Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ
@wizara_afyatz
Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA
ID:3044753523
http://www.moh.go.tz 19-02-2015 04:54:19
5,8K Tweets
231,8K Followers
134 Following
Follow People
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP leo Aprili 23, 2024 akiwa katika Mkutano wa Kimataifa kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam ambapo anatarajia kufungua na kuhutubia Mkutano huo ambao wanajadili namna ya kukabiliana na Magonjwa
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP leo anatarajiwa kufungua na kuhutubia katika Mkutano wa Kimataifa wa Kujadili namna ya kukabiliana na Magonjwa Yasiyoambukiza Barani Afrika.
Mkutano huo umezikutanisha kwa pamoja nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Ukanda wa Bara

Congratulations Tanzania for launching a #HPV vaccination campaign against the leading cause of #cervicalcancer targeting 5 million girls aged between 9 and 14.
We're proud to work with UNICEF Tanzania and WHO Tanzania to support Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ! bit.ly/3w35Rxw