John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profileg
John Heche

@HecheJohn

Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.

ID:558686364

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/John_Heche calendar_today20-04-2012 12:45:14

78,5K Tweets

736,6K Followers

1,4K Following

Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Aliyenitumia meseji hii anaitwa Hussein Kingazi. Hussein amenikumbusha hadithi ya Biblia juu ya mjane aliyetoa sadaka ya senti za mwisho alizokuwa nazo. Yesu alisema sadaka ya mjane huyo ndio ilikuwa kubwa zaidi ya sadaka walizotoa matajiri. Ama kweli kutoa ni moyo, sio utajiri.

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

👉🏽First of all we are looking for diesel not petrol
👉🏽Two we are looking for a work car that can transport Lissu and his aides securely and comfortably considering one of his leg needs to be fully stretched
👉🏽Thirdly, this initiative came from citizens who want to donate - noone

account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Hii ni kubwa mno, huu ni upendo wa hali ya juu… kwa siku 3.9 m. Bado tumechanga wachache sasa tuendelee. Kila mtu ahakikishe ameweka mkono wake.

👉🏽Unaweza kumchangia kwa mobile money:
M-Pesa +255 752 31 61 71;
TigoPesa +255 679 22 26 76

👉🏽Benki:
Tundu Antiphas Lissu
CRDB

Hii ni kubwa mno, huu ni upendo wa hali ya juu… kwa siku 3.9 m. Bado tumechanga wachache sasa tuendelee. Kila mtu ahakikishe ameweka mkono wake. 👉🏽Unaweza kumchangia kwa mobile money: M-Pesa +255 752 31 61 71; TigoPesa +255 679 22 26 76 👉🏽Benki: Tundu Antiphas Lissu CRDB
account_circle
E.G.Nkali(@EGNKALI1) 's Twitter Profile Photo

John Heche TBCOnline its too biased News Station,imekaa kisiasa saana na inaegemea Watawala kuwabagua Vyama vingine vya Siasa waziwazi huku wao wakiendeshwa na kodi za WaTZ wote,Mpangilio wao wa vipindi pia haupo makini,IMAGINE WANAKATISHA VIKAO VYA Bunge la Tanzania kuonesha vitu vya kawaida.

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Mliomba tuweke target na baada ya mashauriano tumeweka kiwango cha sh milioni 300
So tunawapa progress ya michango kila tutakapofikia hatua muhimu
Tumeshafika milioni 20 sasa tunaelekea milioni 50 🔥🔥

Mliomba tuweke target na baada ya mashauriano tumeweka kiwango cha sh milioni 300 So tunawapa progress ya michango kila tutakapofikia hatua muhimu Tumeshafika milioni 20 sasa tunaelekea milioni 50 🔥🔥 #YesWeCan #SupportTunduLissu
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️Update ‼️
Upendo wa kipekee kwa Tundu Antiphas Lissu ❤️
Wachangiaji jumla ni 1,673 💥
Iwe umechangia 1,000 au 1,000,000 - huu mchango ni wetu sote! Hakuna atakayeweza kuja kujigamba kwamba amem”sponsa” Lissu zaidi yetu sisi maelfu ya wananchi!
Utajiri wa Lissu ni imani ya

‼️Update ‼️ #Tanzania Upendo wa kipekee kwa @TunduALissu ❤️ Wachangiaji jumla ni 1,673 💥 Iwe umechangia 1,000 au 1,000,000 - huu mchango ni wetu sote! Hakuna atakayeweza kuja kujigamba kwamba amem”sponsa” Lissu zaidi yetu sisi maelfu ya wananchi! Utajiri wa Lissu ni imani ya
account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Day 5 Mchango Update: Hadi sasa tumepokea sh. 20,029,287.00, wastani wa sh. 3,983,857.40 kwa siku. Idadi ya waliochangia ni 1,673, wastani wa sh. 11,972.08 kwa kila mchangiaji. Mvua huanza na tone moja. Kwa ukarimu wenu, matone yenu yatatengeneza mvua ya ukombozi wa nchi yetu!

