Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profileg
Ahmed Ally

@ahmed__ally

Media & Communication Manager Simba Sports

ID:1478356854514270208

calendar_today04-01-2022 13:25:32

1,3K Tweets

483,3K Followers

13 Following

Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Leo nimefanya Mkutano na Wanachama na Mashabiki wa Simba Mkoani Singida

Agenda ya kwanza ilikua ni maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Ihefu na kuwataka Wana Singida kujitokeza kwa wingi Uwnajani lakini pia tupambane kuhakikisha tunapata ushindi katika mchezo huo

Agenda ya pili…

Leo nimefanya Mkutano na Wanachama na Mashabiki wa Simba Mkoani Singida Agenda ya kwanza ilikua ni maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Ihefu na kuwataka Wana Singida kujitokeza kwa wingi Uwnajani lakini pia tupambane kuhakikisha tunapata ushindi katika mchezo huo Agenda ya pili…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Team ya mauzo ya Automedali Tz Limited imerejea kazini hii leo baada ya kumaliza kusheherekea Eid El Fitri

Mteja wetu unaehitaji kuagiza gari kutoka nje ya Nchi karibu ofisini kwetu tukuchagulie gari utakalo

Kwa wale ambao wanahitaji gari lakini hajui aagize gari gani Automedali Tz Limited

Team ya mauzo ya @medalimotors imerejea kazini hii leo baada ya kumaliza kusheherekea Eid El Fitri Mteja wetu unaehitaji kuagiza gari kutoka nje ya Nchi karibu ofisini kwetu tukuchagulie gari utakalo Kwa wale ambao wanahitaji gari lakini hajui aagize gari gani @medalimotors…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Vijana wetu wapo tayari kuendelea na mapambano ya kuipigania Simba

April 13 dhidi ya Ihefu ni mechi ngumu lakini ni mechi muhimu ya kutuweka kwenye ramani ya kupigania Ubingwa wa Tanzania

Tuwaombe wana Simba tushikamane kipindi hiki ili tutimize lengo hili lililobaki mkononi…

Vijana wetu wapo tayari kuendelea na mapambano ya kuipigania Simba April 13 dhidi ya Ihefu ni mechi ngumu lakini ni mechi muhimu ya kutuweka kwenye ramani ya kupigania Ubingwa wa Tanzania Tuwaombe wana Simba tushikamane kipindi hiki ili tutimize lengo hili lililobaki mkononi…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Unataka kuagiza gari?? Karibu Automedali Tz Limited tupo kwa ajili ya kazi hiyo

Automedali Tz Limited ni Wabobezi wa kuagiza Magari kutoka sehemu mbalimbali duniani

Malipo yetu ni kwa awamu mbili mpaka nne

Fika Ofisini kwetu Dar Free Market Jijini Dar Es Salaam

Au tupigie kwa #0748898888

Unataka kuagiza gari?? Karibu @medalimotors tupo kwa ajili ya kazi hiyo @medalimotors ni Wabobezi wa kuagiza Magari kutoka sehemu mbalimbali duniani Malipo yetu ni kwa awamu mbili mpaka nne Fika Ofisini kwetu Dar Free Market Jijini Dar Es Salaam Au tupigie kwa #0748898888
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Safari yetu ya ligi ya Mabingwa Afrika imefikia ukingoni, Tumefanya kila kinachowekezana lakini mpinzani ameonesha ukubwa wake kwetu

Kujifunza hakuna mwisho na maisha ya mpira ni mchakato usio na kikomo.

