Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profileg
Mdude Chadema

@mdudechadematz

I'm back from prison.

MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV).
An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.

ID:1417391073253629953

calendar_today20-07-2021 07:49:19

5,5K Tweets

121,9K Followers

389 Following

Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Hii ni ishara aliyoitoa Samia kwa Bashite wakati Bashite akitoa tuhuma kwa mawaziri kulipa watu wamtukane Samia mitandaoni. Je kwa ishara hii ni wazi kwamba Samia ndio alimtuma Bashite aropoke? Kwamba Samia anawaogopa mawaziri wake aliowateuwa mwenyewe mpaka amtumie Bashite?

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Kwa hiyo Makonda pamoja na cheo chake kidogo cha u-RC ana uwezo wa kukusanya taarifa za siri za Rais kuliko hata idara ya Usalama? Kwamba TISS hawajui mawaziri wanaolipa pesa watu wamtukane Rais ila Makonda anajua? Basi TISS ya sasa ni takataka inazidiwa uwezo mpaka na makonda?

Kaka Zitto MwamiRuyagwa Kabwe ni kweli unatetea muundo wa Tume ya Samia? Malawi wajumbe wa Tume wanatokana na vyama vya siasa vyenye uwakilishi bungeni kama ilivyo TCD. M/kiti wa Tume ambaye ni jaji anapendekezwa na tume ya utumishi wa mahakama kabla ya Rais kumteua na bado haiitwi tume huru.

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Sio kanasiasa kalibebwa na JPM kwa kupata ubunge wa mseleleko sasa kanataka kubebwa tena. Hakana uwezo wa kujenga hoja, hakana uwezo wa kushindana na kana roho mbaya, kila anayekakosoa ndani ya chama chake na nje anageuka kuwa adui. Haka wana-Mbeya tutakapiga nje ndani hakatakiwi

Huyu mama ni tapeli na mroho wa madaraka, anawezaje kusema Uchaguzi utakuwa huru na haki wakati sheria ya uchaguzi aliyoileta ni mbaya kuliko sheria ya mwanzo? Fikiria sasa tume inaweza kuengua wagombea wote ikabakiza mmoja akapigiwa kura za ndio na hapana kama wakati wa Nyerere

Hapa tumekutana wakulima wa mahindi mkoa wa Songwe tukijadili fursa ya kuuza mahindi msimu huu Zambia ambako wamekumbwa na ukame. Hatutarajii Hussein M Bashe kunyanyua mdomo wake na kutaka kutupangia au kufunga mpaka haki ya nani tutamnyoa upara safari hii.

Hapa tumekutana wakulima wa mahindi mkoa wa Songwe tukijadili fursa ya kuuza mahindi msimu huu Zambia ambako wamekumbwa na ukame. Hatutarajii @HusseinBashe kunyanyua mdomo wake na kutaka kutupangia au kufunga mpaka haki ya nani tutamnyoa upara safari hii.
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Samia unataka kututapeli? Ni lini sisi tulilalamikia jina la Tume ya Uchaguzi? Kwamba hujui tunachokilalamikia ni muundo wa tume na sio jina? Tume inawezaje kuwa huru kama wewe ambaye ni mmoja wa wagombea umepewa mamlaka ya kuteuwa viongozi na watendaji wa tume? Unanipa hasira.

Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu. Mpaka sasa Samia Suluhu hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi. Pia sasa mapato ya bandari ni siri kati ya Samia na hao waarabu wake. Haki ya nani kwenye hili nitakufa na Samia.

Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu. Mpaka sasa @SuluhuSamia hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi. Pia sasa mapato ya bandari ni siri kati ya Samia na hao waarabu wake. Haki ya nani kwenye hili nitakufa na Samia.
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Ni nani mmiliki wa gari hili land Cruiser V8 T 723 BSF? Naomba mnisaidie kujua usajili wake ili niweze kuendelea na uchunguzi wangu. Biashara nyingi za human trafficking zinahusisha vigogo wa polisi, serikali na ccm. Umiliki wa gari utatusaidia kujua ni nani yuko nyuma ya hili.

Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba shujaa wenu ambaye kuna wakati mlimuita mungu aliharibu nchi kiasi kwamba Samia ameikuta ikiwa hoi taabani? Au Samia ndio ameiweka nchi katika mazingira magumu anamsingizia marehemu kwa sababu marehemu hawezi kujitetea? Which is which?

