Iam (@ignasmgidange) 's Twitter Profile
Iam

@ignasmgidange

ID: 2384246605

calendar_today11-03-2014 21:48:40

1,1K Tweet

215 Followers

684 Following

ISAACK LAWA PAGE (@isaacklawapage) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Abroad TV NDOA ni WITO. Ukiona ndani yako wito huo haupo ni vyema ukabakia na USINGLE WAKO TU. Kimsingi, ndoa imejengwa katika vitu hivi; SELF-LESS, KINDNESS, and DELIBERATE COMMITMENT. Ndoa inahitaji ufahamu na maarifa. Ili uepukane na majuto ya ndoa jipatie nakala yako. ☎️0712703839.

<a href="/AbroadTanzania/">Tanzania Abroad TV</a> NDOA ni WITO. Ukiona ndani yako wito huo haupo ni vyema ukabakia na USINGLE WAKO TU. Kimsingi, ndoa imejengwa katika vitu hivi; SELF-LESS, KINDNESS, and DELIBERATE COMMITMENT.

Ndoa inahitaji ufahamu na maarifa. Ili uepukane na majuto ya ndoa jipatie nakala yako.

☎️0712703839.
Mthesalonike wa KIANDA📌 (@kiandawa14) 's Twitter Profile Photo

Bro to Bro Usimdanganye demu ili akukubalie Usitumie gharama kubwa kumshawishi demu akukubalie Usijielezee Kwa demu kiasi ujishushe thamani yako Usitumie gharama kubwa kumbakisha demu maishani mwako Linda thamani yako kumbuka, kabla ya Mtu Kuna Mtu na Baada ya Mtu Kuna Mtu.

Anderson Jr. (@emanuel29402387) 's Twitter Profile Photo

Sekenke One 🌻 Hao ni waliogundulika tu bado kuna wengine walikuwa na maambukiz bila kujua.Hata kama ni hivyo,huwez kuua watu kwa stail hyo,Imagine ni wew au baba ako ,familia au rafiki yako,ungeweza fanya hivyo?

KITASA🔑🧥 (@kikotiofficial) 's Twitter Profile Photo

maila Kuomba pesa. Yani kuomba pesa na kuomba pesa akimaliza hapo anaomba sana pesa halafu anaomba pesa. Hivi unajua kuomba pesa lakini😂