John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile
John Heche

@hechejohn

Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.

ID: 558686364

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/John_Heche calendar_today20-04-2012 12:45:14

82,82K Tweet

777,777K Followers

1,1K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Ukiuliza kwanini ccm wanatumia nguvu na vyombo vya dola kujaribu kunyamazisha wapinzani wa kweli. Jibu lake ni hili hapa. Ccm hata mkutano hawawezi kuitisha bila maarifa ya uongo, kusomba watu, kutishia watumishi wa umma na wanafunzi. Waacheni watoto wasome.