TANZANIA🇹🇿
@tanzakwanza
#Ilove my Country #Fight for my country #UHURU NA WAJIBU
#HAKI NA USAWA#
#PINGA UKOLONI MAOMBOLEO#
#KATAAA SIASA CHAFU#SIASA SIO CHANZO CHA VURUGU AFRIKA🇹🇿
ID: 1314886043850739712
10-10-2020 11:11:04
3,3K Tweet
2,2K Followers
562 Following
Waarabu wasaini hiki, Waarabu wasaini kile, Waarabu, Waarabu, Samia Suluhu mbona mnaturudisha utumwani na hawa Waarabu? Mbona mnaiuza hii nchi?
NIMESIKITIKA Badala Bunge la Tanzania lifanye kazi yake ya KUCHAMBUA AZIMIO LA MAKUBALIANO ya Uchumi wa Taifa kwa Masilahi ya Watanzania, Bunge Zima Limemaliza Siku Nzima Kumjadili Freeman Mbowe 🤦🏾♂️ Kila anayesimama anaongea Kitu kile kile, anarudia Maelezo yale yale 🚮 IT WAS BORED!
Taifa Stars inakaribia kufuzu #TotalEnergiesAFCON ikiwa wamechukua alama zote 3 dhidi ya Niger 🔥 Je Tanzania atakua mgeni mwengine kwenye ndege ya Cote dvoire? 🤔 TFF TANZANIA
Maulid Kitenge Tatizo siyo ufanisi wa DP world kuendesha shughuli za bandari shida yetu ni huu mkataba usiokuwa na tija kwa taifa letu ni mkataba ambao yaliyomo hutamani hata kuamini kama kuna watu wamesoma kwa kodi zetu na walihusika kuandaa huu mkataba.Ni ufedhuli mtupu