Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile
Dr. Chris Cyrilo

@drcyrilo

Medical Doctor| Author| Social Activist | Commentator on Intelligence & Geopolitics
+255713933736
+255745830775

ID: 1236501378

linkhttp://www.ghf.or.tz calendar_today02-03-2013 21:26:29

11,11K Tweet

41,41K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Hii issue ya taarifa za ICC naona tunaingizana chaka. Friendrich Nietzche alisema; If you stare deep into an abyss, an abyss stare back at you. Ukizama sana kwnye jambo fulani, jambo hilo linaweza kukupotosha. Tuongeza umakini kwenye harakati hizi za kupambana na mashetani.

Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Somebody tell Speed⭐️ should he honor the invitation to come to Tanzania by Gerson Msigwa he will be collaborating with murderers who are desparate on cleansing their bloody hands. Tell him, Msigwa is one of the enablers of mass killings on Ocober 29 onwards.

Somebody tell <a href="/ishowspeedsui/">Speed⭐️</a> should he honor the invitation to come to Tanzania by <a href="/MsigwaGerson/">Gerson Msigwa</a> he will be collaborating with murderers who are desparate on cleansing their bloody hands. 
Tell him, Msigwa is one of the enablers of mass killings on Ocober 29 onwards.
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Kwa mfano TAKUKURU wakapewa ushahidi wa ufisadi, watafanya nini? Lini TAKUKURU ilpata ubavu wa kushughulikia mafisadi 'wakuba wakuba'?

Kwa mfano TAKUKURU wakapewa ushahidi wa ufisadi, watafanya nini?

Lini TAKUKURU ilpata ubavu wa kushughulikia mafisadi 'wakuba wakuba'?
Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Hata ktk ajali ya baharini au angani wafiwa hutafuta miili ya wapendwa wao ili wapate 'closure, waweze kuaga wapendwa wao kwa heshima. Sembuse waliouawa na kupotezwa mwaka jana. Hakuna closure bila kupata wapendwa wao na uwajibikaji wa waliosababisha vifo vyao

Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Siku tutaamka asubuhi tukutane na barua ya kujiuzulu anayeitwa makamu wa Rais na sio yeye ameandika! Nawaza ya Ndugai na Chongolo...

Siku tutaamka asubuhi tukutane na barua ya kujiuzulu anayeitwa makamu wa Rais na sio yeye ameandika! Nawaza ya Ndugai na Chongolo...
Int'l Criminal Court (@intlcrimcourt) 's Twitter Profile Photo

On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC Deputy Prosecutor Mame Mandiaye Niang met with H.E Mahmoud Thabit Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation of #Tanzania.

On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC Deputy Prosecutor Mame Mandiaye Niang met with H.E Mahmoud Thabit Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation of #Tanzania.
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

It is tricky to think the US under Donald J. Trump administration may take any action against tyranny of the 'insignificant' country, especially when the 'significant' LNG project deal is imminent. But that blood is too much and too loud to be silenced.

It is tricky to think the US under <a href="/realDonaldTrump/">Donald J. Trump</a> administration may take any action against tyranny of the 'insignificant' country, especially when the 'significant' LNG project deal is imminent. 
But that blood is too much and too loud to be silenced.
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Natambua nafasi ya Mawakili na sina shida kwa kazi zao za kutetea upande wowote. Lkn hawa mawakili wa serikali kesi ya Tundu Antiphas Lissu niliwahi kudhani wanatumiwa/wanatumwa kinyume na hiari yao! Kumbe ni sehemu ya Villains kabisa.

Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Kama unapanga au una ndoto za kuwa kiongozi mkubwa wa Tanzania, jiepushe na ushabiki wa upande wowote wa vita vya kimataifa, vinavyowagawa watu, hasa hizi za Marekani, Israel na mataifa Middle East. Ushabiki unaweza kuwapa sababu watu wafikiri utakua kibaraka wa upande fulani.

Kama unapanga au una ndoto za kuwa kiongozi mkubwa wa Tanzania, jiepushe na ushabiki wa upande wowote wa vita vya kimataifa, vinavyowagawa watu, hasa hizi za Marekani, Israel na mataifa  Middle East. 
Ushabiki unaweza kuwapa sababu watu wafikiri utakua kibaraka wa upande fulani.
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya Bilioni 30 zilitumika kwenye ukatabati wa huu uwanja, haijapita mwaka ukarabati tena? Na bado baada ya ukarabati uwanja ukawa hovyo, CAF wakaukataa na kupeleka mechi Znz (fainali shirikisho) Bwana Gerson Msigwa hii project mnapiga pesa ngapi?

Zaidi ya Bilioni 30 zilitumika kwenye ukatabati wa huu uwanja, haijapita mwaka ukarabati tena? Na bado baada ya ukarabati uwanja ukawa hovyo, CAF wakaukataa na kupeleka mechi Znz (fainali shirikisho)
Bwana <a href="/MsigwaGerson/">Gerson Msigwa</a> hii project mnapiga pesa ngapi?
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Moja ya sifa za watu makatili wanaoumiza wengine ni kujivisha uathirika. Ni mbinu ya kuficha uovu wao. Yaani wao ndio hujifanya wanawindwa, wanatafutwa, wanawekewa mipango mibaya kumbe mambo ni kinyume kabisa. Nawasilisha! Dr. Chris Cyrilo.

Moja ya sifa za watu makatili wanaoumiza wengine ni kujivisha uathirika. Ni mbinu ya kuficha uovu wao. Yaani wao ndio hujifanya wanawindwa, wanatafutwa, wanawekewa mipango mibaya kumbe mambo ni kinyume kabisa. 

Nawasilisha!
Dr. Chris Cyrilo.
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Kwamba Lissu ndio vikao vya chama vya uteuzi na utenguzi? Nafasi ya kugombea inatolewa na mtu au vikao? Wewe hukushiriki vikao? Halafu ulitaka ugombee dhidi ya Maalim Seif? Na kwanini unasema haya mambo leo miaka 6 baadae? Miaka yote hiyo ulikuwa umezimia? Saidi acha ufala.

Kwamba Lissu ndio vikao vya chama vya uteuzi na utenguzi? 
Nafasi ya kugombea inatolewa na mtu au vikao? 
Wewe hukushiriki vikao?
Halafu ulitaka ugombee dhidi ya Maalim Seif? 
Na kwanini unasema haya mambo leo miaka 6 baadae? Miaka yote hiyo ulikuwa umezimia? 
Saidi acha ufala.
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Ukipewa uongozi CCM utaamua kuwa kiongozi kivuli huku vitoto vya watawala na chawa ndio wanaoamua mambo ya chama. Hapo itakubidi ujivunjie heshima kwa kutoa matamko ya kuwafurahisha watawala na vitoto vyao na chawa wao. Au vipi ujikalie kimya kama vile hakuna mtu.