Day 5 Mchango Update: Hadi sasa tumepokea sh. 20,029,287.00, wastani wa sh. 3,983,857.40 kwa siku. Idadi ya waliochangia ni 1,673, wastani wa sh. 11,972.08 kwa kila mchangiaji. Mvua huanza na tone moja. Kwa ukarimu wenu, matone yenu yatatengeneza mvua ya ukombozi wa nchi yetu!
account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Ndugu yangu Ayoub Ryoba na TBC wao wanafikiri hilo ni shirika la habari la ccm, wanaamini kazi yake ni kulinda uchafu wa serikali ya ccm..

Hakuna ueledi wala fikra za kusaidia watu ambao ndio walipa kodi..

Tido alijitahidi kidogo kuibadili TBC sasa duh.

account_circle
LYENDA(@IamLyenda) 's Twitter Profile Photo

Natazama South Africa Broadcasting Corporation (SABC), hii ni TBC ya Afrika Kusini ikiwa imempa nafasi mgombea wa chama cha The Economic Freedom Fighters (EFF) kinachoongozwa na Julius Sello Malema ajinadi na anadi chama chake.
TBC igeni hii mifano.

Natazama South Africa Broadcasting Corporation (SABC), hii ni TBC ya Afrika Kusini ikiwa imempa nafasi mgombea wa chama cha The Economic Freedom Fighters (EFF) kinachoongozwa na @Julius_S_Malema ajinadi na anadi chama chake. TBC igeni hii mifano.
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

😅😅 Tukumbushane Tundu Antiphas Lissu alivyopambana hata juzi tu mwaka jana kufika Ngorongoro na alipambana na Polisi hadi akafika kwa ndugu zetu waMaasai 🙏🏽 aliwafariji na ameendelea kusimama nao
Kwa wasiojua Lissu hakuanza mwaka jana kupigania haki za wamaasai kuishi kwenye ardhi yao

account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Nimepata taarifa ya mauaji mengine Nyamongo…

kinachoendelea ni mauaji ya makusudi kwa watu wetu, vijana wetu wanamalizwa na polisi wa ccm.

Rais Samia Suluhu kwanini unafumbia macho mauaji haya holela kwa watu unaowaongoza!!!!

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Katika muendelezo wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo), mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti kanda ya Magharibi Rhoda Kunchela amesema miongoni mwa sababu zinazotakiwa kutumika na wapiga kura kumpatia nafasi hiyo ni kutokana na

account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Mchango Latest Update: Kulikuwa na tatizo kwa wanaotuma kwa njia ya M-Pesa. Tatizo hilo limetatuliwa na wanaweza kutuma kwa M-Pesa tena. Leo ni siku ya tatu na hadi sasa tumepokea jumla ya sh. 16,263,624. Shukrani nyingi kwa waliokwisha, na wanaoendelea, kuchangia. Stay blessed!

Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati najiuliza maswali mengi sana sipati majibu. Kweli hawa watangazaji wanayo taaluma ya habari? Kama wanayo ni kweli wanatumia ubongo walionao au kichwa kimetumika kama pambo la kubeba nywele?

Pili, kujenga miradi ya maendeleo, huo siyo wajibu wa chama cha siasa. Vyama

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tanganyika Mhe. Tundu Lissu leo Mei 21, 2024 amefanya mkutano mfupi na wananchi wakazi wa Kibaigwa wilayani Kongwa akiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Singida ambako alikwenda kuwaonyesha gari aliloshambuliwa nalo kwa risasi.ambapo wakazi

CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti Bara Tundu Antiphas Lissu akizungumza na wakazi wa Kibaigwa waliojitokeza barabarani kuzuia msafara wake akitokea Singida kuelekea Dar es Salaam, wananchi wamejitokeza kuangalia gari alilopigwa nalo risasi Sept 7,2017 mkoani Dodoma ambapo alikuwa katika shughuli za

Makamu Mwenyekiti Bara @TunduALissu akizungumza na wakazi wa Kibaigwa waliojitokeza barabarani kuzuia msafara wake akitokea Singida kuelekea Dar es Salaam, wananchi wamejitokeza kuangalia gari alilopigwa nalo risasi Sept 7,2017 mkoani Dodoma ambapo alikuwa katika shughuli za
account_circle