Martin Maranja Masese
@IAMartin_
MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |
ID:126657061
https://www.instagram.com/martinmaranjamasese?igsh=bTR1eWEzOTRqcGtj&utm_source=qr 26-03-2010 15:32:42
145,3K Tweets
508,1K Followers
1,5K Following
Follow People
Habari ya kazi zuhura yunus? Ni siku ya 10, tangu Rais Samia Suluhu aondoke Tanzania kwenda Paris, France na pia ni siku ya 8 tangu Rais aondoke France kwenda Dubai (safari ambayo haikutajwa popote na Ikulu). Rais yupo wapi? Hayupo nchini? Amerudi? Ni wajibu wenu IKULU kutueleza.
Wananchi wa Kenya wanamkaanga Rais wao, William Samoei Ruto, PhD kwa kutumia kiasi cha TZS 3.94 bilioni ($1.5 million) kwa siku 4 katika safari yake ya USA.
Watanzania tupo usingizini. Hatuelezwi lolote kuhusu Rais wetu tangu alipotoka kuhudhuria mkutano wa nishati safi ya kupikia huko
Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Ashatu Kijaji, mbunge wa Kondoa, Dodoma anasema Tanzania kuna jumla ya viwanda 13 vya magari. Viwanda vya kutengeneza magari? Au anazungumzia gereji za kuunganisha vyuma? Kama viwanda vya magari vipo, kwanini tunanunua magari ya mtumba kutoka nje?
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, MP Wizara ya Afya imesheheni ujinga wa kutisha sana. Mtanzania anapoteza maisha yake kwa uzembe wa watoa huduma? Ofisini unafanya nini ikiwa kuna Mtanzania huko Rujewa-Mbarali, Mbeya, amefariki wakati wa kujifungua watoa huduma wamekunja nne tu? Kwa kuwa
Hii ni idadi ya Safari za kimataifa alizofanya Rais wa Tanzania, ndugu Samia Suluhu kuanzia April 11, 2021 hadi April 12, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kafanya safari 55 za kimataifa tangu aapishwe kuwa Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Kumchangia Tundu Antiphas Lissu inaonekana limewakera sana INTERAHAMWE (CCM) na wenzao, zambarau. Wamechukia sana. Lakini siyo mara ya kwanza. MaCCM yalipojaribu kumuua kwa risasi, yalizuia hata asichangiwe damu na yakapiga marufuku kuvaa nguo zenye jina lake. MaCCM ni viumbe katili.