
kelvin joseph
@kelvinj42671007
ID: 1247835647588564992
08-04-2020 10:36:39
1,1K Tweet
536 Followers
1,1K Following



Siku hizi Chama Cha Mapinduzi wamekuwa mahakama?🤔🤔🤔 Nini kinachomfanya huyu adhani ana haki ya kufanya hivi?🤔🤔🤔



Kenya wanashangaa Tanzania tunawezaje kushiriki uchaguzi chini ya muundo dhalimu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi? Kwamba mgombea Urais wa CCM ndiye anateua mkurugenzi, mwenyekiti, makamishna, wajumbe wa tume ya uchaguzi kusimamia uchaguzi ambao naye anashiriki? Majirani wanatuona mang'ombe

Ripoti ya Kituo cha Habari cha kimataifa Aljazeera Kuhusu kesi ya Mh Tundu Antiphas Lissu #NoReformsNoElection



‼️USHUHUDA LIVE KUHUSU AFANDE SHABANI KUHUSIKA NA UTEKAJI WA MDUDE‼️🚨 Sikilizeni hapa na eleweni. Shabani hajasingiziwa! HONGERA sana mzalendo kwa kusimama na kueleza bila woga uovu walioupanga maafisa hawa wa Police Force TZ Hatumwogopi Shabani wala mabosi wake - wao ndo wakae wakijua



Rais Samia Suluhu , kuna ujumbe wako hapa⬇️.




