Bandura, (2023)
@bandura2023
Human Rights Watch Activist//Education Activist//curruption fighter//
Education=PhD Student.
ID: 1598889580475961344
03-12-2022 03:59:31
5,5K Tweet
432 Takipçi
1,1K Takip Edilen
Mwananchi Newspapers Chadema Tanzania ni kikundi cha matapeli. Watanzania tumewaonya kuacha kuwachangia hawa matapeli hamsikii ona sasa mshaliwa
Swahili Times Our President 🇹🇿💪💪
millardayo KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Jambo TV Peter Madeleka Tanzania ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa. Kwahyo Chadema Tanzania wasijipe umuhimu wasio kuwa nao.
Jambo TV Chadema Tanzania John Heche Chadema Tanzania acheni siasa za kitapeli, familia zimewashinda kulea mmekabidhi mabeberu leo mnasema nini? Mmekabidhi hadi wake kwa mabeberu mfano Godbless E.J. Lema Ofsi zimebaki mapango
Jambo TV Chadema Tanzania Hii kesi ISIFUTWE ili iwe fundisho kwa viongozi wengine wa vyama vya siasa ambao wanadhani wanaweza wakaichezea tu amani ya Tanzania yetu wakome mara moja. Tunaiomba Mahakama ya Tanzania itimize majukumu yake kwa Mujibu wa Sheria za nchi yetu. Tunaimani kubwa sana na Mahakama zetu.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿 MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU WA AWAMU YA SITA WAKIONGOZWA NA MZALENDO NO. 1 WA TANZANIA, Mh. RAIS DR. Samia Suluhu NAWATAKIENI FUNGA NJEMA na KWARESMA NJEMA.
Kagimbo Lutahya Mapenzi kwa lipi alilolifanya nchini zaidi ya Siasa za upotoshaji na matusi
Samia Suluhu Hongera sana Mh. Rais kwa kuendeleza diplomasia na mataifa mengine, hii ni fursa kubwa ya kiuchumi baina yetu na watu wa Ghana. Kama ilivyo Tanzania na India kupitia wewe Mh. Rais na Rais wa India sasa Kuna maelfu kwa maelfu ya watanzania wanapata scholarship za kusoma India.