Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profileg
Farhan Kihamu Jr

@FKihamu

VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzania

ID:4401120681

linkhttps://instagram.com/jr_farhanjr?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today07-12-2015 04:36:39

12,0K Tweets

387,0K Followers

974 Following

Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kufuatilia kwa Watalaam wa mfumo wa TMS ( Transfer Matching System) nimewasiliana na TMS Manager wa timu ya Ligi Kuu nae akanipa uzoefu wake juu ya hili suala.

Cha kwanza YANGA hawawezi kupokwa alama zozote kutokana na kumtumia Mchezaji huyo aliyepo kwenye mabano…

Baada ya kufuatilia kwa Watalaam wa mfumo wa TMS ( Transfer Matching System) nimewasiliana na TMS Manager wa timu ya Ligi Kuu nae akanipa uzoefu wake juu ya hili suala. Cha kwanza YANGA hawawezi kupokwa alama zozote kutokana na kumtumia Mchezaji huyo aliyepo kwenye mabano…
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

FIFA lazima watakuwa wamemtaja Mchezaji huyu ambaye TFF hawajamuweka wazi, lazima FIFA wamtaje Mchezaji ila kwenye hii taarifa inaonekana imefichwa white hapa.

Maswali yanasalia kama Yanga imefungiwa usajili kisa changamoto hizi za TMS, je Mchezaji amecheza kwa leseni ipi ama…

FIFA lazima watakuwa wamemtaja Mchezaji huyu ambaye TFF hawajamuweka wazi, lazima FIFA wamtaje Mchezaji ila kwenye hii taarifa inaonekana imefichwa white hapa. Maswali yanasalia kama Yanga imefungiwa usajili kisa changamoto hizi za TMS, je Mchezaji amecheza kwa leseni ipi ama…
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

“Nikwambie tu ubora waliokuwa nao Simba sasa hivi ndio ubora wa timu yetu pia, hivyo kesho itakuwa mechi nzuri sana”

- Mecky Mexime, Kocha wa Ihefu.

“Nikwambie tu ubora waliokuwa nao Simba sasa hivi ndio ubora wa timu yetu pia, hivyo kesho itakuwa mechi nzuri sana” - Mecky Mexime, Kocha wa Ihefu.
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

MBWANA SAMATTA AMEKAMILISHA MICHUANO YOTE YA ULAYA.

Champions League✅
Europa League✅
Europa Conference League✅

Historical Mbwana Samatta 💪

MBWANA SAMATTA AMEKAMILISHA MICHUANO YOTE YA ULAYA. Champions League✅ Europa League✅ Europa Conference League✅ Historical @Samagoal_77 💪
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Rahisi tu! Walichagua man-marking ili kuwabana Liverpool cha pili ni kuwa na transition za maana kutoka kuzuia mpaka kushambulia umakini kidogo tu wangeweza kufunga magoli mengi zaidi. Sio rahisi sana ikiwa ni mara ya pili hii watoto wa Gian Piero Gasperini wanashinda anfield na…

Mara Mutambala asiwepo kabisa kikosini na kama hakuna kitu vile, mara leo aanze Sureboy kisha Mkude atokee bench, mara Aucho arejee acheze kama alikuwa fit kwa asilimia zote, mara Dickson Job asiwepo kabisa na hakuna shida, mara Gift Fred acheze mbili na ghafla huelewi Kibwana…

VIONGOZI WA SIMBA mliopo sasa mtanisahihisha kama kuna sehemu nadanganya nami nitakiri kosa, mnakumbuka moja kati ya mifumo ambayo mliikuta kwenye hii Simba ni mahusiano kati ya timu na timu, timu na shirikisho, timu na wafanyabiashara na timu dhidi ya Mawakala ama Kampuni za…

MO DEWJI SIO TATIZO SIMBA🔴

1- MCHAKATO WA MABORESHO YA KIKOSI, leo hii timu imefika hapa ni ghafla sana MO DEWJI anatajwa kuwa ni tatizo kuwa hatoi pesa ndani ya timu ila kwanza tuzungumzie ripoti ya Kitalaam ambayo Simba mliipokea na mnaifahamu vyema, iliyokuwa inahusu…

MO DEWJI SIO TATIZO SIMBA🔴 1- MCHAKATO WA MABORESHO YA KIKOSI, leo hii timu imefika hapa ni ghafla sana MO DEWJI anatajwa kuwa ni tatizo kuwa hatoi pesa ndani ya timu ila kwanza tuzungumzie ripoti ya Kitalaam ambayo Simba mliipokea na mnaifahamu vyema, iliyokuwa inahusu…
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Alizaliwa kwenye familia ya wazazi wakulima.

Akasoma elimu ya awali mpaka chuo akiwa na ndoto ya kuwa mwalimu.

Familia yake ilikuwa imejiingiza kwenye siasa za upinzani

Hapa ndipo habari inapoanzia.

'Kitengo' kilishaanza kuvutiwa na kijana huyu

Alizaliwa kwenye familia ya wazazi wakulima. Akasoma elimu ya awali mpaka chuo akiwa na ndoto ya kuwa mwalimu. Familia yake ilikuwa imejiingiza kwenye siasa za upinzani Hapa ndipo habari inapoanzia. 'Kitengo' kilishaanza kuvutiwa na kijana huyu
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

“Kwenye uislam inaruhusiwa kwa Mwanamke kama ana uwezo kumpa pesa Mwenza wake ili akamlipie mahari” Sheikh Kishki.

“Kwenye uislam inaruhusiwa kwa Mwanamke kama ana uwezo kumpa pesa Mwenza wake ili akamlipie mahari” Sheikh Kishki.
account_circle