Jen_ (@jennie_wwt) 's Twitter Profile
Jen_

@jennie_wwt

Activist

ID: 1189160594739531776

calendar_today29-10-2019 12:43:00

88,88K Tweet

3,3K Followers

830 Following

Celestine Simba (@celestine_simba) 's Twitter Profile Photo

Siyo jambazi, siyo kibaka, siyo mwizi. Huyu ni raia mwema kabisa. Aina ya ukamataji iliyotumika, ni kama polisi walikuwa wanapambana na jambazi. #JusticeForBonifaceJacob

Siyo jambazi, siyo kibaka, siyo mwizi. Huyu ni raia mwema kabisa. Aina ya ukamataji iliyotumika, ni kama polisi walikuwa wanapambana na jambazi.
#JusticeForBonifaceJacob
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

KUKAMATWA KWA BONIFACE JACOB Boniface Jacob amekamatwa eneo la hotel ya Golden Fork ,Sinza majira ya saa 11.09 jioni ambapo polisi 2 wenye uniform na 3 waliokuwa hawana uniform wenye silaha walifika hotelini hapo na kumkamata Kwa nguvu na kumpakia kwenye gari Yao aina ya

KUKAMATWA KWA BONIFACE JACOB

Boniface Jacob  amekamatwa eneo la hotel ya Golden Fork ,Sinza majira ya saa 11.09 jioni ambapo polisi 2 wenye uniform na 3 waliokuwa hawana uniform wenye silaha walifika hotelini hapo na kumkamata Kwa nguvu na kumpakia kwenye gari Yao aina ya
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Ukamataji gani wa silaha, hamjajitambulisha na mmemnyanganya simu na kumweka kwenye defender na kuondoka naye bila kutoa fursa ya kutoa taarifa anapelekwa wapi Bila kufuata PGO ni utekaji! #FreeBonifaceJacob

NTOBI (@ntobi_) 's Twitter Profile Photo

Nimeshafika nyumbani kwa Bon hapa Mbezi Msakuzi -sisi kama familia, tumejipanga wanapokuja kufanya upekuzi wao. Wasije kuweka kitu hapa tumejipanga. Mke,watoto na familia wana ari nzuri, muhimu tunataka Bon awe mwenye afya njema. Maandamano yapo pale-pale #FreeBon

NTOBI (@ntobi_) 's Twitter Profile Photo

Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu Martin Maranja Masese Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain

Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu Martin Maranja Masese  Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

kama wananchi, ni lazima tusimame pamoja kukemea na kulaani vikali tabia ya serikali kutumia Police Force TZ kunyamazisha wakosoaji wake. tusisubiri siku yetu ifike, lazima tupaze sauti dhidi ya vitendo vya polisi kunyakua baadhi yetu na kutunyanyasa pasi na kosa lolote la msingi.

khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

serikali inafanya uhalifu wote huu kutujaza hofu na hivyo kutulazimisha kufumbia macho ukatili inaofanya dhidi ya wananchi. tukinyamaza, manyang'au haya yatafurahia, yakidhani yametimiza malengo yao. tusikubali kujazwa hofu na kufumbia macho uozo wa serikali hii ya kifisadi.

NTOBI (@ntobi_) 's Twitter Profile Photo

UPDATE: UKAGUZI KWA BON Jeshi la Polisi (Police Force TZ) wamefika nyumbani kwa Bon, hapa Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi. Anyways ni saa 2: 02 usiku!

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Naomba kuwauliza waliotia tindi kali Mzee Ally Kibao: Je mnaelewa Waislamu wanakoshwa kabla ya kuzikwa? Mnaelewa TRAUMA mliowapa watoto wake walivyomkosha baba yao? It’s disgraceful kwa kweli!

Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Alert 🚨 Simu ya Martin Maranja Masese iko Polisi hivo usimtumie ujumbe wowote hadi hapo watu wake wa karibu wataujuza Umma Ikumbukwe Martin ni miongoni mwa watu zaidi ya 10 wanaotakiwa kukamatwa Mmoja wamemkamata kinyemela leo Boniface Jacob Pongezi kwa wananchi waliokuwa karibu na

Adv Gidione Mathew🦁 (@gidionalex31) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la polisi Police Force TZ tumefahamu mipango yenu na Njama zenu mbaya za kumkamata BONI YAI siku Nne kabla hamjamkamata Leo, Mwachieni Simba Boniface Jacob mara Moja na bila mashariti yeyote! Acheni kutumiwa kisiasa kukamata watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa Kwa jamii yetu!

Jeshi la polisi Police Force TZ tumefahamu mipango yenu na Njama zenu mbaya za kumkamata BONI YAI siku Nne kabla hamjamkamata Leo,  Mwachieni Simba Boniface Jacob mara Moja na bila mashariti yeyote! Acheni kutumiwa kisiasa kukamata watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa Kwa jamii yetu!
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na kitendo cha kukamatwa kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, kikidai kuwa taratibu za kisheria hazikufuatwa. LHRC imeeleza kuwa ukamataji huo umefanyika bila taarifa rasmi za sababu za kukamatwa kwake

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na kitendo cha kukamatwa kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, kikidai kuwa taratibu za kisheria hazikufuatwa.

LHRC imeeleza kuwa ukamataji huo umefanyika bila taarifa rasmi za sababu za kukamatwa kwake
Mnyawami (@jacksonmnyawam2) 's Twitter Profile Photo

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na kitendo cha kukamatwa kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob , kikidai kuwa taratibu za kisheria hazikufuatwa. LHRC imeeleza kuwa ukamataji huo umefanyika bila taarifa rasmi za sababu za kukamatwa

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na kitendo cha kukamatwa kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob , kikidai kuwa taratibu za kisheria hazikufuatwa.

LHRC imeeleza kuwa ukamataji huo umefanyika bila taarifa rasmi za sababu za kukamatwa
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

😃😃Vipi Samia Suluhu ? Nasikia umechomoa safari ya New York UNGA 😂 Tulishajiandaa kukupokea mbona? Kumbe umeona moto uliyojitengenezea? Utaishia isolated kuliko hata Magufuli … endelea tu! You can’t kill and lead us! #TutaelewanaTu

😃😃Vipi Samia Suluhu ? Nasikia umechomoa safari ya New York UNGA 😂
Tulishajiandaa kukupokea mbona? Kumbe umeona moto uliyojitengenezea?
Utaishia isolated kuliko hata Magufuli … endelea tu!

You can’t kill and lead us!
#TutaelewanaTu