Maria Sarungi Tsehai
@MariaSTsehai
Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
ID:24312877
https://mariasarungitsehai.medium.com/ 14-03-2009 02:40:08
692,2K Tweets
1,2M Followers
8,2K Following
Join us as we delve into this pressing issue with experts from various fields, sharing insights and exploring strategies for responsible fiscal management. #EurobondKenya
Together, let's shape a legacy of financial stability and opportunity for generations to come. #EurobondKenya
Maria Sarungi Tsehai Kafanya mavikao yake Ndago,Misigiri,Sheluhi,Mtamaa,Mwankoko, Iguguno, Mtamaa utadhani yeye ndo mkuu wa mkoa ili aue watu
Maria Sarungi Tsehai Elibariki Kingu namjua sana ni mshenzi kawafanyia watu vitu vibaya sana kajaribu mpaka kuwaua madiwani wa Chadema manispaa ya Singida 2010-2015_2020. Ila ipo siku yake
Samia Suluhu Naomba post inayofuta utakayoweka IKAONYESHE kule NGORONGORO huduma za Maji, Umeme, Afya,Shule ulizofanya kwa miaka mitatu uliyokaa MADARAKANI. Kama kuna lolote ulilofanya kwa pale NGORONGORO tu. Naisubiri.
Kwani Elibariki Immanuel Kingu kwao ni wapi? Maana nataka niamini kuwa akirudi kutoka huko US watamalizana kinyumbani. Landa ndo maana hata hasemi kitu. Anajua litaisha tu.
Maria Sarungi Tsehai Sisiemu ni ilele kwa maana kwamba they are using the so called ilani ya chama so the problem is not a person it's what drives them to appear the way we see them shame on SISIEMU,,,
Thank you .Larry Madowo for amplifying our struggle. We are still waiting .Sakaja Arthur Johnson to respond effectively. Sad that we have lost our own comrade/Activist Benna Buluma (Mama Victor) as a result of ongoing floods in Mathare. The country we fight for ,has betrayed us.
Chama cha CHADEMA leo kimepeleka maandamano ya amani Geita mjini, leo ikiwa ni siku ya nne tangu maandamno ya awamu ya tatu kuanza siku ya Jumatatu.
#MwanzoHabari
Pata taarifa zaidi hapa: youtube.com/live/tG18v9ZcK…
“This suspension is a big deal... It is not often that funding of a project is stopped while an investigation by the The Inspection Panel is happening.” - Anuradha Mittal
@Mongabay Victoria Schneider: Human rights allegations prompt World Bank to freeze project’s funds in Tanzania:
Bodi ya bonde la Ziwa Victoria imewataka wananchi wanaozungukwa na bonde hilo kuchukua tahadhari ili kuondoka katika maeneo hatarishi, baada ya kina cha maji ya Ziwa Victoria kuongezeka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
#MwanzoHabari
Pata taarifa zaidi hapa:
Maria Sarungi Tsehai Huyo lissu aliuliwa akafufuka na bado mpaka leo hakuna mtu aliyekamatwa,sisi wananchi tuna matatizo.makubwa sana haya yote sisi ndio tunayasababisha watu wanaumizwa wanauawa we do nothing to stop them haki tutauliwa wote
Watu 155 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.
#MwanzoHabari
Pata taarifa zaidi hapa: youtu.be/foTtbBn-BFE