Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profileg
Ayubu Madenge

@ayubu_madenge

Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people

ID:741669824682700800

calendar_today11-06-2016 16:34:00

23,6K Tweets

307,8K Followers

1,8K Following

Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Ukipata nafasi ya kukutana na kusikiliza Story za vijana wa Afrika na namna wanavyofanya mambo Makubwa kwenye nchi zao kwa ajili ya kuzibadilisha Utashangaa sana. Afrika ina vijana makini mnoo.

account_circle
Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kwenye orodha ya wachezaji wanaozeeka na Ubora wao huwezi kuacha jina la Luka Modrić. Jana akiwa na Miaka 38 na siku 234 alivunja rekodi ya Miaka 58 ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kuichezea Real Madrid. Kabla yake Rekodi hii ilikuwa inashikiliwa na Ferenc Puskás’.

Mkapa ameacha watoto 2 yaani Stephan na Nicholas. Mkapa alisema watoto wake hawajihusishi na Siasa tena waliapa kutokuingia kwenye Siasa. Tena alisema yeye hakuwalazimisha waingie kwenye Siasa wala hakuwapa nafasi za Siasa kama Viongozi wengi wa Afrika wanavyofanya kwa Watoto wao

Nyota wa Man City yaani Erling Haaland sasa atakuwa anaonekana kwenye Video game ya Clash of Clans. Kwenye game hiyo ya animation, Erling Haaland atakuwa kama Mfalme. Yeye binafsi amesema amefurahi sana kuwa sehemu ya game hiyo kwani ni game ambayo anaipenda kwa muda mrefu sasa.

Tukubali tukatae, uwezo na mbinu alizonazo Eng.Hersi za kushawishi wachezaji kujiunga na YANGA ni za hali ya juu. Ukisililiza simulizi zake za namna anavyosaka wachezaji lazima utajifunza kitu. Jamaa akitaka jambo lake analikomalia kweli kweli.

Alisomea Umwagiliaji ila akakosa kazi, akaingia Mererani Kuchimba madini na bado hakufanikiwa. Akasoma kozi fupi ya Utangazaji akapata kazi Channel Ten, TBC, ITV kisha BBC. Alipofika Uingereza akasoma Chuo Kikuu huko London. Salim Kikeke amejiunga rasmi na Crown Media ya Ali Kiba

Ukiacha mgogoro wa ardhi kati ya Waisrael na Waarabu, kuna mwingine wa Waarabu wenyewe kwa wenyewe ambao madhara yake yamepelekea siasa iingilie Soka na kuifanya RS Berkane ya Morocco kupewa ushindi wa mezani dhidi ya USMA ya Algeria na kutinga fainali ya Shirikisho bila kucheza

Ninaomba sala na dua zenu ninapoianza safari ya kuelekea Nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kupata mafunzo ya Uongozi, yaliyo chini ya Serikali ya Marekani kupitia Wizara yao ya Mambo ya Nje. Mafunzo na Ujuzi nitakao upata nitautumia kwa manufaa na maslahi ya nchi yetu Tanzania.

Miaka 15 iliyopita huko Tandale, Diamond alikuwa anampenda binti anayeitwa Sarah Ila binti huyo alikuwa hamuelewi. Ikabidi Diamond amtungie wimbo unaoitwa “Kamwambie”. Wimbo huo Ukamletea Diamond mafanikio Makubwa. Jana Diamond akamuita Sarah jukwaani. Kamwe Usiogope kukataliwa.

Burkina Faso imezifungia Stesheni za BBC na Voice of America kwa muda wa Wiki 2. Hatua hiyo ni kufuatia ripoti ambazo vyombo hivyo vilizitoa zinazosema kuwa Serikali ya Burkina Faso ambayo kwa sasa inaongozwa na Jeshi, inashambulia Raia. Vyombo hivo vimezuiwa kupatikana Online

Umeme unaotumika Mji mkuu wa Sierra Leone yani Freetown unatoka kwenye Meli ya Uturuki inayoelea baharini. Kwa wiki kadhaa Jiji la Freetown limekosa umeme sabahu Kampuni hiyo ya Uturuki inaidai Serikali Tsh Bilioni 125.Serikali imepunguza deni hilo na Waziri wa Nishati amejiuzulu

Miaka 10 iliyopita Vardy aliisaidia Leicester City kupanda daraja, Vardy huyo huyo akaisaidia Leicester kuwa bingwa wa EPL 2016. Mwaka jana Leicester ikashuka daraja Ila Vardy hakuiacha. Mwaka huu Vardy ana Miaka 37 na ameisaidia tena Leicester kupanda daraja kurudi EPL. Respect

Mamelodi nao ni timu ya kawaida tu, wamefungwa Nje, Ndani, yaani home na away na ES Tunis na wameondolewa rasmi kwenye Michuano ya Club bingwa. Bado ninaendelea kusisitiza kuwa ni heri wangefuzu YANGA tu, hii nafasi ilikuwa yao kabisa.

Hawa ndiyo Makomandoo wetu. Mzigo waliobeba una kilo zaidi ya 70, tena humo ndani kuna Vifaa vinavyoweza kumfanya Komandoo aishi zaidi ya Mwezi mmoja akiwa Msituni bila kutegemea Msaada wowote ule.

Je wajua kuwa Vibuyu vilivyotumika kuchanganyia mchanga wa Tanganyika na Zanzibar siku ya Muungano yaani 26/04/1964 miaka 60 iliyopita vipo Mpaka leo. Vibuyu hivyo pamoja na Mchanga wake vinapatikana Makumbusho ya Taifa iliyopo Posta.

Millard Ayo anasema watu 5 waliomsaidia afike alipo ni pamoja na Gardner, tena Gardner ni namba 1. Gardener alimfahamu Millard 2005 wakati anatangaza Radio ya dini. Gardner akapambana Millard apate kazi Clouds mara 6 lakini akakosa. Millard akaenda ITV ila baadaye akafika Clouds.

Mazungumzo juu ya Muungano yalikuwa yanafanyika kwa siri kubwa, ukimuacha Mwalimu na Karume wengine waliokuwa wanafahamu ni Kawawa,Kambona,Kassim Hanga na Salim Rashid. Mwalimu alitaka uwe Muungano wa nchi 3 pamoja na Kenya. Kambona akazungumza na Kenyatta lakini Kenyatta akagoma

Uhuru Kenyatta amehudhuria Game ya NBA katika ya Boston Celtics vs Miami Heat huko USA. Uhuru ni mtu wa kujichanganya sana na watu na huwa anapenda sana Masuala ya burudani kama Muziki na Michezo. Ukikutana naye ni vigumu sana kutambua kuwa ni Rais Mstaafu.

Rais Wiliam Ruto yupo ofisini kwa Seneta Hezena Lemaletian. Hezena ni miongoni mwa Maseneta mwenye Umri mdogo Kenya. Hezena alisoma masuala ya fedha chuo kikuu cha Nairobi kisha akawa miss Utalii na wa Jumuiya ya Madola kisha akaingia kwenye siasa kupitia chama cha ODM cha Raila.

“Nilianza kazi na Mshara wa 110,000 na bado nilikuwa nina save na nilikiwa na Mke. Sikuwa na cheat na hatakuwa tunakula Chips vibandani, tulikuwa tunapika Gheto. Tulikuwa tunaishi kwenye Chumba kimoja…Hata Ulipwe 100M unaweza usi save kama huna Mentality ya ku Save” Kigwangalla