Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profileg
Martin Maranja Masese

@IAMartin_

MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |

ID:126657061

linkhttps://www.instagram.com/martinmaranjamasese?igsh=bTR1eWEzOTRqcGtj&utm_source=qr calendar_today26-03-2010 15:32:42

145,0K Tweets

502,3K Followers

1,5K Following

Follow People
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Zanzibar hawana uwezo wa kuzalisha umeme. Umeme wanaotumia unatoka Tanganyika, unapita baharini, wanawasha taa zao na luninga. Tuliwasamehe deni la umeme, walishindwa kulipa zaidi ya TZS 111 bilioni.

ZECO inanunua umeme kutoka TANESCO na inawauzia wateja wa katika visiwa vya

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Unaishi ardhi ambayo maofisa 7 wa jeshi la polisi wanashirikiana kumpora milioni 70 raia baada ya kuuza madini kisha kumuua kwa sumu, wanautupa mwili wake baharini. Wanakula njama kuua raia. Watu timamu tulipaswa kushinikiza Reform, Restructuring and Rebuilding of Police force.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Hakuna suala mjadala, Zanzibar wapewe nchi yao!

Naunga mkono hoja ya mbunge wa Konde Zanzibar (ACT-Wazalendo), Mohammed Said Issa utaratibu wa kutumia hati ya kusafiria (Passport) kuingia Zanzibar ikiwemo watu kutoka Tanganyika urejeshwe.

Mohammed Said Issa alisema Zanzibar

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Sheikh Ally Mohammed Kadogoo, mwanachama wa CHADEMA. Hakika, tunajitosheleza bablai, tunazo mashine za kushambulia majini, ardhini na angani. Karibu, sikiliza nondo zake mujarabu hapa.

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Shinyanga imesimama kuhesabiwa!

Asanteni sana wananchi wa Shinyanga kwa kusimama imara katika kutetea haki zenu na kusongesha mbele safari ya mabadiliko. Tupo pamoja katika harakati za kuleta maendeleo na kutetea haki za kila Mtanzania. Tuendelee kushikamana katika safari hii ya

Shinyanga imesimama kuhesabiwa! Asanteni sana wananchi wa Shinyanga kwa kusimama imara katika kutetea haki zenu na kusongesha mbele safari ya mabadiliko. Tupo pamoja katika harakati za kuleta maendeleo na kutetea haki za kila Mtanzania. Tuendelee kushikamana katika safari hii ya
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

How can a policeman kill an innocent soul? These are criminals dressed as police officers. They pose a threat, so if you see them, run or hide because your life is in danger. We are confident that justice will be achieved and all those involved at all levels will be apprehended

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Nini kimetokea? Furaha Dominick ni kati ya vijana walikuwa wazito katika utawala wa Rais John Pombe Magufuli. Anatajwa kuwa mtoto wa dada yake JPM.

Furaha Dominic Julai 21, 2020 aliongoza kura za maoni Jimbo la Kawe baada ya kupata kura 101 kati ya 474 zilizopigwa akifuatiwa na

Nini kimetokea? Furaha Dominick ni kati ya vijana walikuwa wazito katika utawala wa Rais John Pombe Magufuli. Anatajwa kuwa mtoto wa dada yake JPM. Furaha Dominic Julai 21, 2020 aliongoza kura za maoni Jimbo la Kawe baada ya kupata kura 101 kati ya 474 zilizopigwa akifuatiwa na
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Nchi yetu inayo sheria ya uchunguzi wa vifo vyenye mashaka (The Inquests Act of Tanzania, 24 R.E. 2019, establishes Coroners Courts) ambayo ni Sura ya 24 ya sheria za Tanzania. Nafikiri wengi hawaifahamu.

