Think Different
@lifeofmshaba
#ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |
ID:253815675
https://forms.gle/1JbJ9n38cpsSu5UM7 18-02-2011 01:07:14
198,1K Tweets
419,7K Followers
3,0K Following
KRA is asking taxpayers to submit documents to justify the source of income used to pay stamp duty on assets acquired in the last five years.
This applies to anyone who bought land and did not declare income previously
[TheStarKenya]
Think Different Bashite hata sadaka hana. Mameno mengi anashindwa hata kumtolea Mungu sadaka😂😂😂
JOHN HECHE ATOA IDADI YA WATU WALIOUWAWA NA POLISI
bit.ly/43Wn1JI
#StopPoliceBrutality #ChangeTanzania
Nchi inapokusanyika kufanya mazungumzo na serikali inaitwa maandamano, ni njia ambayo serikali inapaswa kujiuliza imekosea wapi mpaka wananchi kuchukua hatua hiyo na kutatua changamoto za wananchi. — Joseph Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3xxawbD
Samia Suluhu njoo tusikilize hii podcast land grab, displacing the Maasai... About The Atlantic brilliant article
Hii inatuhusu wote. Inakuhusu hasa wewe Kwa sababu ethnic element ya uhifadhi wa leo umeuleta wewe.
npr.org/2024/04/11/119…
Maisha nagumu yemetengenezwa na mifumo mibaya ya serikali ambayo ipo nchini. Mifumo ya kukwamua maisha ya wananchi italetwa na katiba bora. — Dr. Keroche moro #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3xxawbD
Well said, Shangazi Maria Sarungi Tsehai! It’s sickening and we need to stop these behaviors. The problem is the laws we have only applies when the victim is a high political elite.