kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile
kimbesa.

@kimbesa11

About me:
๐ŸŽ“BA.Ed+Masters of Ed. Policy Planning & Administration+Tutor(Mkufunzi).

ID: 2297791403

calendar_today22-01-2014 18:22:40

16,16K Tweet

1,1K Followers

4,4K Following

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Wananchi Wote Mkoani Simiyu wanasema Oktoba Wanatiki Kwa Mama โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

Joseph Mbilinyi Kuamini hiyo slogan ya no reform ni ishara ya upofu wa akil. Mpaka sasa Vyama vyote vyenye mlengo wakizalendo siyo wakibeberu vimeshasain maadili ya kushiriki uchaguzi. Lakin bado Kuna chama kinatumia ruzuku kusambaza kitu ambacho hakipo na hakijitokea. Hebu CDM acheni utapeli

kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

John Heche Riport hii hapo...kwani Sativa yupo wapi? Mbona hatumuoni Tanzania, mm binafs nataka nimfungulie kesi alinitukana. Watu wanakimbilia nchi nyngne ili wakitutukana mitandaoni tusiwapate, Ila jueni tu kuwa jinai huwa haifi.. Kuna siku hao mabeberu wanaowatunza huko watafilisika tu

John Heche Riport hii hapo...kwani Sativa yupo wapi? Mbona hatumuoni Tanzania, mm binafs nataka nimfungulie kesi alinitukana.
Watu wanakimbilia nchi nyngne ili wakitutukana mitandaoni tusiwapate, Ila jueni tu kuwa jinai huwa haifi..
Kuna siku hao mabeberu wanaowatunza huko watafilisika tu
kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

king_davd_ll Adui Wa Yanga Chadema mnatumia ruzuku na kuchangisha watu hela ili kusambaza slogan maiti Kama hiyo. Hii ni ishara ya kuwa na viongozi wasio wenye uwezo finyu, Yani kabisa unazunguka nchi nzima huku unatumia ruzuku kuongea vitu ambavyo havipo na haviwezekan, hv inamaana nyny hamjui kuwa haipo?

kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Kwanza Chama Cha Mapinduzi Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumiwa na mabeberu au ni miradi ya mabeberu. #KaziNaUtuTunasongaMbele #OCTOBERTUNATIKI โœ…โœ…โœ…

Tanzania Kwanza Chama Cha Mapinduzi Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumiwa na mabeberu au ni miradi ya mabeberu.
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#OCTOBERTUNATIKI โœ…โœ…โœ…
kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

CLUB Magufuli US Embassy Tanzania EU in Tanzania Canada in Tanzania The Christian Post The Gospel Coalition Freedom Church I was told that You are being paid by the Western, but please respect Tanzanian and African values and refrain from undermining them. Don't try to impose Western standards on our nation; Tanzanian values belong to Tanzanians, while Western values belong to Westerners.

Husnaiya (@cutyhusnah) 's Twitter Profile Photo

CCM Kirumba imetapika huku sio kufurika Just Wooooow ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Kanda ya ziwa mumejua kutunyoosha mikoa iliyopita ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

ACTWazalendo Ngome ya Wanawake Janeth Rithe Hotuba zisizo na Maadili zinachangiwa na uchaguzi mubaya wa viongozi, viongozi wasio na sifa, viongozi wasio na utu, tunaomba Sheria zetu ziwe ON zaid ili kuwadhibit Hawa viongoz hasa Upinzani wanaotukosea Maadil Chadema Tanzania IMEJAA WATUKANAJI ACTWazalendo matus mmeanza lini ?

kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

John Pambalu Ila Chadema Tanzania bwana kwahyo akina Mange Kimambi #sativa #mariaSarungi nk ndo wasemaji wa chadema๐Ÿšฎ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Chama kimezungukwa na "Peopleย whoย areย sociallyย ignored" Hao akina mange hata mtoto mdogo hataki kiwasikia lakin chadema ndo wasemaji wao wakuu.

kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

๐‹๐ฎ๐ญ๐ก๐ž๐ซ ๐€๐ค๐ฒ๐จ๐จ ACTWazalendo wanajitambua wanajua kuwa nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya Sheria, ukiropoka upotoshaji na matusi ujue hujatumwa na Chama hayo ni yako, Sijawahiona mtu wa ACT anatukana Wala kushabikia matusi hongera zao. Nawaambia Chadema Tanzania matusi yenu hayatawasaidia kamwe

kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

Ndolezi Janeth Rithe Hivi Toka lini na nyie ACTWazalendo mmeanza kutoa kauli za hovyo kiasi kile, Hawa watu wawe wanafunguliwa kesi na kufungwa kabisa Ili iwe fundisho kwa watu wengine. Heshimuni viongozi kila kitu kiangalie kwa upande wako je! Ww ungependa kuambiwa kauli za hovyo Kama zile?