Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Tunatakiwa kujifunza kwa nchi ambazo zimepigania mabadiliko na mpaka wakafanikiwa, haikupatikana kirahisi bali kwa juhudi kubwa za wananchi. — Wilson E.Tarimo VIDEO : bit.ly/4b2qo4F

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

aliwahi kusema katiba ni ya udikteta lakini hakubadilisha, katiba hii itabadilishwa na wananchi na sio viongozi waliopo madarakani. — lalasalama VIDEO : bit.ly/4b2qo4F

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Kusema ukweli ni kuchukua risk ya kuteswa kuliko mtu anayeiba na kusema uongo. Taifa hili linahitaji marakaebisho makubwa ambayo tutaweza kupata viongozi waadilifu wasipenda rushwa. — Godbless E.J. Lema VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Kuna ubaguzi mkubwa wa kiakili kiasi ambacho wabunge walitakiwa watoe neno kukemea hili, tunahitaji bunge linalowajibika kwa wananchi. — Godbless E.J. Lema VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Imekuwa ni kawaida CCM kudharau maoni ya umma wa Watanzania. Tunahitaji kuwapunguzia madaraka yao ili mamlaka yarudi kwa wananchi. — Begga Richard VIDEO : bit.ly/4b2qo4F

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu anatakiwa awe mbunge aliyechaguliwa kwa kura lakini waziri wa sasa alipita bila kupingwa. — J.James VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Haki zinavunjwa kutokana na viongozi kuacha msingi na mfumo halisi wa utawala na uongozi. Tunahitaji uongozi ambao utadhibitiwa na katiba na viongozi fanya kwazi kwa mujibu wa katiba. — herman godt🇹🇿 VIDEO : bit.ly/4b2qo4F

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Kwa nini tukose majibu ya watekaji nchini wakati tuna mifumo yote ya kiusalama. Tunahitaji katiba ambayo mifumo ya kiusalama kuwajibika kwa maslahi ya wananchi. — herman godt🇹🇿 VIDEO : bit.ly/4b2qo4F

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Nchi hii imejipanga vipi katika kuleta mapinduzi kati ufugaji na kuingia ufugaji wa kisasa, hizi ndio ajenda za msingi ambazo viongozi wanatakiwa kuzingatia ili kukuza uchumi wa nchi hii. — Godbless E.J. Lema VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Viongozi kuwa na propaganda za uongo na wananchi kuacha udhalimu huu unendelea ni jambo baya sana. Wananchi wanatakiwa kuwajibika kupigania haki zao. — Godbless E.J. Lema VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa dini nchini wanaogopa kupinga dhambi hadharani kwa kuwa dhambi hiyo ilianza kukemewa na kiongozi wa kisiasa. Kueteta haki inapaswa kufanywa na watu wote bila kujali nni nani. — Godbless E.J. Lema VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Mtu anayepigania haki ni rafiki anatakiwa kusikilizwa hoja zake wa nchi na si adui wa nchi, tunahitajika kuzingatia haki ya kujieleza. — Godbless E.J. Lema VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Kukawia kwa ni kwa sababu ya wananchi na tunatakiwa kujilaumu, Mungu ametupa nchi nzuri ni wajibu wetu kuisimamia kwa kuitengenezea katiba bora. — Ananilea Nkya (PhD) VIDEO : bit.ly/4b2qo4F

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Maasai ni utambulisho wa Tanzania na ni utamaduni unaovutia, hawatakiwi kunyanyaswa katika ardhi yao enzi na enzi. Shida ni katiba ambayo haiwezi kulinda watu na mali zao. — @Shebby VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Kufeli kwa maridhiano kumetoa picha halisi ya mfumo wa utawala tulionao unaamini katika nyenzo gani. Wameshindwa kuchukua maoni halisi ya wananchi ya kujenga Tanzania bora. — herman godt🇹🇿 VIDEO : bit.ly/4b2qo4F

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Wana CCM wamekuwa wakipendelewa hata katika nafasi za ajira ukiwa na kadi ya uanachama ni rahisi kupata kazi kuzidi asiye na kadi na ambaye ana vigezo. Ubaguzi huu haufai. — wise mumy@shama'skitchenet VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Wananchi hawapewi haki ya ardhi kama muwekezaji ambaye ananufaisha watawala, wamezingatia kuboresha sheria za ardhi kusingekuwa na mgogoro wa ardhi wa wakulima na wafugaji — wise mumy@shama'skitchenet VIDEO : bit.ly/4aie53a

account_circle