Adamoo(@Addy_Adams) 's Twitter Profileg
Adamoo

@Addy_Adams

لا إله إلا الله محمد الرسول الله

ID:411835341

calendar_today13-11-2011 23:09:36

131,3K Tweets

10,2K Followers

770 Following

アボット Kazimoto (@Kazimotoinc) 's Twitter Profile Photo

Mi naomba kuuliza yale magari walokuwa wanatumia yameenda wapi muda mwingine mnatia hasira kichizi bima za watoto mliondoa lakini hela za kununua michuma inapatikana vipaumbele ndo tunakosa kama Nchi

Mi naomba kuuliza yale magari walokuwa wanatumia yameenda wapi muda mwingine mnatia hasira kichizi bima za watoto mliondoa lakini hela za kununua michuma inapatikana vipaumbele ndo tunakosa kama Nchi
account_circle
Adamoo(@Addy_Adams) 's Twitter Profile Photo

Bunge liliishia kwa Msekwa, Samwel Sitta na Mama Makinda, hili la sasa hivi halina Mvuto mtu hata hujui kama kuna Bunge limeanza.

Kwanza wamepita bila kupingwa 😆

account_circle
Adamoo(@Addy_Adams) 's Twitter Profile Photo

Stanza kila Mwaka mpya wa Kisirikali magari mapya utafikiri sio wao wanaopewa Mahindi lishe ya msaada

Halafu v8 wanakuja kuuziana 3mil 😆

account_circle
Adamoo(@Addy_Adams) 's Twitter Profile Photo

Nyanya 1 tsh 500 khee?? Vijana wasahau Roast na masojo sasa ni muda wa chukuchuku au Royco baasi

Kodi ya Meza 15k haitoshi nikajua napigwa leo nimeenda mwenyewe nimejionea yaani elfu 5 inaishia Gengeni 😆

account_circle
Adamoo(@Addy_Adams) 's Twitter Profile Photo

Kuna yule Muha mfanyabiashara wa K/koo anauza Vitenge kakomaa na mil 2 sijui wakubwa walikua wanataka Rushwa akakutana na hasara ya Bilioni. Akapewa kesi ya Magendo 😂

Waziri Mkuu na Rais Magufuli wakatoa amri TRA wamlipe, kwani alilipwa sasa. Mbaya zaidi Magufuli akafariki

account_circle
Adamoo(@Addy_Adams) 's Twitter Profile Photo

Chambulo ka complain mil 21 imeenda wapi kakutana na 200mil anadaiwa

Kushindana na mfumo utajiumiza mwenyewe tu hasa ukishakuwa mfanyabiashara.

account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu tulipojikwaa tunapajua..?

1.Kocha asikilizwe kuhusu Usajili.

2.Kocha aruhusiwe kuchagua wachezaji anao wataka yeye.

3.Fedha zilizotengwa kwa ajili ya usajili zitangazwe hadharani.

4.Fedha za usajili zisitoke mfukoni kwa Mwekezaji direct kwenda sokoni,atoe mfukoni…

Ndugu zangu tulipojikwaa tunapajua..? 1.Kocha asikilizwe kuhusu Usajili. 2.Kocha aruhusiwe kuchagua wachezaji anao wataka yeye. 3.Fedha zilizotengwa kwa ajili ya usajili zitangazwe hadharani. 4.Fedha za usajili zisitoke mfukoni kwa Mwekezaji direct kwenda sokoni,atoe mfukoni…
account_circle
Adamoo(@Addy_Adams) 's Twitter Profile Photo

Stanza kutoa Katiba Mpya TUSAHAU ni sawa wakate Tawi walilolikalia wenyewe

Mstaafu mabaka baka alifeli pale tu,,, timing ile ndio ilikua nzuri kutupa Katiba

account_circle