Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profileg
Boniface Jacob

@ExMayorUbungo

Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020
Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov,
Ubungo councilor 2010-2020
BA.Ed UDSM alumni
CHADEMA Member

ID:1370193468

calendar_today21-04-2013 18:11:50

16,1K Tweets

450,5K Followers

7,8K Following

Follow People
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

RAFIKI ANGU AMEPOTEA TAKRIBANI MIAKA MINNE( 5 ).👇

Amepotelea Dar es salaam tangu mwaka 2020 tukiwa tunasoma Chuokikuu ( UDSM mwaka wa pili semester 1 akisomea Telecom Engineering)

●Jina : Jackson Allan Mahenge( Ndishu )
●Mahali anapotoka :…

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA RAFIKI ANGU AMEPOTEA TAKRIBANI MIAKA MINNE( 5 ).👇 Amepotelea Dar es salaam tangu mwaka 2020 tukiwa tunasoma Chuokikuu ( UDSM mwaka wa pili semester 1 akisomea Telecom Engineering) ●Jina : Jackson Allan Mahenge( Ndishu ) ●Mahali anapotoka :…
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kikomo kwa uwezo wenu, wanawake na wasichana wa Tanzania. Mna uwezo wa kubomoa vizuizi vyote na kufikia malengo yenu bila kikomo.
Leo, nimevushwa Busisi na Captain Rahma, mwenye ujasiri na uthubutu.
Endeleeni kung'aa na kusimama imara katika ndoto zenu. Mnaweza, na…

Hakuna kikomo kwa uwezo wenu, wanawake na wasichana wa Tanzania. Mna uwezo wa kubomoa vizuizi vyote na kufikia malengo yenu bila kikomo. Leo, nimevushwa Busisi na Captain Rahma, mwenye ujasiri na uthubutu. Endeleeni kung'aa na kusimama imara katika ndoto zenu. Mnaweza, na…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

Kwa majina naitwa RIDHIWANI HEMEDI MSANGI

Pichani nii baba yangu mdogo aliepotea tokea mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka 2021,

ambaye alikua akiishi nakufanya shughulizake maeneo ya mkwawa mkoani iringa, ambapo alikua mkufunzi (lecturer) katika chuo…

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA Kwa majina naitwa RIDHIWANI HEMEDI MSANGI Pichani nii baba yangu mdogo aliepotea tokea mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka 2021, ambaye alikua akiishi nakufanya shughulizake maeneo ya mkwawa mkoani iringa, ambapo alikua mkufunzi (lecturer) katika chuo…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

Samahani sana kiongozi, naomba nisaidie kupost hii🙏

Nimepotelewa na mdogo wangu
JUMA KANDACHANGABO WIBONELA amepotea toka tarehe 15/42024 aliondoka Nzega na kuelekea Kahama kwa ajili ya kuendelea na masomo lakini hakufika shule tarehe 16/4/2024…

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA Samahani sana kiongozi, naomba nisaidie kupost hii🙏 Nimepotelewa na mdogo wangu JUMA KANDACHANGABO WIBONELA amepotea toka tarehe 15/42024 aliondoka Nzega na kuelekea Kahama kwa ajili ya kuendelea na masomo lakini hakufika shule tarehe 16/4/2024…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

Anaitwa Kelvin Sebastian Mkabai, hajaonekana tangu tarehe 14/10/2023

Siku hiyo alipigiwa simu kama Kuvutwa,alikuwa Ubungo Msewe akavutwa hadi maeneo ya Kibo barabarani.

Ndio mpaka leo Bro.

Familia yake inataka Kujua tu Kama yuko hai au amekufa.…

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA Anaitwa Kelvin Sebastian Mkabai, hajaonekana tangu tarehe 14/10/2023 Siku hiyo alipigiwa simu kama Kuvutwa,alikuwa Ubungo Msewe akavutwa hadi maeneo ya Kibo barabarani. Ndio mpaka leo Bro. Familia yake inataka Kujua tu Kama yuko hai au amekufa.…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA..!

Jana Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam ofisi za ZCO na RCO Kinondoni walifika nyumbani kwangu saa 7:30 usiku.

Baada ya kukaa muda mrefu nje ya geti, mwisho waliacha ujumbe kwamba nifike kituo cha polisi Oysterbay (Mkoa wa Kinondoni.) leo asubuhi.…

TAARIFA KWA UMMA..! Jana Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam ofisi za ZCO na RCO Kinondoni walifika nyumbani kwangu saa 7:30 usiku. Baada ya kukaa muda mrefu nje ya geti, mwisho waliacha ujumbe kwamba nifike kituo cha polisi Oysterbay (Mkoa wa Kinondoni.) leo asubuhi.…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

' Kamanda,naitwa Basilius Budida,
nipo Kigoma Mjini,lakini ni mjumbe mwakilishi mkutano mkuu kutoka wilaya na Jimbo la Buhigwe (CHADEMA).

Kuna kijana alichukuliwa saa 7 usiku wa tarehe 25 October 2023 haijukikani alipo.

Jina lake anaitwa MATOKEO HALUNA BULINDWI.

Alichukuliwa…

' Kamanda,naitwa Basilius Budida, nipo Kigoma Mjini,lakini ni mjumbe mwakilishi mkutano mkuu kutoka wilaya na Jimbo la Buhigwe (CHADEMA). Kuna kijana alichukuliwa saa 7 usiku wa tarehe 25 October 2023 haijukikani alipo. Jina lake anaitwa MATOKEO HALUNA BULINDWI. Alichukuliwa…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

'Naitwa Angel Bravo naomba msaada wako wa kunisaidia kutoa taarifa hii.

Nimempoteza mzazi mwenzangu ambaye anajulikana kwa jina Boniface Godfley Agust ni mzaliwa wa Moshi, kabila lake mchaga, ana umri wa miaka 31.

