Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profileg
Jambo TV

@Jambotv_

Independent News Source | WhatsApp+255767252999

ID:570641129

linkhttps://www.jambo.or.tz calendar_today04-05-2012 08:15:47

14,7K تغريدات

906,2K متابعون

37 التالية

Follow People
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

'Madereva wanaosafirisha mizigo nje ya nchi, madereva hawa husafiri masafa ya mbali huku wakiwa wameacha familia zao na kuwa kwenye hatari kubwa za kiusalama, na pengine sheria hutofautiana nchi na nchi kama kuzuia baadhi ya bidhaa kuingia nchi nyingine, uzito wa mzigo na sheria

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

'Kutokulipwa fidia kwa Askari wanaoshiriki Operesheni za kulinda amani nje ya nchi
Askari wetu wa Tanzania wanapochukuliwa katika misheni mbalimbali za operesheni za kulinda amani kama Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ujumbe wa

'Kutokulipwa fidia kwa Askari wanaoshiriki Operesheni za kulinda amani nje ya nchi Askari wetu wa Tanzania wanapochukuliwa katika misheni mbalimbali za operesheni za kulinda amani kama Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ujumbe wa
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Gazeti Raia Mwema la wiki hii ni kali, usikose kujua Mbowe na Lissu wamemalizana vipi. Makonda azidi kuwa mwiba mkali, pata undani wa anavyowasha moto bila kupoa. Wajue vigogo waliowekwa kikaangoni. Ni Raia Mwema pekee

VIDEO:

Mkazi wa kata ya Pugu, wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam amedai mwenyekiti wake kumtapeli eneo alilomuuzia, hali iliyomlazimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kuingilia kati na kumtaka mwenyekiti huyo kumrudishia hela yake kiasi cha Shilingi milioni mbili

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Wazazi na walezi nchini wametakiwa kuhakikisha wanawawezesha watoto wa kike kila mwezi kupata vifaa vyao vya kujilinda na kuwa na hedhi salama katika muda husika.
Rai hiyo imetolewa Jumanne Mei 28, 2024 na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel wakati akizungumza kwenye

Wazazi na walezi nchini wametakiwa kuhakikisha wanawawezesha watoto wa kike kila mwezi kupata vifaa vyao vya kujilinda na kuwa na hedhi salama katika muda husika. Rai hiyo imetolewa Jumanne Mei 28, 2024 na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel wakati akizungumza kwenye
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

'Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia, nikamwambia kwanini? akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa milioni sita kwa ajili ya kufanya maangamizi maliza mkutano nenda

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameiomba nchi ya Indonesia kushirikiana na Tanzania kuboresha mifumo ya kodi ili kuboresha ukusanyaji wa mapato ya serikali na kuondoa changamoto zinazowakabili walipakodi nchini.

Dkt. Nchemba ametoa ombi hilo alipokutana

Waziri wa Fedha wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameiomba nchi ya Indonesia kushirikiana na Tanzania kuboresha mifumo ya kodi ili kuboresha ukusanyaji wa mapato ya serikali na kuondoa changamoto zinazowakabili walipakodi nchini. Dkt. Nchemba ametoa ombi hilo alipokutana
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Katika dhamira yake ya kuhakikisha watoto wa kike na wanawake wanapata elimu kuhusu umuhimu wa usafi katika kipindi cha hedhi, kampuni ya Barrick Tanzania imeshiriki maadhimisho ya Siku ya Hedhi Salama Duniani ambayo huadhimishwa Mei 28 kila mwaka ambapo wafanyakazi wa kampuni

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Dkt. Petro Mboya pamoja na watumishi wengine wa idara ya Afya Wilayani humo wamesimamishwa kazi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ili kupisha uchunguzi kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya milioni 600 zilizokuwa

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Dkt. Petro Mboya pamoja na watumishi wengine wa idara ya Afya Wilayani humo wamesimamishwa kazi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ili kupisha uchunguzi kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya milioni 600 zilizokuwa zitumike

'Tangu tulipotangaza kuwepo hapa (kwenye mkutano wa hadhara, ambao wataalamu wa sheria walitangulia) kero 75 zinatatuliwa na kero nane (8) zimekatiwa rufaa kuja kwa Mkuu wa mkoa, ni kazi kubwa nzuri na shauku yetu sisi si kusikiliza watu, shauku yetu ni kutatua na si tu utatuzi

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba Isaya Mbenje amesema kuwa serikali itaanza kutumia vikao vyake rasmi kutoa elimu ya huduma ndogo za fedha ili kupunguza migogoro inayoendelea nchini kuhusu mikopo na watu kuchukuliwa mali zao kwa kushindwa kulipa mikopo.

Mbenje

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba Isaya Mbenje amesema kuwa serikali itaanza kutumia vikao vyake rasmi kutoa elimu ya huduma ndogo za fedha ili kupunguza migogoro inayoendelea nchini kuhusu mikopo na watu kuchukuliwa mali zao kwa kushindwa kulipa mikopo. Mbenje
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Arusha kumkamata Simon Kaaya ambaye ni Afisa Mtendaji wa kata ya Bwawani akituhumiwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kwenye kata hiyo.

Makonda amefikia hatua hiyo Jumanne

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Arusha kumkamata Simon Kaaya ambaye ni Afisa Mtendaji wa kata ya Bwawani akituhumiwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kwenye kata hiyo. Makonda amefikia hatua hiyo Jumanne
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kumshikilia Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Shevednaze Mwakyokola kwa tuhuma za kushawishi na kupokea rushwa ya milioni tano suala ambalo Mkuu

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amesema ni vyema kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kupiga vita utoroshaji wa madini na kuwaona ni maadui wale wote ambao wamekuwa na tabia ya kutorosha madini kwani tayari serikali imeshatenga masoko maalumu kwa ajili ya

account_circle