jamesbituro (@bituro_james) 's Twitter Profile
jamesbituro

@bituro_james

humble man, Simbasportsclub, Liverpool

ID: 1602416237748883462

calendar_today12-12-2022 21:33:58

1,1K Tweet

516 Takipรงi

651 Takip Edilen

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania inaonesha deni la serikali limekua na kufikia karibu trillioni mia moja hadi mwezi wa saba mwaka huu. Katika ripoti yake ya mwezi huu,Benki Kuu imeonesha deni hilo kufikia shilingi trilioni 98. Anoth Paul ametuandalia taarifa hii #KasriLaKikeke

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Hata kama ni weweโ€ฆ Upande wa FAM una ; - BONIYAI -NTOBI -MARTIN -Na yule mwenyekiti wa Iringa - Malkia Nyuki UPANDE WA LISSU : - HECHE -LEMMA - MWABUKUSU,JEBRA,Tito- wanasheria wote wakubwa - MDUDE - SATIVA Upande upi unaona kabisa una Peoplesโ€™ interest at

#TajiriLaKihaya 

Hata kama ni weweโ€ฆ

Upande wa FAM una ;
- BONIYAI
-NTOBI
-MARTIN
-Na yule mwenyekiti wa Iringa
- Malkia Nyuki

UPANDE WA LISSU :

- HECHE
-LEMMA
- MWABUKUSU,JEBRA,Tito- wanasheria wote wakubwa
- MDUDE
- SATIVA

Upande upi unaona kabisa una Peoplesโ€™ interest at
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Inauma ukisomesha Mtoto na hakusaidii, inauma kama Baba umekufa halafu Mtoto anashindwa kukuzika, inauma kugundua raundi ya kwanza imetamatika na Mnyama anaongoza Ligi, inauma kugundua Jean Charles Ahoua anaendelea kutakata na inauma zaidi kugundua โ€˜Namba sita ya Airportโ€™

Inauma ukisomesha Mtoto na hakusaidii, inauma kama Baba umekufa halafu Mtoto anashindwa kukuzika, inauma kugundua raundi ya kwanza imetamatika na Mnyama anaongoza Ligi, inauma kugundua Jean Charles Ahoua anaendelea kutakata na inauma zaidi kugundua โ€˜Namba sita ya Airportโ€™
Fabrizio Romano (@fabrizioromano) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ OFFICIAL: La Liga rejects Barcelonaโ€™s appeal to register Dani Olmo and Pau Victor. โ€œBarcelona has not presented any alternative that would allow the registration, in accordance with La Liga's economic control regulations, to register any player from next January 2โ€.

๐Ÿšจ OFFICIAL: La Liga rejects Barcelonaโ€™s appeal to register Dani Olmo and Pau Victor.

โ€œBarcelona has not presented any alternative that would allow the registration, in accordance with La Liga's economic control regulations, to register any player from next January 2โ€.
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Lissu amehojiwa na BBC na amesema kama wanataka kuiokoa CHADEMA inabidi mabadiliko yafanyike, Mbowe ambaye ameongoza kwa miaka 21 atoke. Lissu amesema kama wanataka CHADEMA iaminiwe tena na watu, ipendwe tena, ifuatwe na itegemewe tena na wananchi basi uongozi mpya unahitajika.

Lissu amehojiwa na BBC na amesema kama wanataka kuiokoa CHADEMA inabidi mabadiliko yafanyike, Mbowe ambaye ameongoza kwa miaka 21 atoke. Lissu amesema kama wanataka CHADEMA iaminiwe tena na watu, ipendwe tena, ifuatwe na itegemewe tena na wananchi basi uongozi mpya unahitajika.
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Binafsi i have a lot of respect to Madenge and Martin Maranja Masese Ni wanaharakati ambao wamepambana saana humu X kwa miaka mingiโ€ฆ sema tu this time Round wameamua kusikiliza matumbo yao (Boss wao,godfather wao) badala ya kusimama na kitu ambacho Raia wengi

#TajiriLaKihaya 

Binafsi i have a lot of respect to <a href="/rollymsouth/">Madenge</a> and <a href="/IAMartin_/">Martin Maranja Masese</a> 

Ni wanaharakati ambao wamepambana saana humu X kwa miaka mingiโ€ฆ 

sema tu this time Round wameamua kusikiliza matumbo yao  (Boss wao,godfather wao) badala ya kusimama na kitu ambacho Raia wengi
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

Martin Maranja Masese Madenge Martin mm ni miongoni mwa watu wanaokufuatilia saana toka zamaniโ€ฆ Ulikua mwanga wetu sisi- pitia hata Posts zako nyingi nlikua nki comment hata zingine kwa kurudia key points ulizoandika tu- maana naona nkiongezea nitaharibu! Ila huu Uchaguzi wa Chama ume wa Expose saana- na

Simba SC Fan Page๐Ÿฆ (@simbascfanspage) 's Twitter Profile Photo

Wale wa medali medali kelele nyingi ๐Ÿ˜‚ Tumetinga fainali ya michuano ya CAF kwa mara ya pili. Sasa tunataka kombe ๐Ÿ“Œ Gonga RETWEET Kwa SIMBA๐Ÿฆ #HatuishiiHapa #TunaitakaFainali #WenyeNchi #NguvuMoja

Wale wa medali medali kelele nyingi ๐Ÿ˜‚ 

Tumetinga fainali ya michuano ya CAF kwa mara ya pili.

Sasa tunataka kombe ๐Ÿ“Œ

Gonga RETWEET Kwa SIMBA๐Ÿฆ

#HatuishiiHapa #TunaitakaFainali #WenyeNchi #NguvuMoja
jamesbituro (@bituro_james) 's Twitter Profile Photo

Niko na furaha mno,,,,#Liverpool #SimbasportClub #Stellenbosch #CAFConfederationCup #londonmarathon2025 #Yangasc #MuunganoCup2025

Niko na furaha mno,,,,#Liverpool #SimbasportClub #Stellenbosch #CAFConfederationCup #londonmarathon2025 #Yangasc
#MuunganoCup2025