Hardtaget,
@hardtaget1
Good agent
ID: 1250141382188113921
14-04-2020 19:18:52
5,5K Tweet
303 Takipçi
164 Takip Edilen
Kama polisi wanapotosha ni wazi kwamba wamepata taarifa hii kupitia chanzo kingine na sio kanisa ambalo lilikuwa na watu katika ofisi hizo za TEC. Sasa Muliro na Police Force TZ mtuambie taarifa za father Kitima kupata kinywaji na kwenda maliwato mmezitoa wapi? Je chanzo chenu
Watu walikuwa wanaimba wimbo wa kizalendo “Tanzania nakupenda kwa moyo wote” Mkaenda kuwapiga risasi na kuwaita wahaini?? Washenzi ninyi! Ninyi ndo wahaini Samia Suluhu Mmepora madaraka kwa mtutu wa bunduki! Mwambieni Kabudi na watanganyika wote ktk serikali haramu - SHAME ON
. Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 tujadiliane kidogo. Ramadhan Madabida akiwa Mwenyekiti wa CCM Dar es Salaam na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI) kilichoko Njiro jijini Arusha, 10 Februari 2014 alikamatwa na kushtakiwa kwa kusambaza ARV bandia
Unaweza kutazama full documentary ya ‘State of Fear' Uchunguzi wa BBC News Africa kuhusu matukio ya watu kutekwa, kupotezwa, kufirwa na kuuwawa nchini Tanzania tangu Idd Amin Mama aingie madarakani. #BBCAfricaEye
State of Fear: Inside Tanzania’s Enforced Disappearances - BBC Africa Ey.e.. youtu.be/9WkYK-SjJtE?si… It’s out now - kindly watch! Cc UN Working Group on Enforced Disappearances UN Human Rights Council European Parliament European Commission Ursula von der Leyen World Bank Africa Kristalina Georgieva IMF Africa Int'l Criminal Court Senate Foreign Relations Committee Chairman House Foreign Affairs Committee Dems
Mjadala wa kwenda Polisi kumfuatilia Hilda Newton ilichukua kama dk 15, Mimi nasema kuna kazi nafanya waende Wakili Mahinyila, Kisabo na Garubindi wanatosha! Lakini Rose Mayemba na mawakili walinishinikiza sana, ghafla kitu kikaingia moyoni nenda! Imebaki story Mungu ni mwema!
#BBCAfricaEye Kupitia Documentary ya BBC News Africa ya “Tanzania State of fear” sasa hivi Dunia yote ishajua Ukatili wa Idd Amin Mama pamoja na mshirika wake Faustine Mafwele Unaweza kutazama zaidi hapa youtu.be/9WkYK-SjJtE?si…
"Jana mmemsikia Nchimbi anasema tusiongelee masuala ya tarehe 29, kama hizo kelele hazina maana kwanini wanaogopa zinapozungumzwa? yaliyotokea tarehe 29 na huko nyuma hatutayanyamazia hata kwa dakika moja." Mhe.John Heche