Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profileg
Crown Media

@CrownMediaTZ

Karibu kwenye kurasa rasmi ya Crown Media | Crown TV & Crown FM (English: @CrownMediaEN) #HapaNiNyumbani

ID:1765402332202778624

linkhttps://bit.ly/CrownMedia calendar_today06-03-2024 15:41:40

444 Tweets

14,1K Followers

8 Following

Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

Wana wa Hanu Hanu , mabingwa kweli kweli, tupo barabarani na kituo ni kimoja tu ambacho line up ya matukio yake ya kihistoria yatatokea kwenye uwanja wa Jitegemee na Wilaya ya Muheza kwa Ujumla.

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

Mashujaa kutoka Kigoma imeondoa Simba SC kwenye mashindano ya CRDB Confederation Cup kwa kuifunga penati 6-5 baada ya kutoa sara ya goli 1-1 ndani ya dakika 90.

Simba SC imebakiwa na Ligi Kuu Bara pekee kupigania kushinda taji msimu huu baada ya kukosa Mapinduzi Cup na CAFCL.

Mashujaa kutoka Kigoma imeondoa Simba SC kwenye mashindano ya CRDB Confederation Cup kwa kuifunga penati 6-5 baada ya kutoa sara ya goli 1-1 ndani ya dakika 90. Simba SC imebakiwa na Ligi Kuu Bara pekee kupigania kushinda taji msimu huu baada ya kukosa Mapinduzi Cup na CAFCL.
account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

Maendeleo ya Teknolojia yana faida na hasara zake, moja ya faida kuu ni kurahisisha kazi zinavyofanyika, ila hasara yake ni kupunguza idadi ya rasilimali watu katika maeneo ya kazi. Tazama video kujifunza juu ya mashine hii ifanyavyo kazi.

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

Hapa ni Nyumbani - Karibu utufuate kwenye kurasa zetu mitandao ya kijamii.

- Subscribe YouTube Channel: youtube.com/@CrownMediaTZ

Hapa ni Nyumbani - Karibu utufuate kwenye kurasa zetu mitandao ya kijamii. #20YaKing #HapaNiNyumbani - Subscribe YouTube Channel: youtube.com/@CrownMediaTZ
account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

Kosakosa ya Lorch vs Djugui Diarra ilichofanya kwa Wananchi.

Lorch alipokea pasi ya zawadi toka kwa Jonas Mkude ila alikua na umaliziaji mbovu.

Kosakosa ya Lorch vs Djugui Diarra ilichofanya kwa Wananchi. Lorch alipokea pasi ya zawadi toka kwa Jonas Mkude ila alikua na umaliziaji mbovu. #CAFCL #CrownFutball
account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

Maneno ya Wananchi baada ya dakika 45 za kwanza. Mchezo bado ni 0-0, matokeo yakibaki hivi hadi dakika ya 90 timu zitakwenda kwenye mikwaju ya penati.

Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC HT*

Maneno ya Wananchi baada ya dakika 45 za kwanza. Mchezo bado ni 0-0, matokeo yakibaki hivi hadi dakika ya 90 timu zitakwenda kwenye mikwaju ya penati. Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC HT* #CAFCL #CrownFutball
account_circle