D (@de_cyola) 's Twitter Profile
D

@de_cyola

Life is music learn to listen⚽️
The home Of Great Thinker

ID: 1394977879855964171

calendar_today19-05-2021 11:27:46

15,15K Tweet

661 Followers

901 Following

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

INALENGESHWA #Tshs. 6M TOYOTA RAUM NEW🔥🔥 REG" #DDN ▪️Cc. 1490 ▪️Full Ac 🌨 ▪️Engine-1Nz ▪️Sport Rims 🛞 ▪️Android Tv 🖥🎶 ▪️Full Documents ✅️ #BEI - 6M IPO DAR CALL/WHATSAPP-0719542184

INALENGESHWA #Tshs. 6M

TOYOTA RAUM NEW🔥🔥

REG" #DDN

▪️Cc. 1490
▪️Full Ac 🌨
▪️Engine-1Nz
▪️Sport Rims 🛞
▪️Android Tv 🖥🎶
▪️Full Documents ✅️

#BEI - 6M

IPO DAR

CALL/WHATSAPP-0719542184
I ❤️ Dar Es Salaam (@faradaymtz01) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Start-Up, kutoka Revenue ya $100,000 mpaka $1,000,000+ Unahitaji mfumo Hakuna mtu yeyote atakayeweza kufikia hicho kiasi bila mfumo. Mfumo ni lazima uwe na Scaling+ Leverage+ Automation System + infrastructure +Loyalty brand (identity) Wengi tunasahau Leverage + Scaling

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Viwanja 418 & 419 CHAHWA (karibu na Chamwino Ikulu) vinauzwa. Kila kimoja sqm 739, survey Documents safi. Vipo 800m kutoka Ikulu, 15KM kutoka Dodoma Mjini, na 600m kutoka makazi. Barabara, maji, umeme vipo. Bei ya ofa 3.8M (kutoka 4.8M). Nipigie 0762344677

Viwanja 418 & 419 CHAHWA (karibu na Chamwino Ikulu) vinauzwa.
Kila kimoja sqm 739, survey Documents safi. 
Vipo 800m kutoka Ikulu, 15KM kutoka Dodoma Mjini, na 600m kutoka makazi. Barabara, maji, umeme vipo. 
Bei ya ofa 3.8M (kutoka 4.8M). 
Nipigie 0762344677
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI

Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini.

Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu.

Lakini ukweli usioepukika ni huu
hatuna ruzuku hata ya SENTI
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Kwa haraka haraka hapo Curved monitor 2.1m Laptops hizo hakuna inayozidi 3m Adjustable desk 600-800k Kiti 300-600k Simu hizo bei sana😂 3m+ each Ila still kuna option unaweza anza nayo 👉🏽 x.com/gabyconscious/…

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Dkt. Lazarus Chakwera (Rais wa zamani wa Malawi) yupo Tanzania kama Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola (commonwealth), Shirley Botchwey. Dkt. Lazarus Chakwera yupo nchini Tanzania kwa ajili ya kuleta mazingira wezeshi ya mazungumzo na utulivu wa kisiasa baada ya

Dkt. Lazarus Chakwera (Rais wa zamani wa Malawi) yupo Tanzania kama Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola (commonwealth), Shirley Botchwey.

Dkt. Lazarus Chakwera yupo nchini Tanzania kwa ajili ya kuleta mazingira wezeshi ya mazungumzo na utulivu wa kisiasa baada ya
I ❤️ Dar Es Salaam (@faradaymtz01) 's Twitter Profile Photo

Biashara za aina hii zinakufa sana hapa nchini lakini wengi hawatoweza kusema ukweli. 1. Migahawa 2. Duka la Rejareja. 3. Liquor store. 4. Cosmetics and beauty products. 5. Furniture. 6. Repair and maintenance. Usisikilize motivational speakers fanya research kabla hujaanza.

Dream online shop🛍️👖👟🥾 (@dream_online_tz) 's Twitter Profile Photo

👞 Quality unayoiona ni sawa na thamani unayopata.... . Size 40-45 . BEI: 90,000/= badala ya 100,000/= . Njoo Whatsapp chap ☎️: 0743931620

👞 Quality unayoiona  ni sawa na thamani unayopata....
.
Size 40-45
.
BEI: 90,000/= badala ya 100,000/=
.
Njoo Whatsapp chap ☎️: 0743931620
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Wakuu, kama una Car wash au Plan ya kuanzisha Car wash, nakuletea deal you cant refuse. 1. Lutian Pressure Washer Machine Psi 3600 2. Vacuum Cleaner Zipo Mbezi Bondeni Jijini Dar. Zote zinatoka kwa 850,000/= Nipigie 0762344677 Please rt wakuu 🙏🏼

Wakuu, kama una Car wash au Plan ya kuanzisha Car wash, nakuletea deal you cant refuse.
1. Lutian Pressure Washer Machine Psi 3600
2. Vacuum Cleaner 
Zipo Mbezi Bondeni Jijini Dar.
Zote zinatoka kwa 850,000/=
Nipigie 0762344677
Please rt wakuu 🙏🏼
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku ya 9, Jeshi la Polisi linaendelea kumshikilia Pauline Pallangyo katika kituo cha Police Central Dar es salaam kinyume cha sheria. Police wanaulizwa kosa la Pauline Pallangyo ni nini? Wanasema bado wanafanya Uchunguzi so wamemkamata bila kosa then sasa hivi ndo

Leo ni siku ya 9, Jeshi la Polisi linaendelea kumshikilia Pauline Pallangyo katika kituo cha Police Central Dar es salaam kinyume cha sheria.

Police wanaulizwa kosa la Pauline Pallangyo ni nini? Wanasema bado wanafanya Uchunguzi so wamemkamata bila kosa then sasa hivi ndo
The champ👑 (@fintanjr_) 's Twitter Profile Photo

Nadhani, ifikapo 2090, humu hizi account zote zitakuwa domant, waliochanga karata vizuri ujanani watakuwa wamefariki, na ambao tulikosea hesabu za kimaisha tutakuwa Tumekufa,.. Sasa, hakuna atakayeishi milele, Jeuri ni za nini?...

ISMAIL✨ (@mofey255) 's Twitter Profile Photo

Naomba repost yako Familia 👊💪 Hizi ni Shockup za mbele Sinoray mayai zipo hapa dukani ni kali sana kama zinavoonekana hapa utanipa 95K tu nakuachia karbuni sana dukani. Location Arusha Ngusero Mwisho Wa Bajaji No 0627379558

Naomba repost yako Familia 👊💪

Hizi ni Shockup za mbele Sinoray mayai zipo hapa dukani ni kali sana kama zinavoonekana hapa utanipa 95K tu nakuachia karbuni sana dukani.

Location Arusha Ngusero Mwisho Wa Bajaji No 0627379558
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒 (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

ipo moja tu hii 10th generation bei kitonga sana🙌 Dell latitude 5310✅ Corei5✅ Ram 8gb✅ Storage ssd 256GB✅ Processor 2.2GHz up to turbo 3.7GHz🔥 10th generation✅ It’s has 8 processor✅ Kioo inch 13✅ Backlight keyboard✅ Clean used Dubai❤️ Tsh.780,000/= Tu📌

ipo moja tu hii 10th generation bei kitonga sana🙌

Dell latitude 5310✅

Corei5✅
Ram 8gb✅
Storage ssd 256GB✅
Processor 2.2GHz up to turbo 3.7GHz🔥

10th generation✅
It’s has 8 processor✅

Kioo inch 13✅
Backlight keyboard✅

Clean used Dubai❤️

Tsh.780,000/= Tu📌