Dotto Rangimoto
@JiniKinyonga
Poet|Novelist|1st Runner-up @tuzonyerere 2024| Won @KiswahiliPrize 2022 (fiction)|1st Runner-up @KalahariStories 2020|Won @KiswahiliPrize 2017 (poetry) 🇹🇿🇨🇳
ID:474834093
26-01-2012 11:50:14
100,8K Tweets
25,7K Followers
1,8K Following
Fuatilia hapa mubashara Kongamano la Ngome ya vijana_Official
#10MaslahiYaWote
#10MamlakaKamili
youtube.com/live/jtBFpYLqc…
'Ripoti ya CAG 2022/23 imeonesha madai ya ShT bilioni 36.47 ya watumishi wa Umma. Serikali haiwathamini wafanyakazi wa umma. Hii inapelekea kushusha morali ya watumishi na kuondoa ufanisi katika utendaji na kuwahudumia wananchi.'
Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita
ACTWazalendo
'Serikali inashikilia shilingi bilioni 208 inayodaiwa na NHIF, CAG katika ripoti yake 2022/23 ameonesha Serikali inadaiwa na NHIF kutokana na fedha ilizokopa tangu mwaka 2020.'
Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu
#RipotiyaCAG
#10MaslahiYaWote
#10MamlakaKamili
Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndg Dorothy Semu; na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndg Isihaka Mchinjita
Wa kwanza kulia ni Waziri Kivuli wa Fedha, Ndg Kiza Mayeye. ; na kwanza kushoto ni naibu wake, Ndg shangwe Ayo.
#CAG
#KaziInaendelea
#KufujaFedhaZaUmma
'ACT Wazalendo tunaona mfumo mzima wa huduma za afya unapaswa kufanyiwa mabadiliko kwa kufungamanisha Bima ya Afya na Hifadhi ya Jamii.'
Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu
Wasemaji wa Kisekta
#10MaslahiYaWote
#10MamlakaKamili
'Serikali inashikilia shilingi bilioni 208 inayodaiwa na NHIF, CAG katika ripoti yake 2022/23 ameonesha Serikali inadaiwa na NHIF kutokana na fedha ilizokopa tangu mwaka 2020.'
Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu
#RipotiyaCAG
#10MaslahiYaWote
#10MamlakaKamili
Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu.
Wa kwanza kulia ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu Isihaka Mchinjita
Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Kiongozi wa Wasemaji wa Kisekta, Ndugu Idrisa Kweweta.
Wa kwanza kushoto ni, Waziri Kivuli wa Fedha, Kiza Mayeye..
'Air Tanzania ilipata hasara ya Shilingi bilioni 56.64. Sababu za kupata hasara hiyo ni zilezile ikiwemo gharama kubwa za uendeshaji na gharama za ukodishaji wa ndege na Bima ya ndege Airbus A220-300 kutokana na ubovu wa Injini na kutu.'
Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu
'Ripoti ya CAG 2022/23 imeonesha madai ya ShT bilioni 36.47 ya watumishi wa Umma. Serikali haiwathamini wafanyakazi wa umma. Hii inapelekea kushusha morali ya watumishi na kuondoa ufanisi katika utendaji na kuwahudumia wananchi.'
Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita
ACTWazalendo
Kongamano la Ngome ya vijana_Official wa chama cha ACTWazalendo litafanyika Kesho trh 21 Aprili katika Ukumbi wa #PiccaDillyHall -Kombeni ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa.
#10MamlakaKamili
#Ngomeikokazini
#TwenzetuZanzibar
'Nchi inatumia sehemu kubwa ya makusanyo yake kwenda kuhudumia deni badala ya kutoa huduma kwa wananchi walalahoi. Taarifa za Benki Kuu zinaonyesha kila mwezi tunatumia bilioni 900 kwa ajili ya kulipa deni la Serikali.'
Waziri Kivuli wa Fedha
Kiza Mayeye.
#RipotiyaCAG
'Rais Samia Suluhu amekopa Trilioni 17.7 huku uchumi ukiendelea kuchechemea kwa ukuaji wa asilimia 5.2'

Uchambuzi wa Ripoti ya CAG kutoka ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta Kiza Mayeye. Dorothy Semu Isihaka Mchinjita youtube.com/live/F-kMA-wL2…
Ukumbi wa Hakainde Hichilema, ulioko kwenye Jengo la Maalim Seif Magomeni Dar es salaam. Hapa ndiko chama kiongozi; chama cha ACTWazalendo kitafanya uchambuzi wa Ripoti ya CAG.
Usiwache kufuatilia kwani tutakuwa mubashara.
Wasemaji wa Kisekta
#10MaslahiYaWote
#10MamlakaKamili
Maadhimisho ya miaka 10 ya ACTWazalendo. Ni miaka 10 ya kupigania Maslahi ya Wote; na ni miaka 10 kupigania Mamlaka Kamili.
#TwenzetuZanzibar
#TwenzetuMoshi
#TwenzetuKigoma
#10MaslahiYaWote
#10MamlakaKamili