Police Force TZ(@tanpol) 's Twitter Profileg
Police Force TZ

@tanpol

Tanzania Police Force - Usalama Wa Raia na Mali zao

ID:1978035230

linkhttp://www.polisi.go.tz calendar_today21-10-2013 09:00:57

6,1K Tweets

421,9K Followers

34 Following

Police Force TZ(@tanpol) 's Twitter Profile Photo


Wanaokimbilia maeneo zinapotokea Ajali za Barabarani wametakiwa kuacha tabia hiyo kwa kuwa wanahatarisha usalama wa maisha yao na mali za watu.

Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi leo Aprili 22, 2024 imewataka Wananchi kuonyana
instagram.com/reel/C6EFlaFIb…

account_circle
Police Force TZ(@tanpol) 's Twitter Profile Photo


TAARIFA kuhusu tabia ya baadhi ya Wananchi kukimbilia maeneo ya ajali kwa lengo la kuwaibia majeruhi na kufanya uharibifu.
instagram.com/p/C6EICFVsF4p/…

account_circle