Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile
Martin Maranja Masese

@iamartin_

MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |

ID: 126657061

linkhttps://www.instagram.com/martinmaranjamasese?igsh=bTR1eWEzOTRqcGtj&utm_source=qr calendar_today26-03-2010 15:32:42

146,146K Tweet

551,551K Followers

1,1K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Binafsi nakubaliana na Ally Bananga. HANGAYA anahubiri 4R, wafuasi wake wanahubiri pang’ang’a. Wanatangaza amani wakati yameficha mapanga kwenye koti. Hivyo kiwakeeee, halafu mapolisi wakae pembeni, watuache tukinukishe na MaCCM. Tuone itaishaje. TUTAWALOMBAAAAA mbaya mbovu.

Novemba 14, 2016 ndiyo ilikuwa siku ya mwisho Ben Rabiu Focas Saanane kuonekana. Wahuni walipomteka, tuliumia sana. Tulisubiri kama atarudi, hakuwahi kurudi, alitoweshwa. Hatuelewi aliuwawa kwa namna gani mafichoni. Leo nimejaribu sana kumuombea Deusdedith Soka na wenzake. 💔

Leo ni siku ya 72 tangu Edgar Edson Mwakbela SATIVA17 atekwe Dar es Salaam na kupatikana katika hifadhi ya Taifa ya Katavi. SATIVA alisema alipotekwa alipelekwa Karakana ya Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam. Jeshi la Polisi, tunataka kusikia, nani alimteka SATIVA?

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kama ipo Tanzania, kiti cha Zanzibar cha kazi gani? Hata bendera ya Zanzibar wameona noma kuiweka. Hii ni kama ile michezo ya dada anayecheza chura kwenye gari kiwiliwili ndani, kiuno kawaachia masela. Zanzibar ni nchi, ipo. Tanganyika ilipaswa kuwepo. Muungano wa umezagaa-zagaa.

. EastAfricaRadio siyo sawa mainstream media kuficha maoni ya wateja. Kama mngelikuwa hamtaki maoni, msingeleta maoni ya watangazaji wenu. Mlitumia kigezo gani kuwapa kazi KISA na huyo kubwa jinga mwenye koti la suti? Waombeni Chama Cha Mapinduzi wampe kazi KISA, kichwani ni debe tupu.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

CCM acheni kuhangaika. Umbea hauwezi kuwasaidia. Hamuwezi kuvunja heshima ya Edwin Odemba kwa uzushi na uongo. Katibu Mkuu wenu, Emmanuela Nchimbi alikimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu. Kitu cha kumsaidia, tunamtaka katika mdahalo. Ph.D asiogope midahalo. Au Ph.D ya hapa na pale?

Ndugu na rafiki yetu, Boniface Jacob, Boniface Jacob ametangaza nia yake kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani (Dar es Salaam na Pwani). Alhamisi, Septemba 05, 2024 atarejesha fomu yake Ofisi za CHADEMA Kanda ya Pwani. Atarejesha fomu kwa sauti kubwa. Karibuni.

Rais Samia Suluhu kama ‘Mkuu wa Serikali’ kwanini usione hii siyo sahihi? Kwanini usiwekeze nguvu katika kurekebisha Sheria ya Kodi na bajeti kuu ya Serikali kuliko hizi siasa za Instagram? Tujadili pamoja. 1. Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inayotozwa katika

Rais Samia Suluhu kama ‘Mkuu wa Serikali’ kwanini usione hii siyo sahihi? Kwanini usiwekeze nguvu katika kurekebisha Sheria ya Kodi na bajeti kuu ya Serikali kuliko hizi siasa za Instagram? Tujadili pamoja.

1. Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inayotozwa katika
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Sheikh Ally Mohammed Kadogoo, mwanachama wa CHADEMA. Hakika, tunajitosheleza bablai, tunazo mashine za kutosha. Karibu, sikiliza nondo zake mujarabu hapa. MUHIMU; Nipo hapa kuwajulisha kwamba, Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA, kanda ya Pwani.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa chama cha upinzani Uganda cha National Unity Platform, Robert Kyagulanyi Ssentamu, BOBI WINE amepigwa risasi mguuni jioni hii na askari wa Dikteta Museveni. Taarifa hizo zimethibitishwa na mlinzi wake Eddie Mutwe. Upinzani Uganda wanapitia tanuru la moto kama tunalipotia Tanzania

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Oppositions in Uganda are going through the same fire as Tanzania’s opposition. NUP supporters are shot with live ammunition and teargas as traitors. Kenya’s opposition do not pass through this fire. The environment in which they conduct their politics is very favorable. #Kenya

Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) (@shekhalykadogoo) 's Twitter Profile Photo

Natangaza rasmi,Nimetia nia, kugombea umakamu uenyekiti katika kanda yapwani!! Pwani yetu, kivyetuvyetu, Mwenyezi Mungu atusaidie nakutusimamia katika kukiimarisha chama chetu

Natangaza rasmi,Nimetia nia, kugombea umakamu uenyekiti katika kanda yapwani!! Pwani yetu, kivyetuvyetu, Mwenyezi Mungu atusaidie nakutusimamia katika kukiimarisha chama chetu
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

I was gifted this photo. I’m unsure if the person depicted looks like me. But the picture is mine and that’s me. Rate the painter with a score of 10/10.

UTAPELI. Umeshindwa kuboresha barabara za Kigamboni kwa miaka 14 ukiwa mbunge. Umeshindwa kuboresha hata mnara mmoja wa simu ukiwa Wizara ya Mawasiliano. Umeshindwa kuboresha hata zahanati moja ukiwa Wizara ya Afya. Utaweza kuboresha World Health Organization (WHO)?

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Tulikuwa Central Police Dar es Salaam. Tumekuwa na kikao kirefu cha saa tatu na Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro. Tumekubaliana mambo kadhaa, tutawajulisha punde. Tuendelee sasa na maandalizi ya kurejesha fomu yetu yetu kesho.

Msanii wa muziki wa Uganda, #KingSaha amemtembelea hospitali kiongozi wa upinzani Uganda, BOBI WINE, ambaye alikuwa hospitali akiuguza jeraha la risasi aliyopigwa na askari wa Dikteta Yoweri Museveni. PS; Tundu Antiphas Lissu alipopigwa risasi, kuna msanii alimtembelea popote? ANY?

Msanii wa muziki wa Uganda, #KingSaha amemtembelea hospitali kiongozi wa upinzani Uganda, BOBI WINE, ambaye alikuwa hospitali akiuguza jeraha la risasi aliyopigwa na askari wa Dikteta Yoweri Museveni.

PS; Tundu Antiphas Lissu alipopigwa risasi, kuna msanii alimtembelea popote? ANY?
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Hii ni leo Boniface Jacob akirudisha fomu ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani (Dar es Salaam na Pwani). Uchaguzi wa ndani wa chama. Tumetanua misuli kidogo (1) kutuma salamu kwa MaCCM (2) kuwaonesha watawala umma ambao tunakwenda kuongoza kwa miaka mitano ijayo. ✌️

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kila hatua DUA. 🙏🏾 Leo mwanetu Boniface Jacob amerudisha fomu yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani. Huo ni umma wakiwepo wajumbe/wapiga kura waliamua kumsindikiza kurejesha fomu hiyo katika ofisi za CHADEMA Kanda ya Pwani. #TunarejeaKwaKishindo.