Seriously? Mnataka tumuombe Mungu kwa mafuriko mliyoyatengeneza ninyi wenyewe? Au tumuombe Mungu awaadhibu ninyi serikali kwa haya matatizo ya maksudi mliyowasababishia watu wa Rufiji?

🔷Kushoto ni Mapokezi ya Makonda akiwa mwenezi wa CCM Arusha.
🔷Kulia ni Mapokezi ya Makonda akiwa RC Arusha.

Hapa nimekumbuka kiburi cha Punda aliyembeba Yesu aliamini anashangiliwa yeye kumbe Yesu ndio anashangiliwa. Yule Punda aliporudi mwenyewe Yerusalem hakuna aliyemjali

🔷Kushoto ni Mapokezi ya Makonda akiwa mwenezi wa CCM Arusha. 🔷Kulia ni Mapokezi ya Makonda akiwa RC Arusha. Hapa nimekumbuka kiburi cha Punda aliyembeba Yesu aliamini anashangiliwa yeye kumbe Yesu ndio anashangiliwa. Yule Punda aliporudi mwenyewe Yerusalem hakuna aliyemjali
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Fikiria haya sio mafuriko ya bahati mbaya, haya ni mafuriko yaliyoletwa na serikali baada ya kupuuza ushauri wa wataalamu kuhusu athari za bwawa la umeme JNHPP. Baada ya kusababisha matatizo hayo serikali wamefika kuwafariji wahanga bila kutatua tatizo wala kuwapa makazi mbadala.

Demokrasia ni mfumo ambao unaundwa katika mambo makuu matatu.
1. Katiba bora,
2. Taasisi huru,
3. Watu huru,
Nchi ikiwa na mfumo huo haitawaliki kidikteta hata kama wewe ni dikteta kwani utadhibitiwa na mfumo. Ndio maana napigania mfumo huu kwa faida ya nchi.

Mdude Nyagali.

Demokrasia ni mfumo ambao unaundwa katika mambo makuu matatu. 1. Katiba bora, 2. Taasisi huru, 3. Watu huru, Nchi ikiwa na mfumo huo haitawaliki kidikteta hata kama wewe ni dikteta kwani utadhibitiwa na mfumo. Ndio maana napigania mfumo huu kwa faida ya nchi. Mdude Nyagali.
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu Jambo TV haya sio maigizo? Mtoto wa miaka 13 anatoa wapi pesa ya kufuturisha watu 130? Halafu alivyomaliza kufuturisha akamuombea Samia? Hivi mnatuonaje? Mtoto ambaye nguo zake ananunuliwa na wazazi pesa ya kufuturisha kaitoa wapi?

Ndugu zangu @Jambotv_ haya sio maigizo? Mtoto wa miaka 13 anatoa wapi pesa ya kufuturisha watu 130? Halafu alivyomaliza kufuturisha akamuombea Samia? Hivi mnatuonaje? Mtoto ambaye nguo zake ananunuliwa na wazazi pesa ya kufuturisha kaitoa wapi?
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Mimi sio mshabiki wa mipira yenu, ila viongozi wa timu ya Yanga wanastaili pongezi na viongozi wa Simba wanapaswa kulaumiwa. Viongozi wa Yanga wanajali hisia za mashabiki wao kwa kuleta wachezaji wa viwango wakati Simba inaleta makuli. Mo anawalinda viongozi na wao wanamlinda Mo.

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Hivi viongozi wa serikali ya TZ wakiongozwa na waziri wa michezo wanapata wapi uhalali wa kulalamika Yanga kuporwa ushindi wakati wenyewe ni majizi walipora uchaguzi mkuu 2020? Tunapokuwa tunaongelea uporaji wowote viongozi wa TZ hawana uhalali wa kulalamika kwa sababu ni wezi.

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Huyu si alifukuzwa kazi akaenda kulima nyanya akatuma watu wakamuombee msamaha kwa JK na SSH? Sasa hapo nani anaonewa huruma kati ya wapinzani na yeye aliyerudishwa mjini? Lakini pia mkiteuwa haya mabumunda yenu huwa mnayapaga semina elekezi? Maana naona hili liko nje ya mstari.