Kumbusho Dawson Kagine
@KumbushoDawson
Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.
ID:720477770279710720
14-04-2016 05:04:21
51,1K Tweets
189,7K Followers
1,4K Following
Follow People
mwaka 2023/2024 Wakulima waliosajiliwa katika mpango
wa mbolea ya ruzuku walifikia 3,910,556. Hotuba ya Waziri
haijaeleza idadi ya wanufaika wa mpango wa mbolea ya ruzuku
katika mwaka huu wa fedha.Hussein M Bashe
▪️ Tunatarajia Serikali ipange na kutenga Bajeti Maalum katika mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kuziba Pengo la Walimu kwa ajili ya kufundisha Tahsusi Mpya 49 zilizoongezeka katika Kidato cha Tano ambazo zinatarajiwa kufundishwa kuanzia mwaka huu Julai. #ElimuKwanza
Thank you Minister Elina Valtonen for a very fruitful engagement - and for your leadership in advancing our bilateral relations. Looking forward to working closely with you. MFA Finland 🇫🇮 FinnishEmbassyTZ
“Kwenye kikao cha kamati Kuu kijacho, tukaweke azimio la Samia Suluhu ashushe mabango yenye picha zetu yote. Tutamshtaki. Samia asijifanye hana shida na sisi, ana shida na sisi ndio maana tunaandama” Tundu Antiphas Lissu.