Evodius Rwenyagira (@evoddy1) 's Twitter Profile
Evodius Rwenyagira

@evoddy1

ID: 408461933

calendar_today09-11-2011 13:11:27

26,26K Tweet

368 Followers

648 Following

Kennedy Wandera (@kennedywandera_) 's Twitter Profile Photo

A fiery speech by South Africa'sšŸ‡æšŸ‡¦ EFF leader Julius Malema, over xenophobic attacks targeting foreign nationals. ā€œYou say Zimbabweans take your jobs. Nigerians take your jobs. You march, close shops and beat up people. Tell us after doing that how many jobs have you created,

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Tunajali haki na maslahi ya Ninja kwakuwa ukamataji wake ni wa kiholela. Na tunalitaka jeshi la polisi kumuachia mara moja. Free Ninja Now!!

Tunajali haki na maslahi ya Ninja kwakuwa ukamataji wake ni wa kiholela. Na tunalitaka jeshi la polisi kumuachia mara moja.  

Free Ninja Now!!
Kylianbk_4069 (@baraka_asege) 's Twitter Profile Photo

Taifa limahitaji saana watu Smart Kama SUGU. Mana lilikuwa sio jukwaa la Siasa just was an intertainment. Jamaa kakataa uchawa mazima mamamamk Mwana FA nafkr nae alipanda kwa heshima ya AY tu. 🫔🫔 Mwaga Moto kwa Mh. SUGU šŸ‘‡šŸ‘‡

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

"Kamati Kuu ya Chama imeazimia kuwaenzi waasisi wawili wa Chama, Mwenyekiti wa kwanza wa Chama Hayati Mzee Edwin Mtei na Katibu Mkuu wa kwanza wa Chama Hayati Bob Nyanga Makani. Kamati Kuu imeazimia jengo la makao makuu ya Mikocheni, Dar es Salaam litaitwa Edwin Mtei House na

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Polisi wanasema 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati, Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, N I N J A na kupelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu (ambavyo hawajaeleza) na kwamba katika mahojiano ya awali

Polisi wanasema 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati, Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, <a href="/Ninja_Damour/">N I N J A</a> na kupelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu (ambavyo hawajaeleza) na kwamba katika mahojiano ya awali
Edwin Sifuna (@edwinsifuna) 's Twitter Profile Photo

Wanaharakati kutoka Kenya walifanyiwa unyama wa ajabu kule Tanzania juzi tu. La kuvunja moyo zaidi ni zile kejeli baadhi ya wabunge wa Tanzania waliwaelekezea wanaharakati hao kwenye vikao bungeni. Sasa rais Ruto ameratibiwa kuhutubia bunge hilo hilo wakati hatujapata maelezo ki

Wanaharakati kutoka Kenya walifanyiwa unyama wa ajabu kule Tanzania juzi tu. La kuvunja moyo zaidi ni zile kejeli baadhi ya wabunge wa Tanzania waliwaelekezea wanaharakati hao kwenye vikao bungeni. Sasa rais Ruto ameratibiwa kuhutubia bunge hilo hilo wakati hatujapata maelezo ki
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Asante sana ndugu zetu wa Linda Mwananchi kwa kutambua na kukemea dhuluma, wizi wa uchaguzi na mauaji ya wananchi Tanzania. Hili linaloitwa bunge la Tanzania, halikuchaguliwa Kwahiyo halina uhalali wowote kuwakilisha wananchi wa Tanzania.. Asante sana ndugu Edwin Sifuna

Asante sana ndugu zetu wa <a href="/LindaMwananchi_/">Linda Mwananchi</a> kwa kutambua na kukemea dhuluma, wizi wa uchaguzi na mauaji ya wananchi Tanzania.

Hili linaloitwa bunge la Tanzania, halikuchaguliwa Kwahiyo halina uhalali wowote kuwakilisha wananchi wa Tanzania..

Asante sana ndugu <a href="/edwinsifuna/">Edwin Sifuna</a>
Heisenberg (@drjuma_m) 's Twitter Profile Photo

Jamaal Khashoggi was a Saudi Journalist mostly writing Politics and Criticising Saudi Crown Prince,He was doing All this While in Asylum Huko Yues, Siku Moja Akapata Ka Hanifa Kadogo wakapendana,While on Holiday in Turkey they Decided to Visit the Saudi Embassy to get Married 🧵

Jamaal Khashoggi was a Saudi Journalist mostly writing Politics and Criticising Saudi Crown Prince,He was doing All this While in Asylum Huko Yues, Siku Moja Akapata Ka Hanifa Kadogo wakapendana,While on Holiday in Turkey they Decided to Visit the Saudi Embassy to get Married 🧵
David Maraga (@dkmaraga) 's Twitter Profile Photo

As Chief Justice, I cherished the brotherly bonds within our East African Jumuiya and worked closely with my colleagues in the Tanzanian judiciary in the shared pursuit of justice and the rule of law. I am therefore deeply disturbed by the remarks attributed to Her Excellency

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Insights za Rigathi Gachagua, former Deputy President of Kenya and current opposition leader... Samia Suluhu ananuka kila kona ya dunia. Safari hii haitakuwa business as usual.

Mamwavi_Nkabasia (@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

Nadhani wanajikaza tu; lakini hivi vipigo ni vikali mno kwa mtu asiye na mawaa kuvumilia. Kujiuzulu lingekuwa suluhisho sahihi.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

William Samoei Ruto, PhD Samia Suluhu Mr. President, you have addressed a party caucus, not a Parliament. The blood spilled on October 29, 2025, makes it impossible to view this body as legitimate. If these members truly represented the voters, they would not be afraid to face the public in open rallies. You missed a