Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profileg
Madenge

@rollymsouth

Presenter and Creative Marketing @EfmTanzania

ID:351661592

linkhttp://www.madenge.co.tz calendar_today09-08-2011 15:30:21

176,2K Tweets

1,2M Followers

2,7K Following

Aman Martins | Champ(@amanimkagulu) 's Twitter Profile Photo

Nashukuru kwa nafasi ya kuchangia mada hii hapa jukwaani.

Suala la ajira na mitandao ni pana na mtambuka, nina hakika mawazo na ujuzi wangu havitoshi na wakati mwingine vyaweza kurekebishwa. Natarajia kujifunza pia kutokana na maswali na michango ya wengine.

Karibuni…

Nashukuru kwa nafasi ya kuchangia mada hii hapa jukwaani. Suala la ajira na mitandao ni pana na mtambuka, nina hakika mawazo na ujuzi wangu havitoshi na wakati mwingine vyaweza kurekebishwa. Natarajia kujifunza pia kutokana na maswali na michango ya wengine. Karibuni…
account_circle
Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Katika kitu kinaambatana na mengi negative ukiachana na faida zake nadhani ni fame, ukiwa mwepesi inakula na stress.

account_circle
Mr Mushi(@mrmushico) 's Twitter Profile Photo

Tumia mbao ngumu {hardwood} yenye rangi nzuri na samani zake huwa na mwonekano mzuri.


Bei ya Mbao za Mninga
2*8 tsh 90,000 ft 9
2*6 tsh 60,000 ft 9
2*10 tsh 120,000 ft 9

Wasiliana +255689001102

Tumia mbao ngumu {hardwood} yenye rangi nzuri na samani zake huwa na mwonekano mzuri. #mninga Bei ya Mbao za Mninga 2*8 tsh 90,000 ft 9 2*6 tsh 60,000 ft 9 2*10 tsh 120,000 ft 9 Wasiliana +255689001102
account_circle
Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Ikiwezekana madereva wa school bus wawe na treatment tofauti aisee, waende hata NIT..CV yao iwe nene kama madereva wa gari za serikali,haya ya mtu alikuwa dereva daladala(ambao wengi sio wastaarabu) kupewa gari ya shule itatuumiza sana.

account_circle
Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Hao watoto wanaoandika matusi kwenye mitihani ndio wanakuwa wakubwa wananunua smartphone..sijui nilitaka kusema nini

account_circle
EANNASO(@eannaso) 's Twitter Profile Photo

How can we engage with local human rights commissions? This is what Robert Shaita Athewa from NANHRI is dissecting for the partners bringing in get this….the refugee aspect and the nexus between the EU International Partnerships 🇪🇺 supported project SHARP from the sexual reproductive health…

How can we engage with local human rights commissions? This is what @athewa1 from @NANHRI40 is dissecting for the #SHARP partners bringing in get this….the refugee aspect and the nexus between the @EU_Partnerships supported project SHARP from the sexual reproductive health…
account_circle
Kabigwa_Afya💊(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Maji💦 -> Kwa Ajili ya Figo!

Mayai 🥚-> Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!

Carrots🥕 -> Kwa Ajili ya Macho!

Nanasi 🍍-> Kwa Ajili ya Koo!

Cabbage 🥬 -> Kwa Ajili ya Utumbo!

Tango 🥒 -> Kwa Ajili ya Ngozi!

Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!

Parachichi & Nyanya 🥑 -> Kwa Ajili…

account_circle