Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profileg
Mdude Chadema

@mdudechadematz

I'm back from prison.

MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV).
An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.

ID:1417391073253629953

calendar_today20-07-2021 07:49:19

5,5K Tweets

122,8K Followers

390 Following

Follow People
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Muda huu katika viwanja vya mashujaa wa vita vya Kagera hapa kwa General Mayunga tukihitimisha maandamano ya kudai na Tume huru ya Uchaguzi. Tumeandamana kwa zaidi ya km 7 na baada ya hapa kituo kinachofuata ni Kahama Shinyanga. Hodi Kahama.

Muda huu katika viwanja vya mashujaa wa vita vya Kagera hapa kwa General Mayunga tukihitimisha maandamano ya kudai #KatibaMpya na Tume huru ya Uchaguzi. Tumeandamana kwa zaidi ya km 7 na baada ya hapa kituo kinachofuata ni Kahama Shinyanga. Hodi Kahama.
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Jana Asubuhi nimeanza safari ya kutoka Dar-Bukoba kutumia usafiri wa Passo Km 1,415 kwa ajili ya maandamano. Tren ya umeme nayo imeanza safari asubuhi kutoka Dar - Dodoma km 452. Saa moja usiku nikiwa Tabora ndio tren inaingia Dodoma. Samia ametutapeli hili si tren ya mwendokasi

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Ila JWTZ mna siri sana kumbe Bashite alitaka kuuawa kwa drone mkamsaidia? Kumbe mna mitambo ya kuzuia drone kama Israel? Nimemsikia Bashite mwenyewe anawashukuru JWTZ kwa kuzuia drone. Hakika mama anaupiga mwingi 😁😁

Uchumi unakuaje bila siasa? Hili Bumunda halijui siasa ndio inajenga uchumi? Yani hapa ni sawa na kutegemea mkeo apate mimba huku umejizuia kufanya naye tendo la ndoa. Haya ndio madhara ya kuokoteza watu waliotupwa jalalani na serikali zilizopita kisha kuwarudisha kwenye uongozi

Fikiria mshahara wa mwezi mmoja wa mbunge ambao ni milion 18 ndio analipwa mwalimu, mwanajeshi kama kiinua mgongo baada ya kuitumikia nchi kwa miaka 30. Malipo haya ni baada ya kikokotoo. Wabunge walitunga sheria ya kikokotoo halafu pesa ya kikokotoo wakajiongezea mshahara +posho

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Samia imeona bora inunue magari ya wakuu wa wilaya kuliko kuweka daraja ama kivuko katika mto huu. Pamoja na tabu hii mwalimu huyu akistaafu anakutana na kikokotoo kitachopukutisha kiinua mgongo chake na kubaki tee. Cha ajabu uchaguzi ukifika anaisaidia ccm kuiba kura

Ni nani aliyewashauri haya mabumunda ya ccm kufungua kesi hii? Hivi mnajua kesi hii inamdhalilisha Samia na kumuhusisha moja kwa moja kwenye mapenzi ya jinsia moja? Mnadhani mnamkomoa Mange wakati upande wa pili mnamharibia Samia kumhusisha na upinde? Mambo ya aibu haya kwa taifa

Anyway kama noma na iwe noma. Sisi sio wapole kiasi hicho tuna uwezo wa kugeuza nchi hii kuwa Syria. Mmemteka Mwamlima mmemtesa kwenye vituo vya polisi kadhaa ikiwemo Dodoma na Igunga now mnakuja kuchochea hasira? Pengine hii ndio nafasi yetu ya kulipiza kisasi kwa haya mafisadi.

Nina hasira sana na SSH. Fikiria Kennedy Mwamlima anaonyesha udhaifu wa utendaji wake ukosefu wa barabara, maji, zahanati n.k huko TikTok anatekwa. Halafu hawa watekaji wa Task Force wanamuuliza ametumwa na nani kuibua mapungufu ya serikali ya SSH? Napata hasira mpaka natetemeka

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais Samia Suluhu katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Asanteni wote mliopaza sauti

Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais @SuluhuSamia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Asanteni wote mliopaza sauti
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Ndugu wanaharakati kuna tetesi za uwepo wa kikosi cha utekaji kinachoratibiwa na Tulia Aksoni, RSO wa Mbeya, Bashite pamoja na Rostam Aziz. Inadaiwa kikosi hiki ndio kimemteka Kennedy Mwamlima. Tafadhari tembeeni na silaha za kujihami na mkiwaona watekaji hawa piga yowe ya wezi.

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

25/9/2023 niliandika hapa juu ya taarifa zinazohusu Dr. Tulia Ackson kufadhili kikosi cha Green Guard ili aniuwe kwa kunikata mapanga.

7/10/2023 niliandika taarifa za TISS Mbeya kupanga tukio hilohilo juu yangu

Tukio la Mwamlima kutekwa tunawatuhumu Tulia na TISS Mbeya kuhusika.

25/9/2023 niliandika hapa juu ya taarifa zinazohusu @TuliaAckson kufadhili kikosi cha Green Guard ili aniuwe kwa kunikata mapanga. 7/10/2023 niliandika taarifa za TISS Mbeya kupanga tukio hilohilo juu yangu Tukio la Mwamlima kutekwa tunawatuhumu Tulia na TISS Mbeya kuhusika.
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu kwanini serikali yako imemteka kijana wa watu anayeangazia mapungufu ya serikali yako? Rais ni mtumishi wa umma serikali yake inapofanya vibaya lazima akosolewe au kama hataki kukosolewa aache kazi tuajiri mwingine. Tafadhari mwachieni Kennedy Mwamlima.

account_circle
GreaterThinker💎(@HopeQuotes__) 's Twitter Profile Photo

Mwamba ana Piga Harakati za Face to Face tena ana zungumza Changamoto za WanaNchi wa Jimboni kwake, ila Serikali ya Samia Suluhu ime mkamata huu ni uonevu Mkubwa saana Kosa lake hapa ni Lipi.....???

Police Force TZ acheni uonevu kwa Raia

account_circle
Dunya 🌑🌑(@DunyaRango) 's Twitter Profile Photo

Tanzania ukitoa maoni kama haya unatekwa! Huyu ni mkazi wa mbeya katekwa na police kwa kukodoa na kusema ukweli uzembe wa serikali CCM

account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Huyu mdau baada ya kutoa haya malalamiko ametekwa na CCM wakishirikiana na Jeshi la Polisi

HIi ina maana gani kwenye mama amefungua nchi kama mwananchi anatekwa sababu ya kutoa maoni mazuri namna hii?

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Kenedy Mwamlima ambaye ni TikToker maarufu kwa kukosoa serikali ya Samia ametekwa na watu wanaodaiwa ni polisi Mbeya mjini. Siku ya tano leo ndugu zake hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka polisi Mbeya. Sisi watetezi wa haki tunaitaka serikali ya Samia Suluhu imwachie Mwamlima.

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Kitu pekee kitapelekea vita kuu ya tatu ya dunia ni dini na chanzo ni ule msikitini wa Al-Aqsa Jerusalem. Pale pana historia ya Ukristo, Uyahudi na Uislamu na ndipo lilipokuwa hekalu ya Suleiman. Now wayahudi wana mpango wa kujenga hekalu la tatu la Suleiman katika msikitini huo.

account_circle