Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile
Anna Tibaijuka

@annatibaijuka

Retired 1. UN Under Secretary General & 2. Executive Director UNHABITAT 3. Tanzanian MP and Minister.

ID: 373853455

linkhttp://annatibaijuka.org calendar_today15-09-2011 08:55:35

378 Tweet

30,30K Followers

29 Following

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu Nyerere 2023 Tunaendelea kuenzi maono na malezi yako mema. Kama taifa tujitambue.Tujisahihishe. Tulinde rasilimali zetu. Tujenge hoja bila kelele. Tujitegemee kwani TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO.Kuna kuyumba katika eneo hili.Utuombee nasi twakuombea pumziko la milele

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Hongera Prudentia Paul Kimiti Kutunukiwa nishani MBE ya Malkia Uingereza kabla ya kufariki kwa uanaharakati wako kutetea wahamiaji dhidi ya ubaguzi na manyanyaso. Fundisho kwetu kuwathamini wanaharakati badala ya masimango na mipasho Ukosoaji wao huboresha utawala na ustawi

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Zoezi kuvunja madanguro DSM lina nia njema lakini mazoezi aina hiyo yaliyotangulia HAYAKUFANIKIWA Jibu sahihi kupunguza WATEJA kwa kuwawezesha kiuchumi WAOE. Wengi hawaoi kwa sababu kipato kidogo wasichana wanabaki kushindania wanaume wachache.Dhana potofu wanawake wengi inaenea

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kwa Mhe Jerry Slaa Waziri wa Ardhi na Makazi kusimamisha ujenzi holela wa vituo vya mafuta katika maeneo yasiyofaa na visipohitajika kwa kubadilisha matumizi ya ardhi kiujanja kinyume cha sheria na taratibu. Waziri amerejesha imani kwa waathirika nchi nzima Tunamshukuru

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mgombea binafsi ataimarisha vyama vya siasa na utawala bora kwani upendeleo na kukata wagombea wanaoungwa mkono na wanachama kura za maoni utapungua Wanawake wenye sifa hawatalazimishwa kugombea viti maalum kupisha wanaume majimboni. Kama uraia pacha ni haki iliyocheleweshwa

Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP

Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA
 ila  hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP
Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mama Sitti Rais Hussein Mwinyi Familia Poleni. Taifa litakuenzi milele kwa uongozi hekima. Wanawake rukhsa kuunda baraza huru BAWATA kujipigania hata kama lilikuja sitishwa na mahafidhina. Tukapewa haki kumiliki ardhi katika ndoa-spousal consent Imani sharti kuheshimiana RIP

Shukrani mlioshiriki kumpumzisha dada mlezi Ma Antonia Muleba tarehe 04 Machi. Baba Askofu Kilaini kuongoza ibada Paroko Watawa na Viongozi wa Chama na Serikali mkiongozwa na RC Kagera Fatma Mwasa. Fr Kamugisha kutufunda kuwa Dada ataishi tukiiga mfano wake mwema ATAFA ASIFE

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Poleni sana wahanga mafuriko bonde la mto Rufiji. Bwawa la Nyerere halijayasababisha lakini mbali na umeme lilitarajiwa kuREGULATE mafuriko hayo Limeshindwa. Tudai kujua kwa nini na kurekebisha tukitambua hasara ya kutekeleza miradi mikubwa bila kuzingatia utaalamu madhubuti

Wahanga wa masheli katika makazi tunawalilia EWURA Chombo pekee kusikiliza migogoro ya mafuta. Mahakama nyingine haziruhusiwi. Mnapojitoa mkisingizia mgongano wa maslahi mnakataa kazi yenu kisheria. Kama kuna maafisa EWURA wenye mgongano wa maslahi na swala letu ndio wajitoe

Balozi Wilson Tibaijuka. Miaka 24 tangu ulipoitwa mbele ya haki. Msingi imara wa upendo na utumishi uliotujengea familia umetuimarisha na kutustawisha. Tunakuombea tukiamini nawe wafanya hivo hadi siku ya kukutana mbinguni kwa Bwana wetu Yesu Kristu penye raha ya milele. Amina.

Miaka 28 ya MV Bukoba Asante Prof Mukandala katukumbusha athari za ujinga jeuri na uchoyo vinavyosababisha mikataba mibovu inayopuuza wataalamu na mwisho kusababisha maafa hata vifo huku Wananchi wakikamuliwa kodi kufidia hasara zitokanazo Je tumeelewa somo Sucessful failures

Barbro Johansson Model Girls School.Congratulations graduating F6 Class 2024. Looking great ready to take on the world to pursue your dreams. Work hard. Trust in God. Be self confident. Never allow anyone to bully or discourage you. Be firm fair Love all Serve all. Blessings

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

With a heavy heart and revived memories from Tanzania I send this condolence message on Dr Toepfers passing to his immediate family, friends and all UN Nairobi staff who served under him in pursuit of environmental sustainability. An example to emulate. A life to celebrate. RIP.

Familia Balozi Ruhinda. Poleni. Amepumzika mwanahabari hodari media za Chama Serikali na sekta binafsi. Mwanadiplomasia wa staha na msaada kote alipotumika. Sweden ulinisaidia nikiwa mwanafunzi digrii ya uzamivu. Mtetezi aliyeninusuru kifungo mgogoro wa BAWATA. RIP. 1938 - 2024.

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

SAKATA LA SUKARI BUNGENI. Fundisho: KILIMO NI MASOKO. Utaratibu wa vibali kwa zao la kimkakati haufai. Serikali iwe na chombo chake kama NFRA kumlinda mlaji na mzalishaji kwa kuagiza sukari nje ya ndani inapopungua na kununua na kuhifadhi SUKARI uzalishaji wa ndani ukiongezeka.

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Kabanga nickel project in Ngara is welcome. But confirm processing of concentrates shall be done at the respective mining locations while at Kahama only a central multipurpose refinery shall be built to alley fears of high transport costs and environmental pollution.