Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profileg
Bunge la Tanzania

@bunge_tz

Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.

ID:4022434875

linkhttp://www.parliament.go.tz/ calendar_today23-10-2015 07:03:45

3,0K Tweets

555,5K Followers

9 Following

Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amemwakilisha Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kwahani, Mhe. Ahmed Yahya Abdulwakil yaliyofanyika tarehe 9 Aprili, 2024 Kijijini kwao Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

account_circle
Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameungana na Waumini mbalimbali wa Kiislam Jijini Mbeya katika ibada maalum ya Eid Al-Fitr iliyofanyika katika Viwanja vya Sokoine leo tarehe 10 Aprili, 2024.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki hafla ya maadhimisho ya siku ya kumbukizi ya kufariki kwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume iliyofanyika Visiwani Zanzibar leo tarehe 7 Aprili, 2024.

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc ameongoza Mkutano wa Watumishi wote wa ofisi ya Bunge uliofanyika tarehe 6 Aprili, 2024 katika Ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma.

Katika Mkutano huo pamoja na mambo mengine imetolewa taarifa kuhusu Bunge Marathon.

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc ameongoza Mkutano wa Watumishi wote wa ofisi ya Bunge uliofanyika tarehe 6 Aprili, 2024 katika Ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Katika Mkutano huo pamoja na mambo mengine imetolewa taarifa kuhusu Bunge Marathon.
account_circle
Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), afuturisha wabunge katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Futari hiyo ili hudhuriwa pia na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson ( Mb) na Katibu wa Bunge la Tanzania Ndg. Nenelwa Mwihambi (Ndc) tarehe 05 Aprili

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), afuturisha wabunge katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Futari hiyo ili hudhuriwa pia na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson ( Mb) na Katibu wa Bunge la Tanzania Ndg. Nenelwa Mwihambi (Ndc) tarehe 05 Aprili
account_circle
Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amepokea Tuzo maalum ya Siku ya Maji Duniani kutoka kwa Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso kwa kutambua mchango wake na Bunge kwa ujumla katika sekta hiyo tukio lililofanyika leo tarehe 5 Aprili, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza Waheshimiwa Wabunge katika futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB katika viwanja vya Bunge tarehe 4 Aprili, 2024 Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amefanya mazungumzo na Viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha, Ndg. Juma Kimori katika kikao kilichofanyika leo tarehe 4 Aprili, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2024/2025 leo tarehe 3 Aprili, 2024.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichopokea na kujadili mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Kumi na Tano wa Bunge leo tarehe 2 Aprili, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 30 Machi, 2024 amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania Marehemu Ally Hassan Mwinyi, Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kutoa pole kwa wake wa marehemu ambao ni, Bi. Sitti Mwinyi na Bi. Khadija Mwinyi.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amefika katika Hospitali ya Msoga iliyopo Halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani kwa ajili ya kuwajulia hali Majeruhi wa ajali iliyohusisha gari la Mashabiki wa Simba na Lori la mizigo iliyotokea jana katika eneo la Vigwaza Mkoani humo.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ameongoza kikao cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti kwa ajili ya kupata taarifa ya matokeo ya mashauriano kati ya Kamati ya Bajeti na Serikali kilichofanyika tarehe 28 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wanachama wa Umoja huo kudumisha misingi ya IPU
Mkutano wa 148 umehitimishwa rasmi leo huku ukiwa umehudhuriwa na takribani Mabunge zaidi ya 145.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wanachama wa Umoja huo kudumisha misingi ya IPU Mkutano wa 148 umehitimishwa rasmi leo huku ukiwa umehudhuriwa na takribani Mabunge zaidi ya 145.
account_circle