Kevin Ndabila (@kevin_ndabila) 's Twitter Profile
Kevin Ndabila

@kevin_ndabila

tiktok.com/@kevinndabila

ID: 1427947429475856387

linkhttps://www.youtube.com/@Sautiyanyasa calendar_today18-08-2021 10:59:29

20,20K Tweet

8,8K Takipçi

1,1K Takip Edilen

MwanaHabari (@mwanahabarinews) 's Twitter Profile Photo

Mchungaji Rolinga akiongea na waumini wake katika ibada ya jana jumapili tarehe 15/06/2025 kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.

kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema) 's Twitter Profile Photo

Kaka SATIVA17 mungu akubariki mno pale ulipotoa paongezeke mara dufu hakika moyo wako ni wakipekee mno sijutii kukufahamu nashukuru kwa mchango wako uliotoa mpaka sasa ndugu yetu ana 700K tuzidi kumchangia ndugu yetu aweze fanyiwa upasuaji siku ya kesho!0627422184 Samwel Matara

Kaka <a href="/Sativa255/">SATIVA17</a> mungu akubariki mno pale ulipotoa paongezeke mara dufu hakika moyo wako ni wakipekee mno sijutii kukufahamu nashukuru kwa mchango wako uliotoa mpaka sasa ndugu yetu ana 700K tuzidi kumchangia ndugu yetu aweze fanyiwa upasuaji siku ya kesho!0627422184 Samwel Matara
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Katika kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti Tundu Lissu,moja ya uchochezi na nyingine ya uhaini , kesi hizi zote mbili zinafanana sura na maneno ya mashitaka,maneno yaliyo sababisha kesi ya uhaini ifunguliwe ndiyo maneno takribani hayo hayo yaliyo yaliyofungua kesi ya uchochezi.

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Polisi, Masikini aliyevaa sare na kufundishwa kulenga shabaha,ana maisha magumu kama yetu, watoto wake wanasoma Shule mbovu kama wanazosoma watoto wetu, anatibiwa Hospitali za hovyo kama tunazotibiwa sisi. Ameamua kutii amri zote BATILI ili kumfurahisha Bwana wake ambaye akiugua

Jenerali Ulimwengu (@raiyajenerali) 's Twitter Profile Photo

Pan-Africanism: The Re-membering of a Nation - Written by Jenerali Ulimwengu & Dr. Azaveli Lwaitama. Coming soon... #panafricanism

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kwenye MEDIA 5 unazoziita kwenye press yako hapo kuna watu sio chini ya 10. Kwenye kundi la watu 10 akosekane CHAWA WA TUNA TIKI kweli? Viongozi wetu waachane na haya mamedia ndio yanayotuletea USIKU. Polisi bongo hawana INTELEJENSIA ya kujua chochote zaidi ya kutegemea

John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

#Updates Nimepokea Bill ya garama mpya matibabu JAPHET MATARRA, imeongezeka toka 1.5M sasa inahitajika jumla ya 2,368,500/= Mpango wa kumfanyia upasuaji umesitishwa mpaka akamilishe kiasi hicho, Mpaka sasa tuna jumla ya TZS. 1,109,000/= Halopesa: 0627422184 Jina: Samweli Matarra

#Updates 
Nimepokea Bill ya garama mpya matibabu <a href="/Eng_Matarra/">JAPHET MATARRA</a>, imeongezeka toka 1.5M sasa inahitajika jumla ya 2,368,500/= Mpango wa kumfanyia upasuaji umesitishwa mpaka akamilishe kiasi hicho, Mpaka sasa tuna jumla ya TZS. 1,109,000/=

Halopesa: 0627422184
Jina: Samweli Matarra
kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema) 's Twitter Profile Photo

#Updates Nimepokea Bill ya garama mpya matibabu JAPHET MATARRA, imeongezeka toka 1.5M sasa inahitajika jumla ya 2,368,500/= Mpango wa kumfanyia upasuaji umesitishwa mpaka akamilishe kiasi hicho, Mpaka sasa tuna jumla ya TZS. 1,109,000/= Halopesa: 0627422184 Jina: Samweli Matarra

