Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profileg
Joseph Mbilinyi

@TheRealJongwe

Businessman/Former Member of Parliament for Mbeya Urban Constituency/Central Committee Member - CHADEMA/Legendary African Hiphop Artist

ID:1017809409748107265

calendar_today13-07-2018 16:34:08

672 Tweets

401,1K Followers

154 Following

Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Kama nchi hatuhitaji mabadiliko ya JINA tu , kinachohitajika ni mabadiliko ya muundo na namna ya upatikaji wa Tume Huru ya Uchaguzi…

Kama nchi hatuhitaji mabadiliko ya JINA tu , kinachohitajika ni mabadiliko ya muundo na namna ya upatikaji wa Tume Huru ya Uchaguzi…
account_circle
Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Sabuni ya miche inayoweza kutumika kwa mahitaji mbalimbali ni suluhisho la usafi!

Tumeleta bidhaa hii yenye nguvu ambayo inaweza kutumika kwa njia nyingi tofauti ili kukidhi mahitaji yako ya kila siku.

Sabuni ya miche inayoweza kutumika kwa mahitaji mbalimbali ni suluhisho la usafi! Tumeleta bidhaa hii yenye nguvu ambayo inaweza kutumika kwa njia nyingi tofauti ili kukidhi mahitaji yako ya kila siku. #SabuniMpya #Nzuri #MatumiziMengi #UzuriWaAsili
account_circle
Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Hahaha bado hamjasema na mtasema tu! Kimsingi kuna hela imeongezeka, kama sio mshahara basi tuambieni ni nini? Au POSHO? Au ongezeko hilo mmelipa jina gani?!

Haya Mama kashawakataa wanaojiita ‘Watoto wa Mama’ na tunamsapoti maana walizidi kha! … Lakini sasa kuna Sisi ambao Mama mwenyewe alituita ‘Wanangu’… Sisi sijui STATUS yetu ikoje wallah?!😂😂😂.

Haya Mama kashawakataa wanaojiita ‘Watoto wa Mama’ na tunamsapoti maana walizidi kha! … Lakini sasa kuna Sisi ambao Mama mwenyewe alituita ‘Wanangu’… Sisi sijui STATUS yetu ikoje wallah?!😂😂😂. #TAITA
account_circle
Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Tangu nimeanza kutumia bidhaa za kampuni hii, wageni wetu wamekuwa na furaha sana kwa feedback wanazotupa hapa Hotel Desderia…
NB: Kama uko kwenye biashara ya huduma za malazi kama mimi, basi wasiliana nao contacts ziko kwenye poster na Wewe na wateja wako wote mtafurahi!

Tangu nimeanza kutumia bidhaa za kampuni hii, wageni wetu wamekuwa na furaha sana kwa feedback wanazotupa hapa Hotel Desderia… NB: Kama uko kwenye biashara ya huduma za malazi kama mimi, basi wasiliana nao contacts ziko kwenye poster na Wewe na wateja wako wote mtafurahi!
account_circle
Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Mimi kama mkurugenzi wa Desderia Hotel, nawashukuru Neysmart Co Ltd kwa kuwa suluhisho la upatikanaji wa bidhaa hizi za hotel amenities and toiletries hapa Tanzania.

Mimi kama mkurugenzi wa Desderia Hotel, nawashukuru Neysmart Co Ltd kwa kuwa suluhisho la upatikanaji wa bidhaa hizi za hotel amenities and toiletries hapa Tanzania. #TAITA
account_circle
Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Sasa siagizi tena China, mahitaji yangu yote ya bidhaa za hotel yangu (Amenities & Toiletries) nayapata kutoka Neysmart Co. Ltd yenye HQ zake Arusha…Kama wewe ni Mmiliki au Meneja wa hotel yoyote ya hadhi yoyote Tanzania hii, basi wasiliana na kwa bidhaa bora watakutumia popote!

Mwambieni huyo Mdwanzi Kigwa, it ain’t over yet na mimi sio kama Mo Dewji … Nasubiri maombolezo ya msiba siku saba ziishe then namrudia ! 😎

account_circle
Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Thank you ALI!
Thank you Mr President!
Life well lived…
Thank you for your leadership.
Ulituondoa kutoka kwenye uchumi mbovu uliokuwa umefeli wa Ujamaa.
Awamu yako ndio Wabongo tulianza kwenda MAMTONI kwa wingi.
Sera zako zilitufungulia Dunia.
RIP President Ali Hassan Mwinyi 🙏🏾

Thank you ALI! Thank you Mr President! Life well lived… Thank you for your leadership. Ulituondoa kutoka kwenye uchumi mbovu uliokuwa umefeli wa Ujamaa. Awamu yako ndio Wabongo tulianza kwenda MAMTONI kwa wingi. Sera zako zilitufungulia Dunia. RIP President Ali Hassan Mwinyi 🙏🏾
account_circle
Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Mh Rais alishanipa Tuzo ya Presidential Lifetime Achievement kwa kutambua mchango wangu kwa ajira ya vijana kupitia Sanaa…Halafu mdwanzi Kigwangallah ananiita mimi MHUNI!Linakesha kwa Waganga eti linamloga Rais liteuliwe, halijui kumbe kinacholiponza ni ukosefu wake wa ADABU!

Bado nashikilia rekodi ya MUANDAMANAJI aliyepata kuandamana na vito vya thamani zaidi Duniani, na jana Arusha nimevunja rekodi yangu mwenyewe…😎✌🏾

Bado nashikilia rekodi ya MUANDAMANAJI aliyepata kuandamana na vito vya thamani zaidi Duniani, na jana Arusha nimevunja rekodi yangu mwenyewe…😎✌🏾 #MaandamanoYaAmani
account_circle
Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Nawashukuru sana WanaMBEYA wenzetu ambao ni CCM lakini washiriki MAANDAMANO … Nchi kwanza na wote tunapigika, gharama za maisha hazina ITIKADI…

account_circle