Chini ya sheria hii (The Inquests Act of Tanzania, 24 R.E. 2019,

Nchi yetu inayo sheria ya uchunguzi wa vifo vyenye mashaka (The Inquests Act of Tanzania, 24 R.E. 2019, establishes Coroners Courts) ambayo ni Sura ya 24 ya sheria za Tanzania. Nafikiri wengi hawaifahamu. Chini ya sheria hii (The Inquests Act of Tanzania, 24 R.E. 2019,
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Muelezeni Afande Muliro nipo tayari kwa lolote.

Nimepokea taarifa kutoka katika kikao cha kamanda wa kanda maaluma ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro alichofanya leo na waandishi wa habari, ofisini kwake Jijini Dar es salaam.

Nimesikitika sana kuona Kamanda Muliro

Muelezeni Afande Muliro nipo tayari kwa lolote. Nimepokea taarifa kutoka katika kikao cha kamanda wa kanda maaluma ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro alichofanya leo na waandishi wa habari, ofisini kwake Jijini Dar es salaam. Nimesikitika sana kuona Kamanda Muliro
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

PETER ANTHONY MWAMLIMA (28), mkazi wa Kimara-Korogwe DSM. Nyumbani kwao asili ni Mbeya Airport. Ni mjasiriamali/mfanyabiashara Kariakoo.

Peter Mwamlima anatafutwa na familia yake. Hajaonekana tangu April 16, 2024. Aliondoka na kuaga kwamba anakwenda Mlimani City na hakurudi.

PETER ANTHONY MWAMLIMA (28), mkazi wa Kimara-Korogwe DSM. Nyumbani kwao asili ni Mbeya Airport. Ni mjasiriamali/mfanyabiashara Kariakoo. Peter Mwamlima anatafutwa na familia yake. Hajaonekana tangu April 16, 2024. Aliondoka na kuaga kwamba anakwenda Mlimani City na hakurudi.
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Katika notisi ya kesi zinazotarajiwa kusikilizwa katika Mahakama ya Rufaa, leo, Aprili 23 mbele ya majaji watatu; Jaji Mkuye, Jaji Mwampashi na Jaji Muruke,

Mbele ya waheshimiwa majaji hao, itasikilizwa kesi ya madai baina ya EQUITY BANK dhidi ya kampuni ya STATE OIL (T) Ltd

Katika notisi ya kesi zinazotarajiwa kusikilizwa katika Mahakama ya Rufaa, leo, Aprili 23 mbele ya majaji watatu; Jaji Mkuye, Jaji Mwampashi na Jaji Muruke, Mbele ya waheshimiwa majaji hao, itasikilizwa kesi ya madai baina ya EQUITY BANK dhidi ya kampuni ya STATE OIL (T) Ltd
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Godwin Kunambi, alikuwa mkurugenzi mtendaji Jiji la Dodoma, sasa ni mbunge Mlimba, Kilombero, Morogoro. Kunambi, anasema ukweli kuhusu makada wa CCM kuteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri. DEDs Tanzania ni makada wa CCM wanaotumika kuiba kura wakati wa uchaguzi.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kama kawaida, barabara ya Morogoro (Morogoro Road) eneo la Jangwani pamefungwa tayari… mvua kunyesha dakika 45 tu, barabara hazipitiki. Halafu, ni eneo hilo kila mwaka linaleta ukorofi, serikali ipo kimya kama vile ipo vitani, inapigana na waasi.

Kama kawaida, barabara ya Morogoro (Morogoro Road) eneo la Jangwani pamefungwa tayari… mvua kunyesha dakika 45 tu, barabara hazipitiki. Halafu, ni eneo hilo kila mwaka linaleta ukorofi, serikali ipo kimya kama vile ipo vitani, inapigana na waasi.
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

“MICHEZO HARAMU KATIKA MIKOPO CHECHEFU”

Machi 2023, Rais Samia Suluhu Hassan aligusia ‘mikopo chechefu’ wakati akipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2021/2022. Wengi hawakufahamu ni kitu gani.

Pia, nafikiri hata Rais mwenyewe wakati

account_circle