Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profileg
Wizara ya Viwanda na Biashara

@ViwandaBiashara

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Viwanda na Biashara

ID:1140494334032306176

linkhttp://www.mit.go.tz calendar_today17-06-2019 05:40:13

1,3K Tweets

45,3K Followers

70 Following

Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Yasisitiza Uhuru wa Biashara na Usalama wa Nchi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Tanzania inaunga mkono harakati za kuwezesha usafirishaji wa bidhaa kwa huru na haraka mipakani kwa kuzingatia usalama wa Nchi ili kukuza uchumi…

Tanzania Yasisitiza Uhuru wa Biashara na Usalama wa Nchi Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Tanzania inaunga mkono harakati za kuwezesha usafirishaji wa bidhaa kwa huru na haraka mipakani kwa kuzingatia usalama wa Nchi ili kukuza uchumi…
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil .T Abdallah, ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la Usimamizi wa Mipaka katika ufanyaji biashara mipakani linalofanyika Nairobi Kenya Aprili 02 – 04, 2024.

Ujumbe huo unajumuisha Kamishna Jenerali wa…

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil .T Abdallah, ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la Usimamizi wa Mipaka katika ufanyaji biashara mipakani linalofanyika Nairobi Kenya Aprili 02 – 04, 2024. Ujumbe huo unajumuisha Kamishna Jenerali wa…
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Serikali kuendelea kuwalea Wazalishaji, Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Ndani

Serikali itaendelea kuwalea wazalishaji wawekezaji na wazalishaji wa ndani ya nchi ili waweze kukuza mitaji yao na kuchangia katika maendeleo ya ya Taifa kwa ujumla.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa…

Serikali kuendelea kuwalea Wazalishaji, Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Ndani Serikali itaendelea kuwalea wazalishaji wawekezaji na wazalishaji wa ndani ya nchi ili waweze kukuza mitaji yao na kuchangia katika maendeleo ya ya Taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa…
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Tanzania na Kenya zatia saini makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stephen Byabato akiwa na Waziri wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Kenya Mhe. Rebbecca Miano…

Tanzania na Kenya zatia saini makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stephen Byabato akiwa na Waziri wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Kenya Mhe. Rebbecca Miano…
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

*Mhe. Byabato apokea mapendekezo ya makubaliano ya kibiashara baina ya Tanzania na Kenya. *
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stephen Byabato akipokea Mapendekezo ya Makubaliano ya kuondoa…

*Mhe. Byabato apokea mapendekezo ya makubaliano ya kibiashara baina ya Tanzania na Kenya. * Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stephen Byabato akipokea Mapendekezo ya Makubaliano ya kuondoa…
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stephen Byabato akipokea Mapendekezo ya Makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru baina ya Kenya na Tanzania kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah…

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah ( wapili kushoto) akiwa na Katibu Mkuu ; Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji wa Kenya Bw. Alfred Ombudo K’Ombudo (wapili kulia) (wapili kulia) wakisaini mapendekezo makubaliano ya kuondoa vikwazo vya…

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) wakiwa na ujumbe wa Wizara hizo wamekutana na kujadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara ili sekta hiyo iweze kuongeza mchango wake…

Makatibu Wakuu wa Biashara wa Kenya na Tanzania wasaini mapendekezo ya makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah ( wapili kushoto) akiwa na Katibu Mkuu ; Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji wa Kenya Bw.…

Makatibu Wakuu wa Biashara wa Kenya na Tanzania wasaini mapendekezo ya makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah ( wapili kushoto) akiwa na Katibu Mkuu ; Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji wa Kenya Bw.…
account_circle