Hii imekwisha tujipange kwa msimu ujao Insha Allah

Safari yetu ya ligi ya Mabingwa Afrika imefikia ukingoni, Tumefanya kila kinachowekezana lakini mpinzani ameonesha ukubwa wake kwetu Kujifunza hakuna mwisho na maisha ya mpira ni mchakato usio na kikomo. Hii imekwisha tujipange kwa msimu ujao Insha Allah
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Ijumaa tuna mchezo mgumu sana dhidi ya Al Alhly

Kwanza tunacheza na Bingwa Mtetezi
Pili tunacheza nyumbani kwake
Tatu anafaida ya goli moja dhidi yetu
Nne mpinzani wetu bado hajatimiza malengo yake kwani yeye malengo yake sio Nusu Fainali au Fainali ni Ubingwa hivyo ndo kwanza…

Ijumaa tuna mchezo mgumu sana dhidi ya Al Alhly Kwanza tunacheza na Bingwa Mtetezi Pili tunacheza nyumbani kwake Tatu anafaida ya goli moja dhidi yetu Nne mpinzani wetu bado hajatimiza malengo yake kwani yeye malengo yake sio Nusu Fainali au Fainali ni Ubingwa hivyo ndo kwanza…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Al hamdullilah tumewasili salama Misri majira ya saa 4 Asubuhi na taratibu zote zimekamilika na kufanikiwa kutoka Airport salama na kwa wakati tukipokelewa na Maafisa kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Misri

Kwa sasa tumewasili Hotelin na baadae jioni tutaanza program ya mazoezi…

Al hamdullilah tumewasili salama Misri majira ya saa 4 Asubuhi na taratibu zote zimekamilika na kufanikiwa kutoka Airport salama na kwa wakati tukipokelewa na Maafisa kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Misri Kwa sasa tumewasili Hotelin na baadae jioni tutaanza program ya mazoezi…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Unataka kuagiza gari?? Karibu Automedali Tz Limited tupo kwa ajili ya kazi hiyo

Automedali Tz Limited ni Wabobezi wa kuagiza Magari kutoka sehemu mbalimbali duniani

Malipo yetu ni kwa awamu mbili mpaka nne

Fika Ofisini kwetu Dar Free Market Jijini Dar Es Salaam

Au tupigie kwa #0748898888

Unataka kuagiza gari?? Karibu @medalimotors tupo kwa ajili ya kazi hiyo @medalimotors ni Wabobezi wa kuagiza Magari kutoka sehemu mbalimbali duniani Malipo yetu ni kwa awamu mbili mpaka nne Fika Ofisini kwetu Dar Free Market Jijini Dar Es Salaam Au tupigie kwa #0748898888
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Kispika cha Hamasa leo kimefika Chuo Kikuu cha Ardhi na kukutana na Tawi la Wekundu Ardhi University

Lengo la kwanza ni kuwahamasisha Wanafunzi wa vyuo vikuu kuanzisha Matawi ya Simba katika vyuo vyao

Tunahitaji kila chuo kiwe na Tawi kubwa la Simba na kazi inaanza mara moja…

Kispika cha Hamasa leo kimefika Chuo Kikuu cha Ardhi na kukutana na Tawi la Wekundu Ardhi University Lengo la kwanza ni kuwahamasisha Wanafunzi wa vyuo vikuu kuanzisha Matawi ya Simba katika vyuo vyao Tunahitaji kila chuo kiwe na Tawi kubwa la Simba na kazi inaanza mara moja…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Ni wakati wa Bendera ya Mnyama kupepea Afrika nzima

Mwana Simba twende tukaipandishe Bendera yetu katika kilele cha mafanikio ya Afrika

Ni wakati wa Bendera ya Mnyama kupepea Afrika nzima Mwana Simba twende tukaipandishe Bendera yetu katika kilele cha mafanikio ya Afrika
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Hamasa Kibamba imebamba vibaya mnoooo

Mzuka ni mkubwa sanaaa kuelekea mechi yetu dhidi ya Al Ahly

Wana Simba tuendelee kununua tiketi

Hamasa Kibamba imebamba vibaya mnoooo Mzuka ni mkubwa sanaaa kuelekea mechi yetu dhidi ya Al Ahly Wana Simba tuendelee kununua tiketi
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Kuna wanaosema kwenye hatua hizi za Robo Fainali Al Ahly huwa anabadilika sana, Sisi tunasema kuwa “Ahly akibadilika tunabadilika nae”

Kuna wanaosema kwenye hatua hizi za Robo Fainali Al Ahly huwa anabadilika sana, Sisi tunasema kuwa “Ahly akibadilika tunabadilika nae”
account_circle