Jackson Novat
@jacksonnovat1
Public Speaker, CEO of Capstone Co.Ltd & Community Achievement Foundation and A Lawyer.
#RaiyaJANO #ZETUHABARINAMATUKIO
ID: 722836159920005120
20-04-2016 17:15:44
984 Tweet
147 Takipçi
1,1K Takip Edilen
HII NDIO TANZANIA NCHI YA KIDEMOKRASIA KWELI? RAIS Samia Suluhu unakubalije haya yatokee? Silaha za moto zinatumika utafikiri wanapambana na majambazi? ACTWazalendo Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chama Cha Mapinduzi US Embassy Tanzania Canada in Tanzania UK in Tanzania Tundu Antiphas Lissu Maria Sarungi Tsehai Freeman Mbowe
Ndugu Viongozi wetu hatuna nchi inayoitwa Tanzania Bara hata kwenye historia ya nchi yetu ambayo ilipigania uhuru. Kwa nini mnatufutia utaifa wetu? Mbona Zanzibar hawatumii Tanzania Visiwani? Samia Suluhu Chama Cha Mapinduzi Boniface Mwabukusi Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Tundu Antiphas Lissu Kassim Majaliwa Majaliwa
Nampongeza sana Mama Mhe. RAIS Samia Suluhu kwa kurejesha huduma hii kwa watoto. Tujitahidi kutotengeneza matatizo na kujaribu kuyatatua wenyewe. Kuwepo mifumo sahihi. Serikali yangu tutumikieni. #Afya
Ni Chama Cha Mapinduzi pekee iliyotaja bayana kuwa leo ni siku KUU ya Uhuru wa Tanganyika. Taasisi za UMMA kuanzia na ikulu_Tanzania hakuna ilikotajwa neno Tanganyika. Mjitafakari hii ni threat kwa TANGANYIKA. Samia Suluhu #Tanganyika #WenyeNchiWananchi
NATABIRI MAWILI Kama Tundu Antiphas Lissu hatatangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Chama Taifa basi atatangaza kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo . Niko pale. Patrick Ole Sosopi Ayubu Madenge Martin Maranja Masese Maria Sarungi Tsehai ALICE ERASTO
Mhe. Tundu Antiphas Lissu ni Taasisi inayotembea!!! Anaweza kuwa hana pesa lakini ana Watu wanamfuata kwa msimamo wake na si pesa. TAL ni Hazina kwa Taifa. #NiYeye
LISSU AZIDI KUBANA NYETI ZA WAPINZANI UCHWARA Jebra Kambole (---) Onesmo Mushi Maria Sarungi Tsehai Mdude Nyagali Tundu Antiphas Lissu
Lissu anapendwa na wengi akiwemo Mbowe. Hata Chama Cha Mapinduzi wanatamani angekuwa mwenzao. Tusubiri wataki utazungumza.
Hii Iko official kuwa ndio LOGO ya CHADEMA? Jebra Kambole Chama cha Demokrasia na Maendeleo Maria Sarungi Tsehai
We need Maria Sarungi Tsehai back, otherwise we shall deal with Kenyans who are in Tanzania. William Samoei Ruto, PhD