimeonesha dereva mmoja akienda mara moja kusaidia baada ya ajali hiyo kutokea, na watu wengine kuungana naye kulisimamisha gari,…

account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Sioni maana, visivyo na maana kuwa vya maana kwa watu wa ‘maana’. Ina maana, maana imepoteza maana? au maana ina maana tofauti kwa watu tofauti? Au ‘watu wa maana’ hawana maana?
Nisaidie kupata maana, maana…..🤔🤔🤔

Sioni maana, visivyo na maana kuwa vya maana kwa watu wa ‘maana’. Ina maana, maana imepoteza maana? au maana ina maana tofauti kwa watu tofauti? Au ‘watu wa maana’ hawana maana? Nisaidie kupata maana, maana…..🤔🤔🤔
account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Did you know?
The name “Serengeti” actually has meaning. It is derived from the Maasai word “Siringit”, which means the “place where the land moves forever” or “endless plain”.

Did you know? The name “Serengeti” actually has meaning. It is derived from the Maasai word “Siringit”, which means the “place where the land moves forever” or “endless plain”.
account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Kama unampigia mtu simu kwa mara ya kwanza na unafahamu kuwa hana namba yako ni vyema ukatuma ujumbe mfupi kwanza wa kujitambulisha kabla ya kupiga simu.

account_circle
mbelwa Kairuki(@MbelwaK) 's Twitter Profile Photo

It was a pleasure to join the Tanzanian diaspora with their East African colleagues for the Iftar dinner at Hujjat Centre in London.  I was pleased to learn from the Centre's Executive Trustees about the work of their charity in Tanzania covering the health and education sectors.…

account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Shambulio la bomu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limesababisha vifo vya wanajeshi watatu wa jeshi la Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC.

Wote watatu waliouawa wanatoka Tanzania.

Wanajeshi wengine watatu wamejeruhiwa, imeripoti BBC.

“Mabomu…

Shambulio la bomu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limesababisha vifo vya wanajeshi watatu wa jeshi la Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC. Wote watatu waliouawa wanatoka Tanzania. Wanajeshi wengine watatu wamejeruhiwa, imeripoti BBC. “Mabomu…
account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa Rwanda wanaadhimisha miaka 30 tangu yalipotokea mauaji ya kimbari yaliyochochewa na Wahutu wenye silaha, na kusababisha hadi majirani kuuana katika mauaji mabaya kuonekana katika karne ya 20.

Rais Paul Kagame ameongoza maadhimisho hayo siku ya Jumapili kwa kuweka…

Wananchi wa Rwanda wanaadhimisha miaka 30 tangu yalipotokea mauaji ya kimbari yaliyochochewa na Wahutu wenye silaha, na kusababisha hadi majirani kuuana katika mauaji mabaya kuonekana katika karne ya 20. Rais Paul Kagame ameongoza maadhimisho hayo siku ya Jumapili kwa kuweka…
account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Hizi ni takwimu za vifo za Wapalestina katika miezi sita iliyopita kwenye vita vya Gaza.

Zaidi ya wakazi 33,000 wa Gaza wameuawa, wengi wao wakiwa raia, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.

Takwimu ambazo zimetolewa na wizara hiyo kuanzia Aprili 5 zinaonesha…

Hizi ni takwimu za vifo za Wapalestina katika miezi sita iliyopita kwenye vita vya Gaza. Zaidi ya wakazi 33,000 wa Gaza wameuawa, wengi wao wakiwa raia, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas. Takwimu ambazo zimetolewa na wizara hiyo kuanzia Aprili 5 zinaonesha…
account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Leo ni miezi sita kamili tangu vita hivi vya sasa vya Gaza kuanza. Mapigano haya yalianza baada ya shambulio la Hamas nchini Israel lililosababisha vifo 1,200 na mateka 250 kuchukuliwa Oktoba 7, 2023.

Israel ilianzisha mapambano ya kijeshi baada ya tukio hilo, na kusababisha…

Leo ni miezi sita kamili tangu vita hivi vya sasa vya Gaza kuanza. Mapigano haya yalianza baada ya shambulio la Hamas nchini Israel lililosababisha vifo 1,200 na mateka 250 kuchukuliwa Oktoba 7, 2023. Israel ilianzisha mapambano ya kijeshi baada ya tukio hilo, na kusababisha…
account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula amejisalimisha polisi, siku moja baada ya kujiuzulu kuhusiana na tuhuma za ufisadi.

Bi Mapisa-Nqakula aliwasili kwenye kituo cha polisi cha Centurion, kilomita 24 kutoka Johannesburg siku ya Alhamisi.

Anatarajiwa…

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula amejisalimisha polisi, siku moja baada ya kujiuzulu kuhusiana na tuhuma za ufisadi. Bi Mapisa-Nqakula aliwasili kwenye kituo cha polisi cha Centurion, kilomita 24 kutoka Johannesburg siku ya Alhamisi. Anatarajiwa…
account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya CRDB (CRDB Bank PLC) zimesaini mkataba wa udhamini wa Kombe la Shirikisho (CRDB Bank Federation Cup) wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 3 kwa miaka mitatu na nusu.

account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Makazi ya Rais Dina Boluarte wa Peru yamepekuliwa na polisi katika uchunguzi unaoendelea wa ufisadi ukihusishwa na saa kadhaa za mkononi, polisi wamesema.

Shirika la habari la AFP limeripoti likikariri waraka wa polisi uliosema takriban mafisa 40 wa polisi walihusika na upekuzi…

Makazi ya Rais Dina Boluarte wa Peru yamepekuliwa na polisi katika uchunguzi unaoendelea wa ufisadi ukihusishwa na saa kadhaa za mkononi, polisi wamesema. Shirika la habari la AFP limeripoti likikariri waraka wa polisi uliosema takriban mafisa 40 wa polisi walihusika na upekuzi…
account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Marekani imeripotiwa kuidhinisha upelekwaji wa silaha zenye thamani ya mabilioni ya dola kwenda Israel, licha ya mvutano kuwepo kati yao wiki hii wakati Marekani ilipoonekana kuitenga Isreal kwenye suala la Gaza.

Silaha hizo ni pamoja na zaidi ya mabomu 1,800 ya MK84 yenye uzito…

Marekani imeripotiwa kuidhinisha upelekwaji wa silaha zenye thamani ya mabilioni ya dola kwenda Israel, licha ya mvutano kuwepo kati yao wiki hii wakati Marekani ilipoonekana kuitenga Isreal kwenye suala la Gaza. Silaha hizo ni pamoja na zaidi ya mabomu 1,800 ya MK84 yenye uzito…
account_circle