Huyo ambaye unamuona hapo…

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA 'Naitwa Angel Bravo naomba msaada wako wa kunisaidia kutoa taarifa hii. Nimempoteza mzazi mwenzangu ambaye anajulikana kwa jina Boniface Godfley Agust ni mzaliwa wa Moshi, kabila lake mchaga, ana umri wa miaka 31. Huyo ambaye unamuona hapo…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

'Kwa jina naitwa Julieth Lema natoka Wilaya ya Ubungo kata ya Saranga .

Natoa taarifa kuhusu mume wangu AHIMIDIWE ELIPHE KIMARO

Amepotea tangu tareh 18-7-2023 alikuwa kazini kwake Tabata Matumbi.

Inasemekana ilikuja gari aina ya Noah na…

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA 'Kwa jina naitwa Julieth Lema natoka Wilaya ya Ubungo kata ya Saranga . Natoa taarifa kuhusu mume wangu AHIMIDIWE ELIPHE KIMARO Amepotea tangu tareh 18-7-2023 alikuwa kazini kwake Tabata Matumbi. Inasemekana ilikuja gari aina ya Noah na…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

'..Kaka kuna huyo ndugu yetu alichukuliwa na harrier nyeusi toka mwaka jana mwezi December, hatujamuona mpaka leo (Chunya, Mbeya)

Jina lake anaitwa Jeremia Asachek.

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA '..Kaka kuna huyo ndugu yetu alichukuliwa na harrier nyeusi toka mwaka jana mwezi December, hatujamuona mpaka leo (Chunya, Mbeya) Jina lake anaitwa Jeremia Asachek.
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

Taarifa mpya nimepokea Usiku huu.

Kijana na mkazi wa Kinondoni Mkwajuni (Hananasif) anaitwa HUMPHREY ALPHONCE DEDE majina mengine ni DEDE LIMBU KUBAGWA

Tarehe 16 March 2024 amepotea kwa kutekwa na watu waliokuwa na Noah nyeusi maeneo ya Mwananyamala…

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA Taarifa mpya nimepokea Usiku huu. Kijana na mkazi wa Kinondoni Mkwajuni (Hananasif) anaitwa HUMPHREY ALPHONCE DEDE majina mengine ni DEDE LIMBU KUBAGWA Tarehe 16 March 2024 amepotea kwa kutekwa na watu waliokuwa na Noah nyeusi maeneo ya Mwananyamala…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Siku ya leo nimepokea simu na meseji za Watanzania kutoka sehemu mbalimbali ya nchi yetu,
itoshe kusema

Watanzania wanateseka sana
Watanzania wanyanyasika sana
Watanzania wanaonewa sana
Watanzania wanaumizwa sana
Watanzani wanajeruhiwa sana
Watanzania Wanapotezwa sana
Watanzania…

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Shinyanga imesimama kuhesabiwa!

Asanteni sana wananchi wa Shinyanga kwa kusimama imara katika kutetea haki zenu na kusongesha mbele safari ya mabadiliko. Tupo pamoja katika harakati za kuleta maendeleo na kutetea haki za kila Mtanzania. Tuendelee kushikamana katika safari hii ya…

Shinyanga imesimama kuhesabiwa! Asanteni sana wananchi wa Shinyanga kwa kusimama imara katika kutetea haki zenu na kusongesha mbele safari ya mabadiliko. Tupo pamoja katika harakati za kuleta maendeleo na kutetea haki za kila Mtanzania. Tuendelee kushikamana katika safari hii ya…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

HONGERA SANA GAZETI LA MWANANCHI.

Ukisoma taarifa ya Jeshi la polisi ya Kamanda Jumanne Muliro na ukasoma taarifa ya mahojiano ya gazeti la Mwananchi na watu tofauti utagundua yafuatayo...

1. Polisi wanasema marehemu Robert Mlanga Mushi aligongwa na gari maeneo ya Buguruni…

HONGERA SANA GAZETI LA MWANANCHI. Ukisoma taarifa ya Jeshi la polisi ya Kamanda Jumanne Muliro na ukasoma taarifa ya mahojiano ya gazeti la Mwananchi na watu tofauti utagundua yafuatayo... 1. Polisi wanasema marehemu Robert Mlanga Mushi aligongwa na gari maeneo ya Buguruni…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

Taarifa mpya nimepokea Usiku huu.

Kijana na mkazi wa Kinondoni Mkwajuni (Hananasif) anaitwa HUMPHREY ALPHONCE DEDE majina mengine ni DEDE LIMBU KUBAGWA

Tarehe 16 March 2024 amepotea kwa kutekwa na watu waliokuwa na Noah nyeusi maeneo ya Mwananyamala…

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA Taarifa mpya nimepokea Usiku huu. Kijana na mkazi wa Kinondoni Mkwajuni (Hananasif) anaitwa HUMPHREY ALPHONCE DEDE majina mengine ni DEDE LIMBU KUBAGWA Tarehe 16 March 2024 amepotea kwa kutekwa na watu waliokuwa na Noah nyeusi maeneo ya Mwananyamala…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Muelezeni Afande Muliro nipo tayari kwa lolote.

Nimepokea taarifa kutoka katika kikao cha kamanda wa kanda maaluma ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro alichofanya leo na waandishi wa habari, ofisini kwake Jijini Dar es salaam.

Nimesikitika sana kuona Kamanda Muliro…

Muelezeni Afande Muliro nipo tayari kwa lolote. Nimepokea taarifa kutoka katika kikao cha kamanda wa kanda maaluma ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro alichofanya leo na waandishi wa habari, ofisini kwake Jijini Dar es salaam. Nimesikitika sana kuona Kamanda Muliro…
account_circle