John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profileg
John Pambalu

@John_Pambalu

BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.

ID:980521402678874113

linkhttps://twitter.com/Dream_Agritech?s=09 calendar_today01-04-2018 19:04:54

23,8K Tweets

281,3K Followers

1,3K Following

Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?

account_circle
Justine Octavian(@JustineOctavian) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwingine hawa waandishi wa habari wanatukosea sana!! Hivi hii akili kwa haraka haraka ni ya kua mfanya biashara kweli hii??!!

Alafu hawa wenzetu hii courage ya kumuabudu mtu kiasi hiki wanapataga wapi aise ??!!😂😂

account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Mafuriko ya Rufiji ni matokeo ya kutofanya tathmini ya athari za kimazingira (Environmental impact assessment) baada ya kukamilika kwa mradi. Miaka yote yanapotokea majanga huwa tunasema Mungu amepanga lakini kwa hili HAPANA. Watawala wamepanga.

account_circle
The host doctor 👩‍⚕️(@hostdoctorsuzan) 's Twitter Profile Photo

Wanaume ni nguzo muhimu kwa sisi wanawake na jamii nzima, siku zote wanaonyesha upendo nguvu, ujasiri, na ukarimu, upendo katika maisha ya watu walio karibu nao. Wanaume wanastahili kuthaminiwa na kuheshimiwa kwa
mchango wao katika kujeng jamii, Nawapenda sana ❤️

Wanaume ni nguzo muhimu kwa sisi wanawake na jamii nzima, siku zote wanaonyesha upendo nguvu, ujasiri, na ukarimu, upendo katika maisha ya watu walio karibu nao. Wanaume wanastahili kuthaminiwa na kuheshimiwa kwa mchango wao katika kujeng jamii, Nawapenda sana ❤️
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Baada ya mapumziko ya sikukuu za Pasaka na Ramadhan Sasa ni rasmi tunaingia kwenye maandalizi ya Wiki ya Maandamano ya Mikoa ya Tanzania !

Baada ya mapumziko ya sikukuu za Pasaka na Ramadhan Sasa ni rasmi tunaingia kwenye maandalizi ya Wiki ya Maandamano ya Mikoa ya Tanzania !
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Mafuriko ya Rufiji ni matokeo ya kutofanya tathmini ya athari za kimazingira (Environmental impact assessment) baada ya kukamilika kwa mradi. Miaka yote yanapotokea majanga huwa tunasema Mungu amepanga lakini kwa hili HAPANA. Watawala wamepanga.

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Hapa tumekutana wakulima wa mahindi mkoa wa Songwe tukijadili fursa ya kuuza mahindi msimu huu Zambia ambako wamekumbwa na ukame. Hatutarajii Hussein M Bashe kunyanyua mdomo wake na kutaka kutupangia au kufunga mpaka haki ya nani tutamnyoa upara safari hii.

Hapa tumekutana wakulima wa mahindi mkoa wa Songwe tukijadili fursa ya kuuza mahindi msimu huu Zambia ambako wamekumbwa na ukame. Hatutarajii @HusseinBashe kunyanyua mdomo wake na kutaka kutupangia au kufunga mpaka haki ya nani tutamnyoa upara safari hii.
account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

: hali ni tete, Wananchi waomba msaada, CHADEMA Tanzania wafika eneo la tukio na kutema cheche, nyumba, hospitali, mashamba yafunikwa na maji, sababu zatajwa.

Zaidi: youtu.be/01u5BzfkUAA

account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Kufuatia maafa haya ya Rufiji. Bavicha tunaitaka serikali ifanye mambo makuu 3

1. Itangaze mafuriko ya Rufiji kuwa janga la kitaifa ili kuruhusu asasi za kiraia na wadau mbalimbali kuja kutoa misaada ya kiutu

2. Ilipe fidia wahanga wa mafuriko ya Rufiji

3.Iombe radhi kwa taifa

account_circle
Jon Mrema(@JonMrema) 's Twitter Profile Photo

Msajili wa vyama vya siasa, Sasa huo hapo ushahidi wa wazi jinsi CCM inavyotumia watoto kwenye shughuli za kisiasa na wanahutubia Mikutano ya hadhara!Mbona hatuioni Ile barua Yako ya kutaka maelezo? Au huyu sio mtoto? Sheria inaegemea upande mmoja?

account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Kufuatia maafa haya ya Rufiji. Bavicha tunaitaka serikali ifanye mambo makuu 3

1. Itangaze mafuriko ya Rufiji kuwa janga la kitaifa ili kuruhusu asasi za kiraia na wadau mbalimbali kuja kutoa misaada ya kiutu

2. Ilipe fidia wahanga wa mafuriko ya Rufiji

3.Iombe radhi kwa taifa

account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Leo amezaliwa kaka na rafiki mwema Patrick Ole Sosopi. Kitu muhimu kwa Sosopi kwa wengi wasiomjua, jamaa ni mshauri mzuri sana. Hanaga papala anaweza kukueleza kwa hili nipe muda kikubwa subira. Akikushauri kamaliza, jamaa aliumbwa na HEKIMA ya ajabu. Mungu akupe maisha marefu niga

Leo amezaliwa kaka na rafiki mwema @PatricOleSosopi. Kitu muhimu kwa Sosopi kwa wengi wasiomjua, jamaa ni mshauri mzuri sana. Hanaga papala anaweza kukueleza kwa hili nipe muda kikubwa subira. Akikushauri kamaliza, jamaa aliumbwa na HEKIMA ya ajabu. Mungu akupe maisha marefu niga
account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Mimi sipotezi muda natengeneza pesa kidogo kidogo nimejiajiri, wewe unatembeza CV uajiriwe, 1kg ya konokono nauza kati ya $10-$20 ,ute wa konokono 1 liter nauza kati ya $1000-$2000 wewe na Mimi nani anapoteza muda?

Malembo Farm Academy

Mimi sipotezi muda natengeneza pesa kidogo kidogo nimejiajiri, wewe unatembeza CV uajiriwe, 1kg ya konokono nauza kati ya $10-$20 ,ute wa konokono 1 liter nauza kati ya $1000-$2000 wewe na Mimi nani anapoteza muda? #KilimoNiAjira @AcademyFarms
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Eid Mubarak!

Katika sherehe hii njema ya Eid ul-Fitr, natoa salamu zangu za dhati na kuwatakia yote yaliyo mema kwa Waislamu wote duniani. Nawaombea siku hii iwe imejaa amani, furaha, na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu.

Tunaposherehekea mwisho wa Ramadhani, tukumbuke masomo…

Eid Mubarak! Katika sherehe hii njema ya Eid ul-Fitr, natoa salamu zangu za dhati na kuwatakia yote yaliyo mema kwa Waislamu wote duniani. Nawaombea siku hii iwe imejaa amani, furaha, na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu. Tunaposherehekea mwisho wa Ramadhani, tukumbuke masomo…
account_circle