#Updates 
Nimepokea Bill ya garama mpya matibabu <a href="/Eng_Matarra/">JAPHET MATARRA</a>, imeongezeka toka 1.5M sasa inahitajika jumla ya 2,368,500/= Mpango wa kumfanyia upasuaji umesitishwa mpaka akamilishe kiasi hicho, Mpaka sasa tuna jumla ya TZS. 1,109,000/=

Halopesa: 0627422184
Jina: Samweli Matarra
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#Updates Bill ya garama mpya matibabu JAPHET MATARRA, imeongezeka toka 1.5M sasa inahitajika jumla ya 2,368,500/= Mpango wa kumfanyia upasuaji umesitishwa mpaka akamilishe kiasi hicho, Mpaka sasa tuna jumla ya TZS. 1,109,000/= Tunaomba mchango wako ili tuweze kuokoa maisha ya

#Updates

Bill ya garama mpya matibabu <a href="/Eng_Matarra/">JAPHET MATARRA</a>, imeongezeka toka 1.5M sasa inahitajika jumla ya 2,368,500/= Mpango wa kumfanyia upasuaji umesitishwa mpaka akamilishe kiasi hicho, Mpaka sasa tuna jumla ya TZS. 1,109,000/=

Tunaomba mchango wako ili tuweze kuokoa maisha ya
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Shambulio hili dhidi ya chama chetu na shughuli za chama linafanywa na watu wanaotumiwa na serikali. Saidi Issa alikua Makamu mwenyekiti wa chama kwa miaka 15, yeye ameshiriki vikao vyote vya chama vya maamuzi ya juu. Hakuwahi kulalamikia mgao wa chama kwa Zanzibar. Inakuaje

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio YouTube channel ya chama chetu, ifuatene zile zilizoporwa sio akaunti zetu tena . Huu ndio kurasa wetu rasmi.CHADEMA MEDIA TV youtube.com/@chademastrong… via YouTube

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

OCD Nyamagana muachieni Michael Christian. Hamna sababu ya msingi ya kuendelea kumshikilia, kama mna jambo naye mpelekeni mahakamani.

OCD Nyamagana muachieni Michael Christian. Hamna sababu ya msingi ya kuendelea kumshikilia, kama mna jambo naye mpelekeni mahakamani.
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Karagwe mna Wasijulikana, wamekuja kuumiza Askofu Bagonza , wasakeni maana walikuwa hapo Lola Hotel hawa wanatakiwa tafutwa mkoa mzima wa Kagera, kazi yao ni kutoa roho za watu popote mnapowaona wanasaka roho ya mtu unaweza kuwa wewe Tuwe makini sana na magari ya Serikali kwa

Karagwe mna Wasijulikana, wamekuja kuumiza Askofu Bagonza , wasakeni maana walikuwa hapo Lola Hotel hawa wanatakiwa tafutwa mkoa mzima wa Kagera, kazi yao ni kutoa roho za watu popote mnapowaona wanasaka roho ya mtu unaweza kuwa wewe 

Tuwe makini sana na magari ya Serikali kwa
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

HATUHITAJI GANZI TUNAHITAJI TIBA KAMILI YA UGONJWA. Utekaji Upo....wanaoteka wapo baadhi wamelalamikiwa kama kwenye shauri la Mdude.Wanaojiteka na waliotoroka ncgi na Madeni wekeni majina yao hadharani ...TUACHE PROPAGANDA KWENYE MAMBO YA MSINGI KUHUSU USALAMA NA UHAI WA

HATUHITAJI GANZI TUNAHITAJI TIBA KAMILI YA UGONJWA.

Utekaji Upo....wanaoteka wapo baadhi wamelalamikiwa kama kwenye shauri la Mdude.Wanaojiteka na waliotoroka ncgi na Madeni wekeni majina yao hadharani ...TUACHE PROPAGANDA KWENYE MAMBO YA MSINGI KUHUSU USALAMA NA UHAI WA
Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

M/kiti BAVICHA Wilaya ya Nyamagana Michael Mtabuzi alipata wito wa kufika Central Police Mwanza tarehe 17.6.2025.Baada ya kufika alipewa tuhuma za uchochezi mtandaoni na hadi sasa amenyimwa haki yake ya dhaminiwa. Police Force TZ mpeni haki ya dhamana la sivyo kesho mpelekeni Mahakamani