fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profileg
fatma karume aka Shangazi

@fatma_karume

Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight

ID:953871384400269312

calendar_today18-01-2018 06:07:14

69,3K Tweets

1,1M Followers

600 Following

Boniface Mwabukusi(@Mwabuk2Boniface) 's Twitter Profile Photo

Sina shida na Makonda Kuitwa hoja yangu ni hii aliyasema haya mbele ya Mwenyekiti wake ?! Je hawa wanao muita Makonda wanamuita kwa kosa gani? Kama ni lile basi Mwenyekiti wake aitwe kwa kushindwa kumkemea hadharani? Natumaini mtamwita na yule mpoteza watu wa Kagera.?

Sina shida na Makonda Kuitwa hoja yangu ni hii aliyasema haya mbele ya Mwenyekiti wake ?! Je hawa wanao muita Makonda wanamuita kwa kosa gani? Kama ni lile basi Mwenyekiti wake aitwe kwa kushindwa kumkemea hadharani? Natumaini mtamwita na yule mpoteza watu wa Kagera.?
account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

CCM mkiweza kifuata na kuheshimu KATIBA yenu pengine mtaanza kuheshimu Katiba yetu hii ya 1977. Maana hata hii Katiba yetu na udhaifu wake hamuheshimu!

account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Tunarudi kule kule na hii ni kwa sababu hawataki kuweka HAKI ya Mtoto wa Kike ya Kusoma kwenye SHERIA.
Tumewaambia! Wanatupuuza!
Kuna Rais wa KE na bado RC wa KE ananyanyasa the girl child.
It’s a disgrace.

account_circle
Aikande Clement Kwayu(@aikande) 's Twitter Profile Photo

Mhe Rais Samia Suluhu huyu Mkuu wa Mkoa anaenda kinyume na agizo lako la Nov.2021 na Waraka wa Kamishna wa Elimu No. 2 2021 kuhusu kurudisha watoto waliodondoka kwa ajili ya ujauzito na sababu nyingine kurudi shule.

Mhe Rais @SuluhuSamia huyu Mkuu wa Mkoa anaenda kinyume na agizo lako la Nov.2021 na Waraka wa Kamishna wa Elimu No. 2 2021 kuhusu kurudisha watoto waliodondoka kwa ajili ya ujauzito na sababu nyingine kurudi shule.
account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Can we have the full story please 🙏🏾
A thread.
ZAECA ndio inayopambana na wafanya biashara za dawa za kulevya kwa kutumia sheria.
Anavyosema Paulo, kazi hii anaifanya YEYE BINAFSI huku Bara kwa kutumia AMRI!

😂😂😂
Hebu nicheke mie!

Nchi ina mambo hii!
😂😂😂

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Shida iko! Kama wamarekani wanavyosema “Houston, we have a problem”
😄😄
Ila NGO zote kubwa sijaona mkitia neno - vipi? si lelemama!
Tukipata kiongozi mwingine kama Magufuli au huyu RC ndo tunaanza mchakamchaka tena!
Mtoto wa kike mwacheni asome! Ujauzito si kosa

account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Watu walilalamika wakati anateuliwa kuwa Mwenezi wa CCM.
Tukaambiwa hayatuhusu maana si wanachama.
Watu wakalalamika alivyoteuliwa kuwa RC wa Arusha.
Tukaambiwa hayatuhusu maana ni matakwa ya Rais.
Haya sasa wacha wahangaike nae.
🙌🏽
Tuone kama watambadilisha HULKA!
🤔

account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

😂😂👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Narcissist habadiliki kamwe:
Unaweza kumfundisha kujidhibiti lakini HULKA yake haiwezi badilika!
Never.

account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Imagine:
Mtoto wako wa kike wa miaka 13 kabakwa alivyokwenda kuteka maji mtoni.
Kashika mimba.
Anakamatwa na kupelekwa JELA kwa AMRI ya RC mbabe.
Na wewe pia unawekwa ndani!

Huyu mama hafai kuwa RC!
Hana BUSARA na HURUMA wala haelewi SHERIA za nchi.

Sadly ataendelea kuwa RC

Imagine: Mtoto wako wa kike wa miaka 13 kabakwa alivyokwenda kuteka maji mtoni. Kashika mimba. Anakamatwa na kupelekwa JELA kwa AMRI ya RC mbabe. Na wewe pia unawekwa ndani! Huyu mama hafai kuwa RC! Hana BUSARA na HURUMA wala haelewi SHERIA za nchi. Sadly ataendelea kuwa RC
account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️
Juzi huyu RC alipiga marufuku unywanji wa pombe asubuhi.
Leo anataka watoto wa kike walieshika mimba wakiwa shuleni wakamatwe!
Kwa SHERIA gani?
Stupid is as stupid does!

account_circle
Tito Magoti, PG(@TitoMagoti) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni mhalifu anayehangaika kufuta historia yake kwa kuonesha ni mhanga pia.

Damu za watu zinamtesa.

Akimaliza kujiliza ataje:
- Utajiri wake na alikoutoa
- Watu aliowadhulumu maisha yao
- Watu aliowafilisi, tesa na kutupa jela

Nchi haiendeshwi kwa ujasiri wa mhalifu

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️ ‼️
🚨USIPITE BILA KUSOMA - KIFO CHA MAGUFULI👇🏾🚨

Mpina aanzie hapa! Kabla ya kifo cha Magufuli ripoti ilitolewa kuwa alipelekwa matibabu Nairobi! There is a huge cover up!
Kwangu hii taarifa wala si udaku ni confirmed na watu reliable - sema wameamua it is not

‼️#Tanzania ‼️ 🚨USIPITE BILA KUSOMA - KIFO CHA MAGUFULI👇🏾🚨 Mpina aanzie hapa! Kabla ya kifo cha Magufuli ripoti ilitolewa kuwa alipelekwa matibabu Nairobi! There is a huge cover up! Kwangu hii taarifa wala si udaku ni confirmed na watu reliable - sema #Kenya wameamua it is not
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mkoani Dar es salaam, Halima Bulembo ameziagiza Mamlaka za Serikali ikiwemo Wenyeviti wa Kata na Mitaa ya Kigamboni kuwachukulia hatua wote watakaobainika kuwa maeneo yao ya biashara na wanayoishi ni machafu ikiwa ni sehemu ya tahadhari ya kujikinga na

account_circle