Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile
Adv. Dickson Matata

@advmatata

advocate/ lawyer

ID: 1415666616348512261

calendar_today15-07-2021 13:36:56

186 Tweet

18,18K Followers

99 Following

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Kitabu kitakatifu kinasema "Haki huinua Taifa" na haki ya msingi kwa binadamu yeyote hapa duniani ni haki ya kuishi. Haki nyingine zote hufuata, baada ya haki hiyo. Naahidi kuwa nitaipambania haki yako ya kuishi kwa machozi, jasho na damu. Tukutane kesho.

Wilayani Kaliua-Tabora kijiji cha Kombe nje ya hifadhi ya Isawima, askari wa hifadhi wamevamia eneo la wananchi na kuchukua Ng'ombe zaidi ya 400 kinyume cha sheria. Aidha wanawatisha kuwa wakiendelea kudai Ng'ombe zao watawachomea moto makazi yao. NO!! NO!!

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Kwa maamuzi ya leo itakuwa ngumu sana kwa raia kukubali kukamatwa na Polisi wasio na sare rasmi (uniform) au wale wanaokuja kukamata kwa gari tofauti na magari yanayotambulika ni ya Polisi. Maana watu hawatakuwa na uhakika tena na usalama wa maisha yao.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Mwaka kati ya 2012 -2015 kuliandaliwa mdahalo ITV wa makatibu wakuu wa CCM na CDM wa CCM bila taarifa akamtuma Nape Nauye katika mdahalo ule. Dr. Slaa akagoma kuendelea. Hali hiyo imejitokeza tena leo kwa Nchimbi tena bila kutoa taarifa yoyote.Pole sana@ Edwin Odemba

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Nafahamu Edwin Odemba atakuwa kaingia gharama kwa kuandaa mdahalo huu. Kama watanzania tuguswe kumchangia gharama hizo kwa kidogo kidogo tulichonacho. Machozi aliyoyatoa ukumbuni baada ya kujua Nchimbi hatatokea yanaumiza sana. Tuwe faraja kwake kwa kuguswa na hali hiyo.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Kwa kila aliyeguswa kuchangia chochote ili kumfariji Edwin Odemba kwa gharama alizoingia baada ya mdahalo kutokufanyika kama ilivyokuwa imepangwa, huku akiwa ameshalipia ukumbi, uandaaji wa kipindi (Production) n.k atume mchango wake kwa Mpesa 0766662533 jina Edwin P. Odemba.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Kwetu Polisi wa Kituo cha Chang'ombe kwenye maombi ya Soka hawakuitwa hata kuitwa mahakamani bali walijibiwa na mawakili wa serikali sembuse kumwita IGP? Inaumiza!!.

Jana wakati nikiwa katika viunga vya Mahakama ya upeo (ya juu zaidi) nchini Kenya. Nilimwomba kijana mmoja anisaidie "WIFI" ili nitume nyaraka flani sehemu... yule kijana mbele ya Polisi zaidi ya wawili alinitajia "Password" yake kwa sauti "Ruto ni Mbwa". Kwa Tz sijui ingekuwaje

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu naomba kukushauri kama raia wako mambo mawili, Mosi; fanyia marekebisho sheria ya Usalama wa Taifa kuondoa mamlaka ya wao kukamata(arresting) na kutumia silaha. Pili; unda tume huru ya kijaji kuchunguza matukio ya utekaji nchini.

Mheshimiwa Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> naomba kukushauri kama raia wako mambo mawili, Mosi; fanyia marekebisho sheria ya Usalama wa Taifa kuondoa  mamlaka ya wao kukamata(arresting) na kutumia silaha. Pili; unda tume huru  ya kijaji kuchunguza matukio ya utekaji nchini.
Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Polisi wana-double standard sana. Kauli ya Nchimbi kuwa kuna "genge la utekaji" nchini ingetolewa na mtu wa upinzani muda huu angekuwa kaishaitwa kituo cha Polisi kuhojiwa kwa uchochezi na kuzua taharuki kwa wananchi.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Kwenye kesi ya"ugaidi" ya Mbowe na wenzake. Rais aliutangazia umma na dunia kuwa Mbowe ni gaidi kupitia mahojiano na BBC kauli iliyoanzishwa na IGP wa kipindi hicho Simon Sirro. Hivi karibuni Polisi na jana Rais amesema CDM wanafanya vikao vyenye nia ovu. Takafari!!

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Mahakama zetu zinatia aibu sana.Sishangai watu wakisema zinatumika na serikali. Mfano; kesi ya Kombo-Tanga; mpaka leo yuko ndani kwa kesi yenye dhamana. Kesi ya akina Soka mahakama kuu na maamuzi yake. Kesi ya Boniface mahakama imeshindwaje kutoa maamuzi leo eti mpaka jumatatu?

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Ikitokea kesho nimekufa kwa kupigwa risasi na Polisi, msilie; shangilieni kwa kuwa sintakuwa nimekufa kwa kuiba au kudhulumu mali ya mtu bali kwa kupiginia haki na hasa hasa haki ya kuishi. Haki inayolindwa si tu na katiba yetu bali pia na sheria za kimataifa.

Mawakili tukiongozwa na Peter Kibatala tumetoka Kisutu kwenye kesi ya Boniface Jacob ambaye hajaletwa leo mahakamani mpaka tarehe 26/9/2024. Sasa tumejigawa mimi na kundi langu tunaelekea Central Police kwa ajili ya mh. Mbowe na Ntobi. Kibatala anaelekea Oysterbay na timu yake.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Mawakili tulioko central Police tunaendelea kusimamia wanachama wote wa CDM na raia waliokamatwa kuhakikisha wanapata haki zao hasa hasa haki ya dhamana. Mpaka sasa tumeonana na Rachel Peter Mkadala, Nassoro Balozi na Emmanuel Ntobi. Tunaomba taarifa zaidi kwa waliokamatwa.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Jana majira ya saa tisa mchana Mh. Godbless Lema alinipigia simu nikampokee JK Nyerere international Airport saa 12 jioni. Tangu hapo hakupokea simu leo ZPC Muliro amekiri kuwa kati ya waliokamatwa na Lema yumo. Tumefatilia lakini mpaka sasa Polisi hawasemi yuko kituo gani?.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Nimetaarifiwa na D/ZCO kuwa Mh. Lema yuko kituo cha Polisi Airport -Dar es Salaam tangu walipomkamata jana jioni akitokea Arusha kwa usafiri wa Ndege.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Nimetaarifa na D/ZCO kuwa dhamana ziko wazi kwa wote waliokamatwa leo. Hivyo basi,twendeni muda huu katika vituo vya Polisi tukawadhamini viongozi na waliokamatwa wote . Wadhamani wawe na barua au vitambulisho vinavyotambulika kisheria.