Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Asanteni sana kwa salamu za moyo kutoka kwa wanafunzi wazuri wa Bariadi katika maandamano yetu ya amani jana. Uchaji wenu na matumaini yenu hufanya azma yetu kuwa imara kwa ajili ya Tanzania ambayo sauti ya kila mtoto inasikilizwa na kupewa thamani. Asanteni kwa kusimama nasi

account_circle
Bigwig Austin(@bigwig_austin) 's Twitter Profile Photo

While Tanzania shutting down five hydro stations our power minister is asking us to shutdown our refrigerators.

Both countries are in same continent with one arrogating Africa giant tonself. 🤣

💍🇮🇩🍒 ¥uπ!€ ¥u$uf29 🍒🇮🇩💍(@MyYunieyusuf519) 's Twitter Profile Photo

💯 Berita besar! Pi Network ada di Star TV Arusha-Tanzania. 🇹🇿
Mereka menunjukkan acara keren di mana orang-orang menjual Barang untuk koin Pi.
1 koin Pi bernilai $314.159!
Luar biasa melihat ini di TV Star.

account_circle
Vivian J Joseph(@vivian_j_joseph) 's Twitter Profile Photo

Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Kama wewe ni kijana na upo jijini Tabora mjini, na ungependa kuwa moja ya machampioni katika juhudi za kutokomeza ugonjwa wa Malaria.

Karibu sana katika Banda la ALMA “African Leaders Malaria Alliance” viwanja vya Shule

Boniface Mwabukusi(@Mwabuk2Boniface) 's Twitter Profile Photo

Wanakotupeleka hawa watu watatuambia kwamba wao tu ndiyo Raia sisi wengine wote kuwepo Tanzania siyo uthibitisho wa Uraia 🤣🤣🤣 maake hawaeleweki

Rehema Sombi Omary(@RSrehemasombi) 's Twitter Profile Photo

Leo nimepata wasaa wa kuungana na Jumuiya ya Wanawake wa Tanzania[UWT] kwenye mdahalo wa Kitaifa wa wanawake na Muungano; ukumbi wa Mlimani City-Dar es Salaam. Mgeni Rasmi wa mdahalo huu ni Rais wa Zanzibar, Makamu M/kiti wa CCM-Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi.

Mike Sonko(@MikeSonko) 's Twitter Profile Photo

For the first time ever, Tanzania has shut down
five hydroelectric stations due to excess power production.

account_circle