elyneema yuda🇹🇿🇹🇿(@elyneema) 's Twitter Profileg
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿

@elyneema

#Combatant,teacher by professional(BAED),Analyst,adovocate(a voice to the voiceless),political figure,young Marxist,Next Mp, Father, mhazini Bavicha Ukonga

ID:1488608658091130883

calendar_today01-02-2022 20:22:45

17,6K Tweets

5,6K Followers

4,6K Following

John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

*Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya Tanzania ambapo hadi kufika saa 9 usiku wa tarehe 03 Mei 2024 kilikuwa kimeimarika zaidi na kufikia hadhi ya Kimbunga kamili kikiwa umbali wa takribani kilomita 401 Mashariki mwa pwani ya Mtwara.*…

account_circle
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿(@elyneema) 's Twitter Profile Photo

Ila haya majina ya kimbunga bana hiki kilichotangaza kinaitwa Hidaya kila upepo ukipiga kidogo apa mjini utasikia Hidaya huyo.
Utasikia kingine kinaitwa Hangaya🤣🤣🤣🤣🤣

account_circle
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿(@elyneema) 's Twitter Profile Photo

Evening shift from this side.

We have a lot to stand for because we believe if you have nothing to die for,then you have to live for.

Evening shift from this side. We have a lot to stand for because we believe if you have nothing to die for,then you have to live for.
account_circle
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿(@elyneema) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu Nyerere aliwahi kuwaita wasaliti wachuuzi wa kisiasa wananunulika wanauzika yaani wao wako kwenye siasa kama ambavyo bidhaa iko sokoni.

account_circle
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿(@elyneema) 's Twitter Profile Photo

Haya anayoyaibua mwakamu mwenyekiti wa Chadema taifa MH.Tundu Lissu ni sahihi na niwakati sahihi kuyaanika.Ananikumbusha kipindi cha Dr.Slaa aliita list of shame.
Tundu Antiphas Lissu endelea kupiga za uso matapeli hao.

account_circle
Kenny P,Afisa(@afixa0) 's Twitter Profile Photo

elyneema yuda🇹🇿🇹🇿 Tundu Antiphas Lissu Hao ni wanaharakati waliofirisika sera wamebaki kuyumba kuendana na mapigo ya CCM. Wanaosema Ni ubaguzi weng wao wanaongea kwa maslahi yao.

account_circle
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿(@elyneema) 's Twitter Profile Photo

Yaani mtu mpumbavu anaweza akaja akasema hata MH.Tundu Lissu ni msaliti huyu hatakuwa na jina lingine kwangu zaidi ya kumuita lofa!Tundu is so vibrant and mult talented leader

account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

... Kuna mtu anapenda haki zaidi ya TUNDU LISU katika Taifa hili? Lakini Leo amepewa jina la HITLER na Fatma Karume na watu mnachekelea. Hawa watu wameungana kitaalamu sana wanatafuna HARAKATI nje na ndani kutugombanisha.

Mungu atujalie HEKIMA, TUTASHINDA

account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

.... Kila mwana CHADEMA anaekipenda chama chetu kwa dhati ana Kila sababu ya kukilinda Kwa nguvu na wivu mkubwa. TUTAVUKA

account_circle
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿(@elyneema) 's Twitter Profile Photo

fatma karume aka Shangazi Niwe mkweli bila kukukosea tangu uanze kujadili uzanzibar hakuna hoja umeweza iuwashawishi watu hata Moja.Kiukweli Baki tu kwenye Sheria huku waache magwiji kama FAM na TAL.

account_circle
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿(@elyneema) 's Twitter Profile Photo

Labda kama anaongea akiwa Burundi alikotuambia tuhamie Ila kama ni hapa Tz Aje kitaa awaulize akina mama wanaopika vyakula na kukaanga mihogo na samaki.

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

“Je tunaandamana tumefurahi au tumenuna?” -Tundu Antiphas Lissu anauliza
“TUMENUNAAA!” wanajibu wanaIringa
🤣🤣🤣🤣
Hotuba za Lissu lazima kila mtu achangamke

Live hapa:
youtube.com/live/wlv6VZlic…

“Je tunaandamana tumefurahi au tumenuna?” -@TunduALissu anauliza “TUMENUNAAA!” wanajibu wanaIringa 🤣🤣🤣🤣 Hotuba za Lissu lazima kila mtu achangamke Live hapa: youtube.com/live/wlv6VZlic…
account_circle